Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa mkuu bodi imeharibu vipi mpira wa Manchester United radika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumpa timu kocha ambae wanajua nj mzuiaji wakat utanaduni wetu ni kushambulia sasa falsafa zake zinasumbua sana pale kila timu na utamaduni wake pamoja na hayo wanajua wamempa timu mkabaji bado hawampi watu wake wanataka akabe na wakina pogba hapo naona wanachemka.
 
Sasa mkuu kusahihisha makosa mou atimuliwe tu au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumpa timu kocha ambae wanajua nj mzuiaji wakat utanaduni wetu ni kushambulia sasa falsafa zake zinasumbua sana pale kila timu na utamaduni wake pamoja na hayo wanajua wamempa timu mkabaji bado hawampi watu wake wanataka akabe na wakina pogba hapo naona wanachemka.
Mkuu assume tu wewe ndio mwenyekiti wa hiyo bodi umefanya makosa kama hayo hebu tupe mikakati ya kufuta hayo makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu assume tu wewe ndio mwenyekiti wa hiyo bodi umefanya makosa kama hayo hebu tupe mikakati ya kufuta hayo makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa kwanza hakupaswa kupewa mkataba ambapo mkataba wake ulikuwa ukingoni mwaka huu pia naona manchester huwa wanakurupuka makocha tunawataka ila project zao hatuziangalii kuna wachezaj wanatakiwa sana na makocha lakin hawatimiziwi mahitaji yao wanaishia kupata chaguo la pili naona hicho nacho kinatutesa kwa sasa.
 
Spurs wamekubali kwamba timu yao ni ya kutoa ushindani na mambo ya biashara hasa kuuza wachezaji kwa muda aliokaa kocha wao na hawawezi kubeba hata carabao cup angeshaaanza kuhojiwa kama ni timu ya kupigania makombe

Ukija suala la kwa nini ed woordward hajali matokeo ya uwanjani hicho kitu ndo ambacho mashabik wameshtuka kwamba bodi ipo chini ya watu ambao hawana mapenz ya timu wao wapo kifedha zaidi ndo mana wanataka bodi ijiangalie au kufukuzwa huwezi kumpa mkataba kocha halafu unamnyima pesa za usajili sasa huo si ujinga anafanya?
hata kwa Brighton??
 
hata kwa Brighton??
Katika mechi ambayo tulicheza vibaya mkuu ni hiyo mashabik wengi wa united wamekasirika kaisi kwamba hadi wameanza kampeni ya kumzingua mtendaaji mkuu wa timu kabla ya kumfikia Mourinho.
 
"kwetu sisi matokeo ya ndani uwanja hayana athari kubwa sana kwenye soko letu la biashara." (ed woodward)
mashabiki wa manchester united waliodhamiria kukodi ndege kwa ajili ya kumdhihaki ed woodward wakae wakijua hawatabadilisha upepo na hizo gharama za kukodi ndege ni bora wangelitoa sadaka kwa wanaohitaji msaada.
ni rahisi sana kwa familia ya glazer kuiuza manchester united kuliko kumruhusu ed woodward aondoke manchester united kwa kutumia hoja dhaifu za jose mourinho na walimu wengine waliotangulia.
  1. ed woodward amelipa pound million 30 kwa ajili ya luke shaw wakati wa van gaal halafu anatokezea mshabiki anamlazimisha ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya alex sandro, inamaana kama alex sandro naye hakuendana na falsafa ya mwalimu mourinho ed woodward atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya usajili wa marcelo?
  2. ed woodward amelipa pound millioni 80 kwa ajili ya victor lindeloaf, bailly na marcos rojo na halafu anatokezea mshabiki anamtaka ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya maguire au toby alderweired, kama hawajendana na falsafa ya mwalimu atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya sergio ramos?
  3. ed woodward alilipa pound million 60 kwa ajili ya di maria na mwisho wa siku van gaal alishindwa kumtumia ipasavyo dimaria ndipo akamuuza, ed woodward akatoa tena pound millioni 45 kwa ajili ya antonio martial, mourinho ameshindwa kumtumia ipasavyo , bado ed woodward akatoa tena pesa kumsajili alex sanchez, ina maana tunataka ed woodward alipe pound millioni 100 kwa ajili ya bale na kama haendani na style ya mourinho muheshimiwa ed woodward alipe pound millioni 300 kwa ajili ya mbappe?
  4. ed woodward ametumia zaidi ya pound millioni 250 kwa ajili ya matic, schneiderlin, fred, fellaini, depay memphis, pogba na bado munataka ed woodward alipe pound millioni 50 kwa ajili ya luka modric, inamaana kama naye haendani na falsafa ya mourinho ed woodward alipe tena pound millioni 70 kwa ajili ya toni kroos?
  5. ed woodward amelipa pound millioni 75 kwa ajili ya romelu lukaku na huku upande wa pili wa majirani zetu wamelipa nusu ya pesa hiyo kwa ajili ya mfungaji bora wa msimu uliopita lakini bado kuna watu wanamtaka ed woodward atoe tena pesa kwa ajili ya usajili wa striker eti kwa sababu lukaku siyo top striker, hivi aliyetoa wazo la kusajiliwa lukaku ni ed woodward?
  6. hivi aliyetoa wazo la kuuzwa kagawa, van persie, chicharito, luis nani pia ni ed woodward?
kikosi cha tottenham hotspurs
hugo loris, kieran trippier, sergi aurier, vertonghen, alderweireld, wanyama, dembele, dier, eriksen, dele ali, sissoko, kane, rose.

