hongereni watani kwa Kupata ushindi ila bado mna safari ndefu
Na kitu kinachoniboa mimi,ingekuwa Martial ndo kacheza hivi leo,basi angekaa benchi kwa mechi tano zijazo..narudia tena kusema sanchez usajili wake tulikurupuka tu..ni bora tungetafuta mtu wa kucheza winga ya kulia ambaye angeongeza nguvu ya ushambuliaji..
Martial sio kwamba nampenda sana,no,,sioni sababu ya sanchez kumweka benchi..
Rashford sijui anaelekea wapi huyu dogo..yasije yakawa yale ya welback
Bailly na lindelof wanaweza kutengeneza patnership nzuri,,kocha inabidi aendelee kuwapa nafasi
Perreira ni kama usajili mpya..trio yao yeye pamoja na pogba na fred ilikuwa nzuri sana...wamefanya mechi iwe na tempo ila sasa tatizo likaja kwenye washambuliaji wetu(rashford,sanchez,mata),,wote hawa walikuwa ovyo..
Ivi possession ya 47 kwa 53 ni kupaki basi?Wazee wa kulipaki basi
Kama mlikuwa ugenini vile
Kiongozi uko right 100%Na kitu kinachoniboa mimi,ingekuwa Martial ndo kacheza hivi leo,basi angekaa benchi kwa mechi tano zijazo..narudia tena kusema sanchez usajili wake tulikurupuka tu..ni bora tungetafuta mtu wa kucheza winga ya kulia ambaye angeongeza nguvu ya ushambuliaji..
Martial sio kwamba nampenda sana,no,,sioni sababu ya sanchez kumweka benchi..
Rashford sijui anaelekea wapi huyu dogo..yasije yakawa yale ya welback
Bailly na lindelof wanaweza kutengeneza patnership nzuri,,kocha inabidi aendelee kuwapa nafasi
Perreira ni kama usajili mpya..trio yao yeye pamoja na pogba na fred ilikuwa nzuri sana...wamefanya mechi iwe na tempo ila sasa tatizo likaja kwenye washambuliaji wetu(rashford,sanchez,mata),,wote hawa walikuwa ovyo..

Am on It Again and I'll Be who I'm toward Mou Tactics.Wale Waliokuwa Wakim-criticize Morinho naona wamenyamazishwa Kiaina!! Wanasubiri Siku atakayoDraw tu uwaone watakavyotiririka Hapa 😀😀😀