Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi kuna timu isiyopigwa? Mwaka jana madrid kapigwa nyumbani na real betis ilikuwaje? Tuwe na subra bana
You don't get it. Tatizo sio kufungwa, tatizo ni that style of play. Come on that is Utd you are talking about. Vs BHA hadi dk ya 70 only one shot on target? Kweli?

Hatukatai kufungwa, kila timu inafungwa. Lakini at least onyesha basi, 'you wanted kushinda' ila bahati mbaya.

Halafu kuna post unasema akiondoka fresh, akibaki fresh. Come on man, ho sio 'subra' unayoongelea hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You don't get it. Tatizo sio kufungwa, tatizo ni that style of play. Come on that is Utd you are talking about. Vs BHA hadi dk ya 70 only one shot on target? Kweli?

Halafu kuna post unasema akiondoka fresh, akibaki fresh. Come on man, ho sio 'subra' unayoongelea hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namaana kukuambia akiondoka poa akibaki poa hadi muda huu ni kocha niache kuishabikia timu? Ipi nguvu yangu ya kumfuta kazi mourinho mechi ile timu yote ilicheza vibaya mbona akishinda hamuonekani kuja na takwimu ushindi umepatikanaje? Kocha alifanya kila njia timu ipate ushindi ikiwa na pamoja na kupumzisha baadhi ya watu ukija kati pogba kuna muda anapiga chenga na kupoteza mipira hovyo kocha anafanyaje?
 
Natamani wolves ndio wangekuwa utd dhidi ya city leo. Ni timu iliyopanda daraja lakini city wanapata tabu sana.
Hii game inatuonyesha kuwa utd hatuna mtu sahihi kama mwalimu wa timu.
Usisahau wigan alimpiga city fa na united alimpiga city kwake goli 3 sasa sijui makocha walikuwa wakina nani
 
nilikuwa naiangalia game ya jirani tanesco nao hawakuwa nyuma kunisabahi kwa kuchukua nishati yao 😡
 
Na walivyofungwa na liverpool walitoka kucheza uefa? Au wigan alipowatoa fa walikuwa na uchovu?
Liverpool alimfunga kwa sababu walikuwa bora kushinda city..hivi front three ya liverpool huoni kuwa ni moja ya forward line kali zaidi duniani..amini nakwambia tusingeshinda ile gemu kama wasingekuwa wamechanganywa na liverpool kwenye uefa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool alimfunga kwa sababu walikuwa bora kushinda city..hivi front three ya liverpool huoni kuwa ni moja ya forward line kali zaidi duniani..amini nakwambia tusingeshinda ile gemu kama wasingekuwa wamechanganywa na liverpool kwenye uefa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabik wa hii timu hatari sana leo katoa suluhu alikuwa na uchovu wa huddersfield?
 
Hii ligi nzuri sana, safi sana Wolves, siku nyingine mtamtandika huyu jirani. Wolves 1: 1 Man City FT
 
Back
Top Bottom