radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Imebeba makombe mangapi toka 1992?Hivi kwa nini uumize nafsi kwa vitu unavyoweza kuviongoza ( things you can control)?
Njoeni tuishangilia timu bora Liverpool FC.
Imebeba makombe mangapi toka 1992?Hivi kwa nini uumize nafsi kwa vitu unavyoweza kuviongoza ( things you can control)?
Njoeni tuishangilia timu bora Liverpool FC.
Imebeba makombe mangapi toka 1992?
Herrera angefaa achwe kiungo yake ya ushambuliaji hii ya kubadili wachezaj namba inatukost sana nashangaa kwa nini timu hainunui wachezaj asilia wa namba husikaHadi leo sijui kwanini Ander anakaa benchi kwa aina ya wachezaji wanaocheza nafasi ya kiungo,Herrera ana commitment tofauti na wachezaji wengi wa United.
Fact mkuu watu ni kuponda tu hata huyo sir alex alihangaika sana kuisimamisha timu nusu ya kufukuzwa timu zilizofanikiwa ni uwekezaj wa muda mrefu mi ndo maana nimechagua kumpa kampani kocha yoyote atakaekujaTatizo mashabiki tunaongea sana...hatuweki akiba ya maneno.! Nimeangalia baadhi ya comment hadi nimeshangaa jinsi watu wanavyoongea pointless baada ya timu kupoteza!
Ugiligili speaking.
Hao ni watafuta mafanikio ya haraka huwezi kuondokewa na kocha aliedumu kwenye timu miaka zaidi ya 26 anakuja kocha na falsafa zake mpya unataka zifanye kazi kama aliepitaMkuu acha kuishi kwa historia, ingekuwa hivyo mngekuwa mmeridhika kwa sababu hapo nyuma mmebeba makombe mengi.
Lakini kila ukifungua page ya sports unakuta washabiki wa Man Utd wanalialia kila kona.
Hao ni watafuta mafanikio ya haraka huwezi kuondokewa na kocha aliedumu kwenye timu miaka zaidi ya 26 anakuja kocha na falsafa zake mpya unataka zifanye kazi kama aliepita
Hadi sir alex anaondoka timu aliyoicha alikuwa na uwezo wa kufanya nayo kazi yeye tu umeona moyes alivyohangaika nao
Sijakupinga mkuu kuwekeza sio kigezo cha kuleta mafanikio fasta kuna uwekezaj mwingine unaweza usijibu fasta ungine huchukua muda timu ikiwa taratibu inachuja takataka ili kupata watu sahihi kwa sasa uvumilivu ni muhimu mbona hamumfukuzi klopp mwaka wa nne hata kombe hana kwamba liverpool mafanikio yao ni mpira wa pass na kushambulia tu? Na huo ndo uwekezaji mnaotaka Wamekaa kimya kuna kitu wanakiona kwamba uwekezaj wao walau unatia matumaini baadae watapata kitu uje sisi kocha anataka mtu A unampa mtu B anakwambia kabisa tunachofanya kina madhara nimekiona mnavimbiana nae nani wakumlaumu?Mkuu soka la sasa ni tofauti na miaka ile kina Fergie wanaingia, siku hizi watu wanawekeza sana, muda wa kuvumiliana hakuna.
Na wanataka majibu on time.
Sijakupinga mkuu kuwekeza sio kigezo cha kuleta mafanikio fasta kuna uwekezaj mwingine unaweza usijibu fasta ungine huchukua muda timu ikiwa taratibu inachuja takataka ili kupata watu sahihi kwa sasa uvumilivu ni muhimu mbona hamumfukuzi klopp mwaka wa nne hata kombe hana kwamba liverpool mafanikio yao ni mpira wa pass na kushambulia tu? Na huo ndo uwekezaji mnaotaka Wamekaa kimya kuna kitu wanakiona kwamba uwekezaj wao walau unatia matumaini baadae watapata kitu uje sisi kocha anataka mtu A unampa mtu B anakwambia kabisa tunachofanya kina madhara nimekiona mnavimbiana nae nani wakumlaumu?
Mashabiki wa Man United wameamua hili ....
Mashabiki wa Manchester United wamelipia ndege ambayo itabeba bango lenye ujumbe la kumtaka Mtendaji Mkuu Ed Woodward kuondolewa katika wadhifa wake wiki ijayo kwenye mechi dhidi ya Burnley .
Bango hilo litabeba ujumbe utakaondikwa “Ed Out - LUHG” ikimaanisha kwamba " Ed Nje , Love United Hate Glazer = Tunaipenda United Tunamchukia Glazer .
