Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mtafuteni huko ICU Eqlyps khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee na bibie BJ khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
jazzia090800005.jpg
.....and they thought it was all over? it is now.....bye bye hahahahahahahahaha.........!
 
hehehehehe Carling bye bye, CL bye bye, FA Man city anawasubiri, EPL hakuna dalili kwa mambo yanavyokwenda.

Mi naungana na Mzee wenger wa JF tu kwamba jamaa wajiandae na mechi za alhamisi
 
Si Alex atajutia ile siku ya mechi vs. Benfica Old Trafford kwa kikosi alichopanga,pia leo kwa kutompanga Welbeck toka mwanzo.
 
hehehehehe Carling bye bye, CL bye bye, FA Man city anawasubiri, EPL hakuna dalili kwa mambo yanavyokwenda.

Mi naungana na Mzee wenger wa JF tu kwamba jamaa wajiandae na mechi za alhamisi
Mwaka huu Man U ni mndwebedo tu!!
 
422_1_mid.jpg
27545_142759789096771_9888_n.jpg


...bye bye

nini?...hahahahahahaha!

Mkuu naomba uniwekee ticket ya Etihad Airways ya kuelekea Europa league, kwenye jina la passenger weka Manchester Clubs. Wata share ndege hawa majirani hatutaki watuchafulie hali hewa kwa kutumia ndege mbili wakati safari moja.
 
Nahisi leo timu zote za Manchester zinaweza kutolewa ... ... .... Mancs watatoka kwa matokeo yasiyo juu yao dakika 50 zinazokuja zitatupa ukweli khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Prof. anapendelea wote wa-qualify ... .... ..
united_1419173a.jpg


RED ALERT ... Wine Romney leads the Manure team mates to collect their pensions ... ..

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
MBWA WAKUBWA! NaONA JEZI ZIMEWATISHA MkAJUA BARCA.
 
Dah, Mpira wakuangalia alhamisi wala hauendani kabisa na majina yao.
 
Wakuu mpira unadunda na siku zote lazima kukubali matokeo aisee, labda tuwasubiri nyinyi wenzetu ambao mmeweza kuvuka hii sehemu tuone itakuwaje....
 
....and the winner is.....

image1.jpeg


...who laugh lasts,....!

Mkuu kumbe upo maana sikuoni kabisa aiseee, vipi umeona vijana walivyofanya kazi nzuri leo??ila kwa bahati mbaya wametolewa aisee..
 
Back
Top Bottom