Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Punguzeni utani nyie watu!
Fellain hatakiwi awepo sehemu yyt ambayo Keita anakuwepo
Unalinganisha vipi chezaji aliyeanza Bundesliga mechi zote 36 dhidi ya Fellain aliayenza mechi 2?
Punguzeni utani wa kufananisha mtu na kamtu!!
Kweli inamwagwa jezi Fellain anafikiriwa hata kuichukua wkt yupo Keita?
Kichekesho sana hiki
 
Hiyo assist alimpa nani ?

Au unazungumzia pre-season
Belo kweli unamuweka kundi moja mnyama Keita na useless Fred ?
Leicester wameongoza ball possesion mechi yote toka dakika ya kwanza hadi ya 90?
Mfananisha Yesu na Kadinali Pengo?
 
Mwaka jana mwezi kama huu ulisema manchester united ni nguvu ya soda haimalizi top cha ajabu nyie ndo mpo nje yani out!!!!
Msimu huu man u na liverpool Salama yenu ni kutwaa ndoo ya EPL kinyume na hapo mtapata tabu sana
Hivi unajua toka fegason amestaafu man u haijawahi kutwaa EPL radika
 
Msimu huu man u na liverpool Salama yenu ni kutwaa ndoo ya EPL kinyume na hapo mtapata tabu sana
Hivi unajua toka fegason amestaafu man u haijawahi kutwaa EPL radika
Natambua timu ipo kwenye kipindi cha mpito muda utafika tu pale tutakapopata kikosi cha ushindani usajili huu hatukufanya vizur sokoni nafikir mourinho players wengi alichagua ambao bodi haiwataki above 29 so bado sio salama yake kama asipobeba kombe lolote kufukuzwa kupo hapo sipendi timua ya makocha inaharibu sana timu dawa ni kumuacha tu
 
Subir ukutane na burnley mwisho wa mdomo west ham tawi lako lile
Burnely hajanifunga mwaka jana,katoa sare kwangu nikamchapa kwake
Mwaka huu so caled teams ndogo hata sare hawapati
Wanapataje sare kwa mfano?
 
Points za muhimu kuhusu uhusiano kati ya Mourinho na wachezaji especially Pogba kwenye press conference ya leo.

Mourinho: “The truth is we are together for two years & I've never been so happy with Pogba as I am now. That's the truth. I cannot demand more from him, I cannot ask more from him."


Mourinho: “Paul Pogba will again be captain against Brighton, and I am so happy with him and that’s the truth.”


Mourinho: "Please don't write lies. Please don't put Paul in a situation where he appears to be not polite. We've never had a heated discussion. Everything is about respect."


Mourinho: "I've been here for 2 years and the only player to have ever been fined is Anthony Martial. It's not easy to be fined here."
 
Back
Top Bottom