Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lini liverpool wanazomea wachezaji wao? Ni lini kabla ya ED woodward kuja Man U ilikuwa inazomea wachezaji wake? Barcelona ushaona wanamzomea messi au wachezaji wao?

ILA MAdrid mambo ya kawaida kina Ronaldo na Balle wanazomewa na washabiki wao kabisa, Chelsea kule kawaida makocha wachache kabisa hawajazomewa.

Kama kuzomea tungemzomea Cantona ama Ferdinand, mmoja teja na mwengine kamtandika mshabiki kung Fu kick, lakini wote mashabiki wa united walikuwa pamoja nao na walivyorudi tuliona walifanya nini, Hii ndio Man United ninayoijua mimi, hii ya kuzomea ndio naiona hivi karibuni, Na ED anajua kwanini.
Wale waliompitishia David Moyes ndege na Banner ya Moyes Out walikuwa ni mashabiki Wa simba au???

Hivi nyie mbona mnalazimisha vitu vilivyo hadharani au mnadhani sisi ni vichaa. Mpira ni tukio la hadharani. Jana Vs Bayern Team haijapiga shout hata moja langoni unakuja na porojo zako za Plastic fan.

Hivi wewe mtanzania ukute hata membership card ya team huna unakuwa na Guts za kumuita English Fan kindakindaki Wa united kuwa sio real fan.

Yani wewe mlugulu uiepende Manchester saaaaaaana kuliko Mtoto Wa kiingereza kama Gary Neville au Gigs eti unashupaza domo kuwa hao ni wachumia tumbo.

Kingine mbona mnatumia nguvu kubwa kumtafutia mou ushawishi??? Acheni matokeo yatulize ghasia za mashabiki na sio kuita watu majina ya kipuuzi.

Hakuna shabiki anaependa team ya hovyo ,hakuna. Huyo furguson Mwenye almanusura atimuliwe kabla ya kuuwasha moto kuanzia miaka ya 90, Kinyume na hapo alikuwa anaenda na maji.
 
Ed woordward asimpe tena hela huyu mhuni ya kireno ya kusajili wazee wake pale OT ambao hawatatusaidia kitu..sack him at the end of this upcoming season,then leta kocha atakayefundisha mpira wa kisasa na kutengeneza hamasa ndani na nje ya uwanja,,sio huyu bwatukaji wa kireno
 
1. Kipindi cha moyes tayari ED ameshakuja
2. Kipindi cha moyes kinahesabika kama miaka ya karibuni kama nilivyosema.
Hoja yako sijaielewa hapo.

Si kweli mshabiki wa ukweli anaipenda for better and for worse team yake, timu ikifanya vibaya sio yako na timu ikifanya vizuri ni yako huo sio ushabiki bali una jina maarufu kama Glory Hunter.

Fergie alipewa muda wa kutimuliwa mwaka wa 4 na sio alipokuja tu akawa anazomewa na kutolewa maneno machafu. Na matokeo ya mou Ndani ya miaka 2 ni mazuri kushinda ya fergie ndani ya miaka 4 ambayo alichukua FA tu.

LvG alipewa Task timu iende UEFA akafeli msimu wa pili. Same kwa moyes.

MOU nae amepewa same task msimu kwa kwanza timu iende UEFa na Pia tu compete league, Yote ameyakamilisha Timu ipo Uefa na tumepata point 81 ambazo tungekuwa msimu Leicester anachukua Ubingwa sasa hivi tungekuwa mabingwa watetezi. Hivyo ni kocha aliefanikiwa, ndio maana yupo pale, atafukuzwa asipoleta matokeo, ila kwa sasa ni kocha wetu na ana deliver ni jukumu letu kama mashabiki kuwa nyuma ya kocha wetu.

Pia usijidanganye Man u sio kama Simba na Yanga na kadi za Uananchama ile ni kampuni ina wamiliki na Hisa.
 
Mino Raiola is in England to attempt to force negotiations for the departure of Manchester United midfielder Paul Pogba, according to Mundo Deportivo.
 
Ed woordward asimpe tena hela huyu mhuni ya kireno ya kusajili wazee wake pale OT ambao hawatatusaidia kitu..sack him at the end of this upcoming season,then leta kocha atakayefundisha mpira wa kisasa na kutengeneza hamasa ndani na nje ya uwanja,,sio huyu bwatukaji wa kireno
Upo sahihi kabisa wakati nyie mnapambana na kocha ambae anawachezaji wa kawaida ambao mnawakuza kama top player vi timu vidogo vinaboresha timu zao subir wapambane na wakina darmian mle mkono.
Screenshot_20180806-160314.jpg
 
Mino Raiola is in England to attempt to force negotiations for the departure of Manchester United midfielder Paul Pogba, according to Mundo Deportivo.
Huyo agent alimmsumbua sana hata sir alex si mtu mzur mtu na hilo atakwambia ni kocha.
 
Pep anataka kiungo mwingine wakat ceo wa united anaamini wakina lingard ni sawa na silva.
 
Pep anataka kiungo mwingine wakat ceo wa united anaamini wakina lingard ni sawa na silva.
Nilichokiona huyu mreno msimu ujao hatakuwepo na ed hataki kumpa pesa za ovyo ovyo tu,,atumie kikosi hiki kutubakiza top 4,,akishindwa sawa tu..ila msimu huu ni wa mwisho lazima atumuliwe..
 
Kuanza upya si ujinga,ila anahitajika kocha anayekuja kutengeneza timu walau ndani ya miaka 2 uelekeo uanze kuonekana. Usajili wa JM hautoi taswira rahisi kutafsirika. Tunaaminishwa timu inapaki bus lakini makombe tubebe ila sidhani kama itatokea hivi karibuni,europa na qarabao ile ndio mwisho wetu chini ya huyu mhuni wa kireno.
 
Tetesi

Martial njian kwenda Chelsea kwa kubadilishana na willian

Pogba njian kwenda Barcelona
 
Garry Neville ni mfano Tosha kwamba hawapo sahihi, hao ni wachumia tumbo wanalipwa ili wakosoe ndio kazi zao kama pundit.

Huyo G Neville alikuwa akimponda sana Van Gaal japo alimaliza top 4 na akawa anajisifia yeye ndie alifanya Van Gaal asitumie 4-1-4-1 sababu alitoa weakness ya hio formation, akapewa Timu valencia alifanya nini? Walifungwa mpaka goli 7 ilikuwa ni aibu.

Msimu wa mwisho LVG tulifungana point na man city 66, tulihitaji point 1 tu kwenda UEFA, miezi 3 ile wanamzomea kocha na wachezaji pale OT wangeishangilia timu nina uhakika tungeipata hio point 1.

Kocha anapokuja kwenye Timu anapewa malengo ya club, asipoyafikia hayo malengo anafukuzwa, sio kazi ya mshabiki kumzuia kocha asifikie malengo bali ya kazi ya mshabiki ni kuwa mchezaji wa 12 kuhakikisha Timu inashinda, ni aibu kwa timu kongwe kama man U kukosa Amsha Amsha za mashabiki.

Wewe mwenyewe unafahamu, miaka 10 iliopita liver wana kombe 1 tu, lakini Atmosphere ya Anfield unaijua ilivyo na sijaona mtu akimzomea klop na kama wapo wachache sana.

kuna Timu zenye historia ndogo kama Man city, hawa wakifanya mambo kama haya kidogo huwezi ukawalaumu maana hawana historia.

Na Haya sio maneno yangu tu mkuu, ni maneno ya mashabiki wengi wanaoitakia mema United, makundi mbali mbali ya washabiki wanataka kutengwe eneo kwa ajili ya vocal fans tu hao wanaokwenda kutalii na kuzomea wakae kwao pekee.

Manchester United fans' group sends message to club over Old Trafford atmosphere

Na mechi ya Brighton nusu fainali ya FA cup walifanya trial kuna kundi la Man U la MUFC TheredArmy walitengeneza kama initiatives fulani kuwaweka vocal fans pamoja na kuchangamsha uwanja, na kweli wakafanikiwa angalia hii video

Siku zote positive criticism zinakaribishwa ila mshabiki ambaye siku zote yupo negative timu yake ikifanya vibaya, na mda wote anaponda tu huu sio utamaduni wetu Man U. Mambo haya yapo Madrid, Chelsea etc waende huko wanazomea na kubadili makocha kila baada ya muda mfupi.

nimeiangalia iyo video aiseeee yani humu kuna mashoga walipaswa kuwepo kuleeeee kwenye bango la manchester is my heaven halafu wachache wabaki hapa mwanzo kwa wahuni mwanzo mwisho wao kushangilia
 
Wale waliompitishia David Moyes ndege na Banner ya Moyes Out walikuwa ni mashabiki Wa simba au???

Hivi nyie mbona mnalazimisha vitu vilivyo hadharani au mnadhani sisi ni vichaa. Mpira ni tukio la hadharani. Jana Vs Bayern Team haijapiga shout hata moja langoni unakuja na porojo zako za Plastic fan.

Hivi wewe mtanzania ukute hata membership card ya team huna unakuwa na Guts za kumuita English Fan kindakindaki Wa united kuwa sio real fan.

Yani wewe mlugulu uiepende Manchester saaaaaaana kuliko Mtoto Wa kiingereza kama Gary Neville au Gigs eti unashupaza domo kuwa hao ni wachumia tumbo.

Kingine mbona mnatumia nguvu kubwa kumtafutia mou ushawishi??? Acheni matokeo yatulize ghasia za mashabiki na sio kuita watu majina ya kipuuzi.

Hakuna shabiki anaependa team ya hovyo ,hakuna. Huyo furguson Mwenye almanusura atimuliwe kabla ya kuuwasha moto kuanzia miaka ya 90, Kinyume na hapo alikuwa anaenda na maji.

Eti Mlugulu 😀😀😀
 
Kuanza upya si ujinga,ila anahitajika kocha anayekuja kutengeneza timu walau ndani ya miaka 2 uelekeo uanze kuonekana. Usajili wa JM hautoi taswira rahisi kutafsirika. Tunaaminishwa timu inapaki bus lakini makombe tubebe ila sidhani kama itatokea hivi karibuni,europa na qarabao ile ndio mwisho wetu chini ya huyu mhuni wa kireno.
Ndo nilichokisema mkuu,kwamba mourinho anaonekana dhahiri anataka kupata kombe bila ya kutengeneza timu itakayokuwa na ubora kwa miaka miwili au mitatu mbeleni..Ndo maana nasema asipewe pesa tena,,bajeti aje apewe kocha atakayeijenga united mpya
 
Tetesi

Martial njian kwenda Chelsea kwa kubadilishana na willian

Pogba njian kwenda Barcelona
Kuna muda iwe hivyo rooney alilazimishwa kucheza kila namba kwa mapenz ya timu na kukubali majukumu mapya martial kaomba kusepa kwa nini akataliwe hapa ndo linapokija suala la kutengeneza wachezaj wa academy ni nadra kusikia wana ka mgomo au kaomba kusepa watapambana kwa ajili ya timu haijalishi yupo ktk mazingira yapi.
 
Back
Top Bottom