Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utaniambiaje ntasubir sana ikiwa huna hata harufu ya epl since 1992 what a joke???

Unajilinganisha na kipofu? Seriously?
ManU ina standards zake na ni kugombea ubingwa wala sio top 4
Kumbuka huu ni mwaka wa 5 and counting!
 
Unajilinganisha na kipofu? Seriously?
ManU ina standards zake na ni kugombea ubingwa wala sio top 4
Timu imepoteza uelekeo toka sir alex aliposepa na makocha waliowaleta bado hawajakidh viwango ni ngumu kusema tupo kwenye mbio za ubingwa halafu utakua uongo ndo mana msimu ulioisha mourinho aliambiwa na ed hakuwa na msimu mbaya kwa kuwa yupo nafasi ya pili kicha anacheza champions league umeona hapo?
 
Kuna guarantee gani kuwa atakaowasajili wataperform kama tu ambao amewasajili hakuna aliyedeliver ukiacha matic kidogo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndo ilikuwa karata yake ya mwisho ili afukuzwe wakishindwa kwa sasa kapata visingizio ndo mana mashabik wanamlaumu ed kwa hilo sijui kama tunaelewa mkuu
 
Timu imepoteza uelekeo toka sir alex aliposepa na makocha waliowaleta bado hawajakidh viwango ni ngumu kusema tupo kwenye mbio za ubingwa halafu utakua uongo ndo mana msimu ulioisha mourinho aliambiwa na ed hakuwa na msimu mbaya kwa kuwa yupo nafasi ya pili kicha anacheza champions league umeona hapo?

Yaleyale ya Wenger eti kila mwaka top four na champions league ndio benchmark!
Ndio uelekeo huo kwa sasa.
Gone are the days when ManU was ruthless and hungry for crowns
Mtasubiri sana kwa Mou huyu
It’s already 5 years and counting!!!
 
Yaleyale ya Wenger eti kila mwaka top four na champions league
Ndio uelekeo huo kwa sasa.
Gone are the days when ManU was ruthless and hungry for crowns
Mtasubiri sana kwa Mou huyu
Ndo mana nimekuuliza sisi kama mashabik tunafanyaje sasa kuhusu mourinho unaniambia tutasubir sana kwa hiyo?
 
Ndo mana nimekuuliza sisi kama mashabik tunafanyaje sasa kuhusu mourinho unaniambia tutasubir sana kwa hiyo?

Fire his ass!
Nakushangaa unaposema nina chuki nae wakati hanilipii hata rent na wewe umengangania kuwa ni bonge la kocha
 
Fire his ass!
Nakushangaa unaposema nina chuki nae wakati hanilipii hata rent na wewe umengangania kuwa ni bonge la kocha
Uliposema mourinho hakubeba ndoo mbele ya pep nimeshangaa bado ukalilia suala la kufukuza sio jepesi kama unavyofikir
 
Naomba kuuliza wadau, hivi sisi wapenzi na mashabiki wa MUFC tuliopo Africa tunauwezo wa kuijua timu kuliko wale walio England and specifically walipo jiji la Manchester? If not why all these arguments?

Hivi Mkuu Unatumia Twitter au Instagram? Au Hata FB?
Yaani Hao Mashabiki Waliopo England ukichungulia Twitter ndiyo utawaona wao Wamechafuka Kuliko hawa Waliopo Afrika.
Wana Arguments za Kufa mtu.
 
Uliposema mourinho hakubeba ndoo mbele ya pep nimeshangaa bado ukalilia suala la kufukuza sio jepesi kama unavyofikir

Ok ok ok
Mou ni bonge la kocha.
Mwache abaki Old Trafford for as long as you would wish. Makombe yatakuja na style ya playing itabadilika. Msimu huu mtabeba EPL na UCL
Be easy, dude
Be happy
 
Madrid Tip tap
Barcelona Tiki Taka
Atletico. Organization
Man city. Positional play
Liverpool gen gen pressing
Chelsea SarriBall
Arsenal. Average players
Man utd. Error 404 file does not exist please check the recycle bin or park the bus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ok ok
Mou ni bonge la kocha.
Mwache abaki Old Trafford for as long as you would wish. Makombe yatakuja na style ya plying itabadilika.
Be easy, dude
Be happy
Hilo la bonge la kocha la kwako naona unatafuta utoke vipi suala la makombe hata nyie mngebeba wamepita makocha wa kila aina naona mnayo kibao huko kwenu
 
Back
Top Bottom