Taarifa hizo zimekuja saa 48 baada ya nahodha wa zamani wa Man United Gary Neville kusema kwamba Woodward alimuangusha Jose Mourinho katika dirisha la usajili kwa kushindwa kumpa wachezaji aliokuwa anawataka , licha ya kumpa mkataba mpya Mourinho mwezi Januari.
Awali mashabiki wa United walipanga kutumia bango hilo siku ya Jumatatu kwenye mechi ya Old Trafford dhidi ya Tottenham lakini ufinyu wa mwanga hewani umewafanya wacheleweshe maandamano hayo.
Mara ya mwisho mashabiki wa United kutumia mbinu hiyo ilikuwa mwezi Machi mwaka 2014 huku Bango hilo likiwa na ujumbe unaosomeka ," Wrong One - Moyes Out " ilitumika ili kumuondoka David Moyes madarakani . Na mwezi uliofuata United walimfukuza kazi Moyes.
Pamoja na kwamba huwa namtetea sana huyu kocha ujue bodi imegawanyika wapo wanaoona kocha anafaa na wengine hawamtakiMourinho Kafanikiwa Kumfanya Ed Woodward kuwa Ni Scapegoat Wa Performance ya Timu Yake! Lakini Kitendo cha Mashabiki Kureact na Kuamua Kuchukua Bango kinaweza Kuja Kumcost Yeye Mwenyewe Mourinho! Trust me.. Baadae Kwenye hii Post Nitakupa Sababu.
Mkuu Naamini Utakubaliana na Mimi Kuwa Tokea Yupo Chelsea Mourinho anayokawaida Ya Personal attack Kwa Mchezaji anapofanya Kosa la Kiuchezaji.
• Tazama mifano huu!
Kipa Karius Alifungisha Magoli 2 Kwa uzembe wa Wazi Katika Fainali ya Champion League Jambo limetuuma sisi Mashabiki, Limewauma Wachezaji Wenzie na Mpaka Klopp mwenyewe naamini limemuuma!
Lakini Klopp Kama Kocha umewahi Kumsikia Akicomment chochote kuhusiana na Makosa Yale! Bali alisimama Kwa Kumpa Support na Kutomuonesha Hostile yoyote hile, Bali yeye kama Kocha alireact Kwa Kusajili Kipa mwengine tu.
• Kosa jengine Ni La Lovren, Lovren aliumia Sehemu ya Tumbo katika World Cup lakini Akaamua Kumficha Klopp na Kujifanya Mzima Kwa Kuhofia eti akimwambia Klopp anaumwa Basi Klopp atasajili Beki mwengine na yeye atakosa namba. Hatimae alisubiri usiku hule uliofungwa Dirisha la Usajili akahakikisha Klopp hawezi Kusajili tena basi ndiyo akamwambia Klopp kuwa anaumwa na Tumbo na anahitajika Kwenda Matibabu Nchini Uholanzi jambo lililomfanya Klopp Kumtegemea Gomez kwasasa kama CB. Lakini Klopp hakuonesha Mashambulizi yoyote Kwa Lovren.
Sasa fikiria Je Kitendo cha Karius angekuwa Ni Kipa Wa Timu Ya Mourinho akafungisha vile si Angelimfukuza Mpaka Mzoezi na kuja Kumuuza Bongo manake Hata Kumuuza Pale ulaya angeona Haitoshi.
Na Kitendo kama Cha Lovren Basi Mourinho nakuhakikishia Angelimuazibu maishayake kutokuichezea Man United.
Sasa kuhusu Bango:
Ed Ni Mtu mwenye Akili kinyume na Mourinho anavyodhani! Anajua Wazi Kuwa Window ya January Timu Nyingi Haziko tayari Kuuza Wachezaji wao..
Kwahiyo anaweza Kumpa Pesa Mourinho Kwa Ajili Ya Wachezaji Wake 5 anaowataka, Hatimae akatia dhabuni Kwahao Wachezaji Na Timu Zikakataa Kuwauza au Wachezaji Wenyewe Wakakataa..
Hatimae Ed anakuja Kwenye Media anasema Tatizo la Mourinho sio Pesa Bali Wachezaji Hawataki Kujiunga na Man United Kucheza Chini Ya Mourinho. Hapo Ed tayari ameshajisafisha Na Kumjengea Mourinho uadui Kwa Mashabiki.
Kwasababu Ni lazima Mashabiki Wawe Wanazingatia Kuwa Si Kwamba Hao Wachezaji Watano aliowataka ndiyo lazima Watakubali!! Kabla Ya Kusajili Lukaku Hata Griezman alimtaka Akakataa..
Na wengi Hukataa Kukochiwa na Mourinho Kwasababu Ya Tania Yake Kushambulia Mchezaji anapokosea.
Kwahiyo Mourinho asitarajie Kuwa Ed ataliacha tukio hili lipite hivihivi tu, Bali nayeye atatake action Kumprove wrong Mourinho.
