SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Hilo la bonge la kocha la kwako naona unatafuta utoke vipi suala la makombe hata nyie mngebeba wamepita makocha wa kila aina naona mnayo kibao huko kwenu
Tafsir yake ndo bonge la kocha?
We jamaa bana naona mnakuja kwa ajili ya kuponda yakiwashinda mnaanza kurukaruka tuPambana na hali yako
Usijilinganishe na wachovu
Kwa hiyo turudishe nyuma miakaRemember, it’s been 5 years and counting!!
We jamaa bana naona mnakuja kwa ajili ya kuponda yakiwashinda mnaanza kurukaruka tu
We jamaa bana naona mnakuja kwa ajili ya kuponda yakiwashinda mnaanza kurukaruka tu
Kwa point hiyo basi uko sahihiLiverpool tumekuwa wachovu since 1990 hadi leo ukiondoa 2005 tulipobeba UCL
Hadi leo bado wachovu sasa ukitaka kujilinganisha na Liverpool huitendei haki ManU
Kwa hiyo turudishe nyuma miaka
Kwa point hiyo basi uko sahihi
Hata akimaliza huu mwaka mganga wake atakuwa vizur sana sioni akidumu hadi kufika miaka minne au mitanoNiko sahihi
Niko sahihi na narudia tena, kwa Mou huyu utasubiri sana EPL na UCL. Labda Carabao
Kuna mambo mengine yanahitaji muda mkuu kama pochetino kaijenga timu yake muda mrefu sana huo mwaka ambao katuacha mbali msimu wa kwanza wa mourinho hapo unamuonea msimu pili kashika nafasi ya pili pia kauli zingine ni za mikwara tu kutumia pesa nyingi tunafeli hamna timu isiyopitia hayo mkuu cha msingi mengi yanaibuka kwa kuwa mwenendo wetu na mbayamkuu utakuwa umesahau
tunasahau ya kwamba ni mourinho huyu ndiye aliyesema msimu uliopita yupo on fire kwa sababu ya upana wa kikosi alichonacho hususan baada ya kusajiliwa nemanja matic.
- unafahamu ya kwamba mauricio pochettino misimu yake mitatu ya mwisho hajawahi kushuka kwenye top 3?
- msimu wa 2017/2018 licha ya kwamba manchester united wamefanya usajili wa gharama sana kwa kisingizio cha kujenga timu lakini tumetofautiana kwa point 4 na tottenham hotspurs?
- msimu wa 2016–17 unafahamu ya kwamba tottenham walitupita kwa point 17 ambapo wao walishika nafasi ya pili nyuma ya chelsea na sisi tuliishia nafasi ya 6 chini ya jose mourinho.
"I want to play West Ham a difficult match, then go to Swansea for another difficult match. I want the Champions League to start. I want, I want, I'm on fire. But I will behave on the touchline, even if goals are offside,"
sasa mtu kama huyu unamtafsiri vipi pindi anapokwambia hana timu ya ushindani?
ed woodward inawezekana hakucheza mpira ila nayeye mpira anaufahamu ndio maana msimu huu baada ya kumsajili fred na diogo dalot akaachana na habari za usajili kwa sababu ujio wa fred ni kwa ajili ya carrick na ujio wa diogo dalot ni kwa ajili ya antonio valencia ambaye hata woodward naye anajua fika valencia hakuwa na msimu mzuri ndio maana akatafuta mbadala wake kwa haraka.
ed woodward naye anafahamu fika ya kwamba haiingii akilini nimekuletea martial, sanchez, mata, matic, pogba, lukaku,fred,bailly,lindeloaf, shaw, dalot, mkhitaryan, rojo, ibrahimovic na bado unasema ni timu dhaifu.
timu imekosa muunganiko mzuri wa kimfumo jambo linalopekea wachezaji wanatembea kama bata mzinga
Tabu ipo pale pakeWapendwa tujiandae kuwa na msimu mbaya zaidi..na naomba Huu uwe ni msimu wa mwisho wa Morinho
Tuleteeni hata babu ziizzou(ZIDANE) hapo OT jamani..
Majirani(Liverpool) wako vizuri kichizi na wana sababu zote za kubeba ndoo unless wafanye ujinga..
Yes tuna uwezo huo boss, huu mpira hatusikilizi kwenye radio kwamba tunakisia tu ila tunauangalia kwenye TV. Ninachokiona nikiwa Tz ni sawa na anaeona akiwa Ulaya. Mambo ya kwenye pitch yanaonekana worldwide ila tunakuja kutofautiana kwenye opinions.Naomba kuuliza wadau, hivi sisi wapenzi na mashabiki wa MUFC tuliopo Africa tunauwezo wa kuijua timu kuliko wale walio England and specifically walipo jiji la Manchester? If not why all these arguments?
Mi naenda kuangalia sema tu banda la mpira nila nyumbaniMsimu huu tunanza with low expectations na wengine tumepoteza interest kabisa ya kuifuatilia timu.
Kocha ameshidwa kumotivate wachezaji, kazi yake ni kulalama tuu eti hana wachezaji muhimu, utazani ni yeye pekee yake ndio alipeleka wachezaji WC. Yaani anashidwa kuwa inspire wachezaji alionao kwa wakati huu.
