Kumekuchaaaa
Screenshot_2018-07-25-19-20-45-406_com.bskyb.fbscore.jpg
 
Msimu huu tunanza with low expectations na wengine tumepoteza interest kabisa ya kuifuatilia timu.

Kocha ameshidwa kumotivate wachezaji, kazi yake ni kulalama tuu eti hana wachezaji muhimu, utazani ni yeye pekee yake ndio alipeleka wachezaji WC. Yaani anashidwa kuwa inspire wachezaji alionao kwa wakati huu.
Mimi naona Mou kashidwa, anachofanya ni kutafuta excuses
 
Mzuka kwangu umekata kabisa..kocha kazi kulalama tu,..spurs asilimia 85 ya first eleven yao walikuwa world cup..
 
acha nigeuke kinyonga siku ya leo kwa kumtetea ed woodward lakini kesho nitakuja kumtetea mourinho.
aigoooooo
gwenchanah gwenchanah
  1. wakati wa peter kenyon usajili mkubwa na wa gharama uliofanywa na manchester united ulikuwa ni usajili wa rio ferdinand kutoka leeds united kwa pound million 33.
  2. wakati wa utawala wa david gill biashara kubwa ya gharama aliyoifanya ilikuwa ni usajili wa dimitar berbatov kwa pound million 31.
  3. ed woodward ana matatizo yake lakini kwenye ishu ya kumwaga hela kwenye usajili anajitahidi sana japokuwa yupo kibiashara zaidi ila bahati mbaya wanaomuangusha ni makocha waliorithi timu kutoka kwa alexander ferguson. tusisahau edwoodward ndiye aliyekuwa mtendaji mkuu wa klabu wakati sir alex anamsajili robin van persie.
  4. achana na david moyes kutokuwa na ushawishi kwa wachezaji na hatimaye kuishia kumsajili fellaini na kuzidiwa kete na guardiola kwenye usajili wa alcantara. alipokuja van gaal woodward alifanikisha usajili wa wachezaji kama dimaria (54 million), darmian (14 million), blind (15 million), schneiderlin(26 million), martial(40 million), marcos rojo (17 million), sergio romero, victor valdes, luke show (27 million), mwisho wa msimu tuliishia hatua ya makundi kwenye ligi ya ulaya na kuishia nafasi ya 5 kwenye ligi kuu, kwa nini tumlaumu ed woodward?
  5. tukirudi kwa mourinho naye kisingizio chake kikubwa ni kuwa eti amerithi timu dhaifu zaidi ya timu aliyorithi mpinzani wake guardiola, inawezekana muna ukweli uliodhahiri ndani ya hoja yake lakini ed woodward kwenye soko la usajili alimpa msaada mkubwa sana, tunapaswa tukumbuke ya kwamba msimu wa mwanzo wa mourinho alisajili wachezaji kama vile eric bailly (pound million 25), mkhitaryan (pound million 26) na pia tulivunja rekodi kwa kumsajili paul pogba kutoka juventus.
  6. msimu uliopita alikubali kulipa pound million 75 kwa usajili wa lukaku, lindeloaf (30 million) na januari alifuta kosa lake la kushindwa kumsajili perisic baada ya kulipa pound million 30 kwa ajili ya sanchez. msimu huu tayari ameshalipa million 53 kwa ajili ya fred, sasa kwa nini tumlaumu ed woodward?
  7. timu aliyonayo mourinho ni kubwa zaidi ya kikosi cha manchester united kilichoshinda ubingwa kwa mara ya mwisho ila yeye ndio tatizo kwa sababu a meshindwa kutengeneza chemistry ya maana kwa wachezaji.
37769265_1996927227033911_1369043262509154304_n.jpg
José on MUTV: "As always, I give my list of players I want to Mr. Woodward, and I wait to see what happens. Am I happy? I am not happy with many things, but I have not spoken to him as he is on his holidays.”
1f611.png
:):mad::confused::p:D:oops::rolleyes:o_O:confused:
shikamooo woodward na nimeona tetesi zinasema mourinho anataka kuachana na timu.​
Umemaliza mkuu Mou ndo shida pale Manchester na sio Wood maana haiingii akilini kila mchezaji anaekuja pale hafanyi vizuri na aliowakuta hawafanyi vizuri pia.
 
Msimu huu tunanza with low expectations na wengine tumepoteza interest kabisa ya kuifuatilia timu.

Kocha ameshidwa kumotivate wachezaji, kazi yake ni kulalama tuu eti hana wachezaji muhimu, utazani ni yeye pekee yake ndio alipeleka wachezaji WC. Yaani anashidwa kuwa inspire wachezaji alionao kwa wakati huu.
Mimi naona Mou kashidwa, anachofanya ni kutafuta excuses
Sidhani kama kuna msimu sijafuatilia transfer ya timu yangu kama msimu huu yani sina mzuka wala.
 
*UEFA Champions League 2018-2019 Pots*

*ᴄʜᴀᴍᴘɪᴏɴs ʟᴇᴀɢᴜᴇ*

*POT 1⃣*

Atletico Madrid
Barcelona
PSG
Lokomotiv Moscow
Bayern Munich
Juventus
Manchester City
Real Madrid

*POT 2⃣*

Tottenham
FC Porto
Shakhtar Donetsk
SSC Napoli
Dortmund
Man United
Benfica
FC Basel

*POT 3⃣*

Liverpool
Monaco
Schalke 04
Ajax
Roma
RB Salzburg
Lyon
CSKA Moscow

*POT 4⃣*

Valencia
Viktoria Plzen
Club Brugge
Inter Milan
PSV Eindhoven
Celtic
Galatasaray
Hoffenheim
 
Back
Top Bottom