hivi jamani tottenham hotspurs wanafanya vizuri ndani ya uwanja ni kwa sababu wana mwalimu bora au wana mwenyekiti bora?
tusisahau ya kwamba msimu huu totenham hotspurs hawajafanya usajili.

unapiga shoot target mbili kwenye mechi dhaifu dhidi ya brighton halafu unamlaumu ed woodward eti hajampa mourinho pesa ya usajili hii ni sawa?
msimu uliopita brighton alifungwa goli tano uwanjani kwake na liverpool na mlinzi wa kati alikuwa widjnaldum na lovren
unacheza na leicester city uwanjani kwako unapiga shoot on target nne halafu unamlaumu ed woodward je hii ni sawa?
unadhalilishwa na sevilla halafu unamlaumu ed woodward hajatoa pesa kwa ajili ya usajili wa messi hii ni sawa?
Mourinho-Woodward-1430131.jpg

mourinho anapaswa ashukuru sana kufanya kazi na huyu jamaa asiyejali sana maokeo ya ndani ya uwanja kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ya kazi.
abramovich akupe pound millioni 300 kwa misimu miwili halafu umletee ujinga na bado akupe mkataba mpya?
Wewe umefunga mjadala kabisa hapa asielewa basi tena ana mahaba tu na Mou hiki kitu nishawahi kukisema huko nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mechi ambayo tulicheza vibaya mkuu ni hiyo mashabik wengi wa united wamekasirika kaisi kwamba hadi wameanza kampeni ya kumzingua mtendaaji mkuu wa timu kabla ya kumfikia Mourinho.
Na mashabiki hawalaumu kipigo Bali namna ulivyofungwa...

Man Inafungwa halafu inakosa Ideas ya nini cha kufanya,wachezaji hawaonyeshi moral ya mchezo,Kocha hajui afanye nini..Hata kama Mourihno hakusajiliwa wachezaji aliotaka lakini hata waliopo bado hawatumii to the Maximum.

Edwoord anaweza akawa na sehemu ya lawama Ila asilimia kubwa ni Kwa kocha.

Simtetei kocha chukulia mfano nakwambia pamoja na kwamba umenipa hela hii bado naona kuna tatizo hili tunatakiwa kulitatua mapema ukakaidi na yale madhara yakaonekana mapema mno nani wa kulaumiwa.

Yes kocha ana mbinu mbovu ktk timu yetu jambo ambalo nasema asikilizwe kwanza kabla ya kumhukumu.

Unajua hii timu suala la viungo na mabek la muda mrefu sana hata kipind yule sir alex ilifika maháli akamuomba scholes arudi kucheza akiwa amestaafu sio Mourinho tu anateseka na hii timu hata makocha waliopita van gal alijaribu kuleta had wakina bastian na morgan lakin bado ifike mahali tuwe na uvumilivu kusimamisha timu tukapata chemistry nzur sio jambo dogo

Hapa ndipo panatakiwa sasa pawepo na mkurugenzi wa michezo adili na matatizo ya timu tu nafikir tuanzie hapo.
 
