fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,398
- 9,822
Usisahau wigan alimpiga city fa na united alimpiga city kwake goli 3 sasa sijui makocha walikuwa wakina nani
Siongelei matokeo ya mwisho mkuu @radika,bali playing style yetu. Kila game tunacheza kama underdogs dhidi ya mpinzani.