Mimi naona Mou kashidwa, anachofanya ni kutafuta excuses
Ahahaha yule Bailly kaficha sana umri
Ana 38 yule
Hawezi kabisa mwendo atakukwatua tu iwe penalty
Liver chini ya klopp wanacheza mpira mzuri hadi fainali ya UEFA wamefika,so ni hatua kubwa sana ndugu. Tatizo sisi tunafungwa kiajabu ajabu tunacheza mpira Wa ajabu ajabuSijakupinga mkuu kuwekeza sio kigezo cha kuleta mafanikio fasta kuna uwekezaj mwingine unaweza usijibu fasta ungine huchukua muda timu ikiwa taratibu inachuja takataka ili kupata watu sahihi kwa sasa uvumilivu ni muhimu mbona hamumfukuzi klopp mwaka wa nne hata kombe hana kwamba liverpool mafanikio yao ni mpira wa pass na kushambulia tu? Na huo ndo uwekezaji mnaotaka Wamekaa kimya kuna kitu wanakiona kwamba uwekezaj wao walau unatia matumaini baadae watapata kitu uje sisi kocha anataka mtu A unampa mtu B anakwambia kabisa tunachofanya kina madhara nimekiona mnavimbiana nae nani wakumlaumu?
Ndugu wachezaji wengi hawakatai kuwa chini ya mou kwa sababu ya maneno yake Bali ufundishaji wake mbovuMourinho Kafanikiwa Kumfanya Ed Woodward kuwa Ni Scapegoat Wa Performance ya Timu Yake! Lakini Kitendo cha Mashabiki Kureact na Kuamua Kuchukua Bango kinaweza Kuja Kumcost Yeye Mwenyewe Mourinho! Trust me.. Baadae Kwenye hii Post Nitakupa Sababu.
Mkuu Naamini Utakubaliana na Mimi Kuwa Tokea Yupo Chelsea Mourinho anayokawaida Ya Personal attack Kwa Mchezaji anapofanya Kosa la Kiuchezaji.
• Tazama mifano huu!
Kipa Karius Alifungisha Magoli 2 Kwa uzembe wa Wazi Katika Fainali ya Champion League Jambo limetuuma sisi Mashabiki, Limewauma Wachezaji Wenzie na Mpaka Klopp mwenyewe naamini limemuuma!
Lakini Klopp Kama Kocha umewahi Kumsikia Akicomment chochote kuhusiana na Makosa Yale! Bali alisimama Kwa Kumpa Support na Kutomuonesha Hostile yoyote hile, Bali yeye kama Kocha alireact Kwa Kusajili Kipa mwengine tu.
• Kosa jengine Ni La Lovren, Lovren aliumia Sehemu ya Tumbo katika World Cup lakini Akaamua Kumficha Klopp na Kujifanya Mzima Kwa Kuhofia eti akimwambia Klopp anaumwa Basi Klopp atasajili Beki mwengine na yeye atakosa namba. Hatimae alisubiri usiku hule uliofungwa Dirisha la Usajili akahakikisha Klopp hawezi Kusajili tena basi ndiyo akamwambia Klopp kuwa anaumwa na Tumbo na anahitajika Kwenda Matibabu Nchini Uholanzi jambo lililomfanya Klopp Kumtegemea Gomez kwasasa kama CB. Lakini Klopp hakuonesha Mashambulizi yoyote Kwa Lovren.
Sasa fikiria Je Kitendo cha Karius angekuwa Ni Kipa Wa Timu Ya Mourinho akafungisha vile si Angelimfukuza Mpaka Mzoezi na kuja Kumuuza Bongo manake Hata Kumuuza Pale ulaya angeona Haitoshi.
Na Kitendo kama Cha Lovren Basi Mourinho nakuhakikishia Angelimuazibu maishayake kutokuichezea Man United.
Sasa kuhusu Bango:
Ed Ni Mtu mwenye Akili kinyume na Mourinho anavyodhani! Anajua Wazi Kuwa Window ya January Timu Nyingi Haziko tayari Kuuza Wachezaji wao..
Kwahiyo anaweza Kumpa Pesa Mourinho Kwa Ajili Ya Wachezaji Wake 5 anaowataka, Hatimae akatia dhabuni Kwahao Wachezaji Na Timu Zikakataa Kuwauza au Wachezaji Wenyewe Wakakataa..
Hatimae Ed anakuja Kwenye Media anasema Tatizo la Mourinho sio Pesa Bali Wachezaji Hawataki Kujiunga na Man United Kucheza Chini Ya Mourinho. Hapo Ed tayari ameshajisafisha Na Kumjengea Mourinho uadui Kwa Mashabiki.
Kwasababu Ni lazima Mashabiki Wawe Wanazingatia Kuwa Si Kwamba Hao Wachezaji Watano aliowataka ndiyo lazima Watakubali!! Kabla Ya Kusajili Lukaku Hata Griezman alimtaka Akakataa..
Na wengi Hukataa Kukochiwa na Mourinho Kwasababu Ya Tania Yake Kushambulia Mchezaji anapokosea.
Kwahiyo Mourinho asitarajie Kuwa Ed ataliacha tukio hili lipite hivihivi tu, Bali nayeye atatake action Kumprove wrong Mourinho.
Ndio kuna uwezekano na wakati mwingine tuna mawazo na maono chanya kuliko waoNaomba kuuliza wadau, hivi sisi wapenzi na mashabiki wa MUFC tuliopo Africa tunauwezo wa kuijua timu kuliko wale walio England and specifically walipo jiji la Manchester? If not why all these arguments?
Lukaku ni jamii ya kina drogbaAmepewa wakina drogba wake aliokuwa akiwataka Ili tumseme? Kila kocha huwa na falsaf yake waliompa kazi wanamjua fika ndo mana mashabik wameamua kupambana nao sio kocha wao ndo wamfute kazi.