Serious mkuu United ina tatizo la Viungo? Mabeki? Unawajua mabeki wa Liverpool? Zaidi ya VVD wana beki gani wa kueleweka? Klopp amewafanya akina Gomez,Robertson,Alexander wawe wachezaji wa kueleweka..hawa wangekua chini ya Mourihno wangekua Championship huko halafu angeishia kulalamika..na kazi ya Kocha pia ni kuwafanya waliopo wawe wazuri zaidi.

Hamna kiungo mkabaji nani kiungo cha ukabaji? Point ya bek wa liverpool sijailewa hapo kwa upande wa bek ambapo young na valencia walisimama kama mabek ambao wamebadilishwa namba na walishinda kitu kwenda championship basi jones na smalling wangefukuzwa lakin mourinho kabaki nao na anafanya nao kazi na ndio maana alihitaj bek mmoja mzoefu kama ilivyo huyo wa liverpool
 
jamii forums Where we Dare to Talk Openly!
huyu Damushin wa leo na wa jana ni watu wawili tofauti lakini cha kushangaza wote wanatumia account moja hapa JF.
hahahahahahahahahaha (하하하아하하하아) naandika hii comment nikiwa najicheka mwenyewe kwanza na naamini na leo mutanivumilia kama jana nilipotofautiana na jose mourinho na falsafa zake.
naanza na nukuu zifuatazo zilizotolewa na watu muhimu sana ndani ya klabu yetu ambao kwa sasa wametufanya mashabiki tugawanyike pande mbili.

  • jose mourinho : msimu ujao michael carrick ataungana nami kwenye benchi la ufundi, marouanne fellaini hatma yake haijulikani hivyo basi kama wote wataondoka tunahitaji kuziba nafasi zao na pia tunahitaji kuimarisha kikosi chetu baadhi ya maeneo na tayari nimeshaweka mezani mipango yangu kwa bosi wangu (ed woodward)
  • jose mourinho baada ya kufungwa na sevilla : hivi munadhani sevilla ni timu nyepesi wakati kuna baadhi ya wachezaji wana uwezo wa kuchezea manchester united.
  • jose mourinho : josep guardiola amerithi kikosi bora manchester city kuliko mimi na bado anasajili wachezaji bora, tusipokuwa makini itakuwa ni vigumu sana kuwakamata majirani zetu wenye kelele (maneno ya mwisho nimeongeza mimi)
  • ed woodward : tuko vizuri sana kwenye eneo la kibiashara kuliko timu yoyote duniani na matokeo ya ndani ya uwanja hayaleti athari kubwa sana kwenye biashara zetu.
  • ed woodward: manchester united ndiyo timu pekee yenye uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote kwenye soko la usajili bila ya kupata athari yoyote na kwa hilo namuahidi kocha nitayafanyia kazi mapendekezo yake
  • ed woodward : mourinho amefanya kazi ngumu sana hapa manchester united na amezidi kudhihirisha ya kwamba anastahili kupewa mkataba mpya.
upande wa pili wa shilingi tunapaswa tufahamu ya kwamba mourinho huyu ndiye
  1. yule yule aliyewapa ubingwa fc porto kwa mfumu wake pendwa wa kujilinda zaidi huku akimpa nafasi ya uhuru fundi deco souza kuwa kiungo huru.
  2. ndiye yule yule aliyekuja uingereza miaka miwili ya mwanzo na kumdhalilisha ferguson na timu yake na pia kuweka rekodi ya kuchukua ubingwa kwa point 95 na kuruhusu goli 15 msimu mzima kwa kutumia zaidi mfumo wa kujilinda na kumpa nafasi ya uhuru fundi frank lampard, Ina maana hata kocha wetu ferguson hakuwahi kuifikia rekodi yake. na bila ya kusahau msimu wake wa pili alibeba ubingwa kwa kutufunga goli 3 hku wayne rooney akiumizwa mguu na ricardo carvalho mwanadamu aliyemfanya john terry aonekane ni mlinzi bora kumbe ni kama dejan lovren wa liverpool, na kwa ushahidi wa hilo alipoondoka ricardo carvalho ndio ukawa mwisho wa john terry (naruhusu povu kwa mashabiki wa chelsea)
  3. ndiye mourinho huyu huyu aliyeifunga barcelona ya guardiola akiwa na inter milan kwa mfumo ule ule wa kujilinda zaidi na huku akimpa nafasi ya uhuru fundi wesley sneijder.
  4. ndiye mourinho huyu huyu aliyepata dawa ya kupambana na barcelona ya guardiola kwa kutumia mfumo huu huu wa kujilinda kwa kumtumia pepe na msimu wake wa pili akawapa real madrid ubingwa kwa kuweka rekodi ya kukusanya pointi nyingi kwenye historia ya laliga, na pia kutengeneza timu iliyowapa mafanikio carlo ancelotti na zinedine zidane, ina maana hata guardiola hakuifikia rekodi ya kukusanya point 100 na kushinda mechi 32 za ligi kuu kwa msimu mmoja..
maswali tunayopaswa kujiuliza sisi mashabiki, wapenzi na wapiga kelele wa manchester united
  • je wakati bodi ya klabu ya manchester united wanampa kazi jose mourinho walikuwa hawafahamu ya kwamba huyu jamaa anacheza mpira wa kujilinda zaidi?
  • wakati wanampa mkataba walikuwa hawafahamu ya kwamba huyu jamaa hana tabia ya kuwavumilia wachezaji wake pindi wanapokuwa ovyo?
  • bodi walikuwa hawafahamu ya kwamba huyu jamaa ni mtumiaji wa pesa sana kama alivyofanya chelsea na real madrid?
mnamo 28 July 2009 akiwa Inter Milan alizungumza maneno yafuatayo
"I would consider going to Manchester United but United have to consider if they want me to succeed Sir Alex Ferguson. If they do, then of course."
bila ya shaka walikuwa wanayafahamu yote na ndio maana walifikia makubaliano pande zote mbili ya kufanya kazi pamoja.na huyu special one.
sasa kwa nini manchester united wanashindwa kumtimizia mahitaji yake ya kusajili wachezaji haliyakuwa ed woodward ameshajisifu mara nyingi sana ya kwamba klabu ina uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote anayetakiwa na mwalimu.
kwa kutumia akili zangu za GPA ya 32 kwa kauli ya ed woodward anamaanisha ya kwamba manchester united wana uwezo wa kuinunua liverpool na wafanyakazi wote na pesa ya kuisaidia bajeti ya wizara ya kilimo ya Tanzania ikabakia.

