Again Jose hawezi kuwa Klopp/PepHakika una hoja mujarabu kabisa. Hongera sana ndugu yangu.
Nimekuwa nikipiga kelele humu miaka sasa kuhusu mourinho na uwezo wake kimbinu ambavyo hauendani na soka la kisasa. Mpira wa kisasa kujilinda ni wewe kumiliki mpira. Huwezi kujilinda "Defend" kwa kuwa na "Poor Possession".
Bahati mbaya au nzuri Ni mashabiki wachache tulifanikiwa kuona gap la Mourinho kuwa haendani na soka tulilolizoea la manchester united; na ndio sababu hata Sir Alex Furguson hakumuweka Mourinho kwenye hata top 3 ya makocha wa kumrithi. Ukisoma kitabu cha furguson Cha "MY AUTOBIOGRAPHY" utaona haya niliyosema. Mzee Boby Charlton yeye ndio aliongoza jopo la wanamanchester united kumkataa Mourinho asitue Klabuni. Hapo sijawazungumzia wachezaji manguli wa Manchester united waliopinga ujio wa Mourinho. Gigs mpaka leo hapatani na mbinu za kocha wetu.
Hawa wote ni watu waandamizi kwenye club. Ni watu wazito.
Hoja kubwa ya wanaomtetea mourinho wanajiegemeza kwenye mafanikio ya kutwaa kombe la Europa na kikombe cha FA. This doesn't justify his collapse. Huwa nawashangaa sana sijui ni ukichaaa!!!!!
Wanasahau ni mourinho huyu huyu alitolewa Chelsea akiwa katoka kuwapa Kombe la ligi. Wamesahau. Kama ni suala la uvumilivu wangeanza kuwa nao chelsea.
Mbaya zaidi hata ukiangalia mpango kazi wa mourinho huoni future ya team. Kwa ligi yenye kocha kama Guardiola, na Klop inabidi uwe na kocha mwenye mbinu bobezi na za kisasa kupambana nao.
Niliwahi kuandika hapa na ninarudia tena ili upime uwezo wa Mourinho angalia opponents wake wakubwa katika ligi ambao kwa sasa ni Guardiola na Klop. Tangu klop katua Liverpool unaona kabisa ni suala la muda tu team ianze kula matunda. Tayari ameshaifikisha team fainal mbili za Europa na Uefa.
Guardiola nae kila mtu anajua alichofanya last season. Kapoteza game moja ya Ligi. Timu yake imefunga zaidi ya magoli 100. Huitaji elimu ya kiwango cha masters kuona utofauti.
Mbaya zaidi mourinho hajawahi kufurukuta mbele ya Guardiola. Huu ndio wasiwasi wangu mkubwa. Wote tunajua alichokuwa akifanywa alivyokuwa Madrid. Na record ziko wazi.
Mbinu za kizamani za mourinho za kumfunga Arse wenger nje ya uwanja kwa maneno ya shombo hawezi kufanya kwa Guardiola au Klop kwasababu hawa ni Disminders. Ndio maana hata kijembe alichomtupia Guardiola kuwa anamwaga pesa kununua kikombe Guardiola aliishia kucheka tu.
Wengine wanasema mourinho apewe muda. Timu inayoandaa zaidi ya poundi milion 300+ kwa usajili sio ya kupeana muda. Ni taeam inayohitaji instant Results.
Kwa aina ya usajili wanayofanya Klop na Guardiola sioni mourinho akitusua mbele ya hawa watu. Kwasababu yote kwa yote na vyovyote iwavyo destination ya mafanikio ya team ni lazima tutakuwa kwenye chungu kimoja na Mancity,Liver,Chelsea au Arsenal. Chelsea na Arsenal sizipi uhakika sana ya kuwa wapinzani wakubwa msimu huu kwa sababu ya mabadiriko ya makocha. