Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamna mtu atahama United ni club kubwa tofautu na vitotoor unexperience Arsenal or Chelsea au Man City nadhani kila mtu ameona kwamba mwaka huu United hawapo vizuri kwanza wachezaji baadhi wamestaafu na wengine wameuzwa na wengine wameumia so hapo hamna haja ya kuongea sana wakuu mambo bado sana......maana inafikia mpaka Mancheda anaingia ndani, hamna jinsi imebidi iwe hivyo...

Hamkujua ka wanastaafu!? Na kwa nini mliwauza!? Babatov, Valencia, Owen, Carrick nk hao Sio wachezaji wenu!?
 
man u hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee............................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11

tunatisha mtu wangu.
 
man u hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee............................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11

tunatisha mtu wangu.
Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sina la kusema

Mimi nnalo...

I think were are just not good enough...tumepata tulichostahili...tulipanda uzembe na matunda yake ni kwenda kucheza kombel la mbuzi(Europa League)...
Ukitazama mechi ya kwanza na Basel...mpaka half time 2-0 up....suprisingly tukajaishia na 3-3 draw baada ya kuruhusu jamaa kutupiga 3-2, that was uncharacteristic United Style.
The future looked bright pale mwanzo with fresh blood in the engine room in the young blood ya Tom Cleverly, Anderson na Hapa nyuma akicheza Chris Smalling na John Evans, since that formation was abandoned in favour of the lazy Michael Carrick na Rio Ferdinand....honestly timu imekufa katika engine room(midfield), hakuna tena defensive wala attacking midfielder.

Strikers wote hawako inform...Rooney simtegemei sana kama ilivyo kwa waingereza wengi na mipira yao ya manguvu bila akili...binafsi naona Roooney kama mtu wa kupanda na kushuka sana kiwango...consistency yake huwa ni ya muda mfupi tu. Matokeo ni kuwa timu haina talisman....kwa kiwango cha Rooney cha panda shuka....its a gamble to play him there kama talisman...he is only good kama akiwa under the shadow of an exceptional talent kama ya Chrtiano Ronaldo.
 
Mimi nnalo...

I think were are just not good enough...tumepata tulichostahili...tulipanda uzembe na matunda yake ni kwenda kucheza kombel la mbuzi(Europa League)...
Ukitazama mechi ya kwanza na Basel...mpaka half time 2-0 up....suprisingly tukajaishia na 3-3 draw baada ya kuruhusu jamaa kutupiga 3-2, that was uncharacteristic United Style.
.

naomba niongezee nukuu ya maneno ya Pat Evra(namkubali sana huyu kijana pale man utd).

"I play for Manchester United to play in the Champions League but some players dream of playing for United in any competition and you have to respect that.".....Patrice Evra
 
pole sana ndugu zangu kwa kuchezea kichapo dhidi ya basel fc au zile jezi mlijua mnacheza na baca nini poleni sana kufungwa kunauma bora sisi tumetoka kwa ushindi....

..city till i die...

Ndo pande 2 za shilingi hizo. Hakuna cha afadhali kwa sababu Man City pamoja na kushinda mechi lakini ushindi wao haujawasaidia lolote, wametolewa mbavuni. Nadhani ni wakati mwafaka wa makocha kupanga timu na kuongeza nguvu katika kikombe cha ligi. In fact mpira ni kupanda na kushuka. Nadhani mnakumbuka vema enzi za Real Madrid ya akina Figo, Ronaldo, Carlos na Zidane, timu ilikuwa juu lkn zikaja timu nyingine na kubeba jina. Time comes and goes.
Long live Man U
 
  • Thanks
Reactions: RR
Matokeo ya jana sio ajabu kabisa...run ya Man U kwenye CL imekua na kwikwi sana...
Serious defensive problems (to say) imewafanya kupoteza point za muhimu....matokeo ya sare za kushangaza yalikua ni ishara mbaya kabisa....
Ni wakati muafaka wa Man kujpanga na kurudi kwenye peak....
Long live Man U - Idimi
 
Hamkujua ka wanastaafu!? Na kwa nini mliwauza!? Babatov, Valencia, Owen, Carrick nk hao Sio wachezaji wenu!?

Hata wangewavalisha jezi wale masanamu wa kwenye maduka ya nguo sie tunajua ni wachezaji halali wa man united, si waliwasajili wao? Sasa? Watulie wanyolewe
 
Kichefuchefu cha wiki. Mlidhani kuongea na kupigana vinalingana. Wale Basel wamekuja na jezi kama za Barca kiasi Ferdinand akimuona Shaqiri anadhani anamuona Xavi, kwa hiyo anaanza kuchachawa akijiuliza Messi amefungua chumba kushoto au kucheka...ah no, I mean kulia.

Man Sita Hoyeeeeeeee!


Babu mabigijiii hoyeeee!

Na msisahau Trh 7 January 2011 ni Man City vs Man Sita. Venue City of Manchester Stadium
 
article-2071664-0F1AFE4A00000578-272_224x423.jpg
article-2071664-0F1AFEF500000578-740_224x423.jpg


Jamaa walikwenda kwa mbwembwe wamerudi na magongo
khe khe keh keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
evra_1419776a.jpg



''PATRICE EVRA last night admitted he was 'embarrassed' at being condemned to playing in the Europa League. Manchester United crashed out of the Champions League after failing to get the draw they needed in Basel for survival. Now instead of enjoying the knockout stages of Europe's premium tournament, the Reds must get used to 'slumming it' in the Europa League on a Thursday night and playing their weekend Premier League fixtures on Sundays. ... ... ... .... .... .... ''


Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huu uhanith* nani aje kuutetetea hapa?...#*%$* zetu....naenda hanimuni ya kuishabikia Manure till further notice.
 
Hapana mkuu don't give up,huu ni utitiri tu kwenye kope za jogoo,be strong and the turbulence will calm down,sisi wenyewe gunners tuna scratch our heads,beki zote za pembeni zipo injured.
 
pole sana ndugu zangu kwa kuchezea kichapo dhidi ya basel fc au zile jezi mlijua mnacheza na baca nini poleni sana kufungwa kunauma bora sisi tumetoka kwa ushindi....

..city till i die...

ulianza kushabikia Man C lini aisee........
 
Back
Top Bottom