  1. tukiangalia upande wa pili wa majirani zetu wenye kelele josep guardiola alirithi manchester city ikiwa imeishia nafasi ya 4 kwenye msimu wa 2015/2016 na pia kutolewa nusu final ya mashindano ya champions league na akaanza kufanya mabadiliko makubwa sana ya wachezaji ambao aliwaona hawana faida kiupande wake.
  2. Timu iliishia nusu final kwenye ligi ya mabingwa lakini bado aliwaondoa wachezaji wafuatao kwa misimu miwili hii/
joe hart, bacary sagna, gael clichy, zabaleta pablo, alexander kolarov, samir nasri, jesus navas, wilfried bony, mangala, martin demicheliss na kelechi iheanacho.
ukiangalia list ya wachezaji hawa pia kwenye timu yetu utagundua kuna wachezaji vilaza kuliko walioachwa na guardiola.
na kwa akili zangu za GPA ya 40 ukiniambia nichague kati ya ashley young + luke shaw dhidi ya alexander kolarov nitamchagua alexander kolarov mmoja kuliko hao wawili kwa pamoja
msimu wake wa kwanza akafanya usajili wa wachezaji wafuatao​
claudio bravo, ikay gundogan, john stones, nolito, leroy sane na gabriel jesus.

wakati huo huo nasisitiza tena alirithi timu yenye wachezaji kama david silva, yaya toure, kevin de bruyne, sergio aguero, vicent kompany, otamendi nicolas, fernandinho, raheem sterling na ukiangalia kwa umakini utagundua ya kwamba ni yaya toure pekee ndiye asiyekuwa na nafasi kwenye kikosi cha kwanza.
sasa kwa nini mourinho aliyerithi timu yenye wachezaji kama smalling, jones, young, shaw, valencia, lingard, mata mvivu,rooney kibonge awekewe ngumu kwenye usajili?
.
msimu wake wa pili akawaongezea mafundi wafuatao​
kyle walker, ederson, bernardo silva, danilo, laporte, benjamin mendy na msimu huu kamuongezea ryad mahrez.

