Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Points za muhimu kuhusu uhusiano kati ya Mourinho na wachezaji especially Pogba kwenye press conference ya leo.

Mourinho: “The truth is we are together for two years & I've never been so happy with Pogba as I am now. That's the truth. I cannot demand more from him, I cannot ask more from him."

Mourinho: “Paul Pogba will again be captain against Brighton, and I am so happy with him and that’s the truth.”

Mourinho: "Please don't write lies. Please don't put Paul in a situation where he appears to be not polite. We've never had a heated discussion. Everything is about respect."

Mourinho: "I've been here for 2 years and the only player to have ever been fined is Anthony Martial. It's not easy to be fined here."
Kumbe press tayari ngoja nikaongezee kwa kusikiliza press yake zaidi
 
Valencia, Matic and Lingard have returned to training and are 'fully fit but not yet (ready) to play or even to be selected on Sunday' .
 
Maneno mazur ya kocha haya labda dogo aendelee kuleta utoto mbona shaw hakuwahi kufanya haya hamna mchezaji ambae alikuwa na hali ngumu kama shaw
FB_IMG_1534513841228.jpg
 
mou anamfumba macho pogba kipindi hiki dirisha la usajili haijafungwa maana agent wake pogba ana push mteja wake aende barca sasa subiri dirisha lifungwe kama utasikia mou ana mplease POGABA
 
Perreira,pogba na fred waanze kama mechi iliyopita..ila kule mbele ni bora tuanze na martial on left,sanchez on right na lukaku kama straiker..beki wabaki vilevile kasoro darmian
 
Perreira,pogba na fred waanze kama mechi iliyopita..ila kule mbele ni bora tuanze na martial on left,sanchez on right na lukaku kama straiker..beki wabaki vilevile kasoro darmian
Nashindwa kuelewa kwanini kocha hataki kumuweka sanchez on the right, analazimisha kobe mata.
 
Nashindwa kuelewa kwanini kocha hataki kumuweka sanchez on the right, analazimisha kobe mata.
Kwangu mimi Mata ni mzuri kuliko Sanches, has a good sight, he is sharp and has more footballing intelligence than Sanches
 
Nashindwa kuelewa kwanini kocha hataki kumuweka sanchez on the right, analazimisha kobe mata.
Kushoto hakuna kitu ambacho huyu sanchez kakifanya,,ni bora awekwe martial acompete na rashford
 
Mkataba huwa unavunjwa kwa maneno?
Presha ya Pogba kuondoka apo man u ni kubwa sana. Na ukizingatia dirisha la usajili la Hispania bado halijafungwa hivyo kuna uezekano wa yeye kuondoka.

Mkataba unavunjwa kwa jinsi ulivyosainiwa.
 
Back
Top Bottom