DuuhAhahaha yule Bailly kaficha sana umri
Ana 38 yule
Hawezi kabisa mwendo atakukwatua tu iwe penalty
Spurs wamekubali kwamba timu yao ni ya kutoa ushindani na mambo ya biashara hasa kuuza wachezaji kwa muda aliokaa kocha wao na hawawezi kubeba hata carabao cup angeshaaanza kuhojiwa kama ni timu ya kupigania makombe"kwetu sisi matokeo ya ndani uwanja hayana athari kubwa sana kwenye soko letu la biashara." (ed woodward)
mashabiki wa manchester united waliodhamiria kukodi ndege kwa ajili ya kumdhihaki ed woodward wakae wakijua hawatabadilisha upepo na hizo gharama za kukodi ndege ni bora wangelitoa sadaka kwa wanaohitaji msaada.
ni rahisi sana kwa familia ya glazer kuiuza manchester united kuliko kumruhusu ed woodward aondoke manchester united kwa kutumia hoja dhaifu za jose mourinho na walimu wengine waliotangulia.
- ed woodward amelipa pound million 30 kwa ajili ya luke shaw wakati wa van gaal halafu anatokezea mshabiki anamlazimisha ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya alex sandro, inamaana kama alex sandro naye hakuendana na falsafa ya mwalimu mourinho ed woodward atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya usajili wa marcelo?
- ed woodward amelipa pound millioni 80 kwa ajili ya victor lindeloaf, bailly na marcos rojo na halafu anatokezea mshabiki anamtaka ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya maguire au toby alderweired, kama hawajendana na falsafa ya mwalimu atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya sergio ramos?
- ed woodward alilipa pound million 60 kwa ajili ya di maria na mwisho wa siku van gaal alishindwa kumtumia ipasavyo dimaria ndipo akamuuza, ed woodward akatoa tena pound millioni 45 kwa ajili ya antonio martial, mourinho ameshindwa kumtumia ipasavyo , bado ed woodward akatoa tena pesa kumsajili alex sanchez, ina maana tunataka ed woodward alipe pound millioni 100 kwa ajili ya bale na kama haendani na style ya mourinho muheshimiwa ed woodward alipe pound millioni 300 kwa ajili ya mbappe?
- ed woodward ametumia zaidi ya pound millioni 250 kwa ajili ya matic, schneiderlin, fred, fellaini, depay memphis, pogba na bado munataka ed woodward alipe pound millioni 50 kwa ajili ya luka modric, inamaana kama naye haendani na falsafa ya mourinho ed woodward alipe tena pound millioni 70 kwa ajili ya toni kroos?
- ed woodward amelipa pound millioni 75 kwa ajili ya romelu lukaku na huku upande wa pili wa majirani zetu wamelipa nusu ya pesa hiyo kwa ajili ya mfungaji bora wa msimu uliopita lakini bado kuna watu wanamtaka ed woodward atoe tena pesa kwa ajili ya usajili wa striker eti kwa sababu lukaku siyo top striker, hivi aliyetoa wazo la kusajiliwa lukaku ni ed woodward?
- hivi aliyetoa wazo la kuuzwa kagawa, van persie, chicharito, luis nani pia ni ed woodward?
kikosi cha tottenham hotspurshugo loris, kieran trippier, sergi aurier, vertonghen, alderweireld, wanyama, dembele, dier, eriksen, dele ali, sissoko, kane, rose.
hivi jamani tottenham hotspurs wanafanya vizuri ndani ya uwanja ni kwa sababu wana mwalimu bora au wana mwenyekiti bora?
tusisahau ya kwamba msimu huu totenham hotspurs hawajafanya usajili.
unapiga shoot target mbili kwenye mechi dhaifu dhidi ya brighton halafu unamlaumu ed woodward eti hajampa mourinho pesa ya usajili hii ni sawa?
msimu uliopita brighton alifungwa goli tano uwanjani kwake na liverpool na mlinzi wa kati alikuwa widjnaldum na lovren
unacheza na leicester city uwanjani kwako unapiga shoot on target nne halafu unamlaumu ed woodward je hii ni sawa?
unadhalilishwa na sevilla halafu unamlaumu ed woodward hajatoa pesa kwa ajili ya usajili wa messi hii ni sawa?
![]()
mourinho anapaswa ashukuru sana kufanya kazi na huyu jamaa asiyejali sana maokeo ya ndani ya uwanja kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ya kazi.
abramovich akupe pound millioni 300 kwa misimu miwili halafu umletee ujinga na bado akupe mkataba mpya?
NENO!"kwetu sisi matokeo ya ndani uwanja hayana athari kubwa sana kwenye soko letu la biashara." (ed woodward)