ukija huku kwetu utastaajabu ya mussa na farao
  1. wakati guardiola anamuondoa nolito kwa kutokuendana na falsafa yake msimu wake wa pili alionekana malaika lakini mourinho alipomuondoa mkhitaryan kwa kushindwa kuwa kwenye kiwango msimu wake wa pili alionekana ni shetani.
  2. wakati guardiola anathubutu kufanya usajili wa makipa wawili ndani ya kikosi cha kwanza kwa bei iliovunja rekodi anaonekana ni malaika lakini special one anapoweka maombi ya kuongezewa mlinzi mmoja wa kati mwenye roho ngumu kama bonucci kwa ajili ya kukaza basi lake anaonekana ni shetani.
  3. wakati guardiola anasajili walinzi wawili wa kushoto huku akimuondoa mlinzi mwengine mahiri ambaye ni kolarov anaonekana ni malaika lakini huku kwetu the special one anapoomba apewe fungu la usajili kwa ajili ya alex sandro anaonekana ni shetani asiye na uvumilivu, unabaki kujiuliza kama ni guardiola je angeliendelea kumtumia luke shaw na ashley young kama walinzi wake haliyakuwa amemuondoa alexandre kolarov na gael clichy?
  4. kama guardiola aliweza kuwandoa wachezaji kama mangala na demichelis je kama angelikuwepo manchester united angeliendelea kufanya kazi na wachezaji kama smalling na phil jones.?
bodi ya klabu wanapaswa waendelee kumpa fedha za kutosha jose mourinho bila ya kuhoji matumizi yake kama wanavyofanya manchester city kwa makocha wao.
fikiria alipokuwa chelsea aliwasajili robben, wright phillips, drogba, ferreira, essien, mikel obi, darmian duff, carvalho na kwa kutumia mfumo wake pendwa wa kupaki basi aliwapa ubingwa miaka miwili mfululizo na alitudhalilisha sisi wazee wa attack attack chini ya sir alex ferguson

kwa kutumia mfumo wake pendwa wa kupaki basi amefikisha point 81 msimu uliopita huku baadhi ya mechi ni wachezaji wenyewe ndio walizifanya ziwe ngumu.
nadhani sote tunakumbuka kwenye mechi ya leicester city marcus rashford alikosa magoli ya wazi akiwa peke yake na goli sasa kwa nini tumlaumu mourinho kwa makosa ya rashford kukosa umakini hali ya kuwa bodi inafahamu fika ya kwamba mourinho hana tabia ya kumfundisha mtu mpira?
“We have top players and, sorry if I'm arrogant, we have a top manager,
Please don't call me arrogant, but I'm European champion and I think I'm a special one.

je mwenye makosa ni mourinho au ni bodi yetu ya manchester united?

natamani hii comment aisome rafiki yangu radika peke yake na pro mourinho lakini ndio haiwezekani

ila thread imechangamka sana siku hizi
kuna mchangiaji mmoja alimstishia mwenzake humu ndani atampiga ngumi huko huko aliko nikabaki najiuliza swali inamaana hizi keyboard za siku hizi zina uwezo wa kufanya mashambulizi kwa mtu aliye mbali?
ngoja nywila (password) yangu niitupe baharini nisije nikarushiwa ngumi za keyboard.
kinyonga 😎😎
mourinho oyeeeeee zidane wa nini wakati bodi imeridhishwa na basi letu?
0_GP22587500.jpg
 
hahahahaaaa hii comment wasije wakaiona Darmian na Daud1990 na anti mourinho wengineo humu ndani.
ila thread imechangamka sana siku hizi
ngoja password yangu niitupe baharini

Mkuu kila siku mimi nimekuwa nikiliona hilo ndo mana huwa namuunga mkono kocha japo kuna baadhi ya mech mbinu zake huwa sizipendi

Tukitaka kumuua kocha asikilizwe ashindwe yeye kwa sasa hata bodi imeona kabisa inazingua yenyewe

Umechambua vizur sana mkuu hongera.
 
Mkuu umenena point aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom