radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mi naona Ceo wa unuted hayupo makini na mambo ya uwanjani yeye anaangalia pesa akiumia lukaku timu haina mbadala halafu ni timu kubwa hatari sana akikosekana pogba huna mtu wa kujaza nafasi mourinhi anataka watu sio masihara ukiangalia united ya 2008 timu yetu Kwa sasa inawachezaji ambao sio wapambanajiGlory hunters hao, angalia timu yetu old trafford kumetuliaaa, ila away mashabiki kibao na wanashangilia mwanzo mwisho, ifungwe ama ishinde.
Umaarufu wa UTD umeiponza kupata mashabiki ambao timu ikifanya vibaya haiwahusu ila ikifanya vizuri hakuna mashabiki kama wao.
hili jambo lilizungumzwa msimu uliopita kwenye forums nyingi za mashabiki wa ukweli, plastic fans wanaijaza old Trafford na kusababisha uwanja uwe kimya, na Mou pia alisema measure zinatakiwa zichukuliwe ili ku improve OLD Trafford atmosphere.
Timu imesikia na sasa hivi wame introduce ticket za Bei rahisi ambazo zitauzwa kwa vijana tu prefferably local boys ili kupunguza idadi ya watalii na kuongeza amsha amsha.
![]()
![]()
So msijali tunaoipenda United tutaendelea kuishabikia na kum support kocha wetu, timu ikitwaa makombe na nyie tunawakaribisha muje kushangilia pia.
Hii ya 2008 kila sehemu kuna watu zaidi ya wawili
. Man cty droo zote mbili so kesi.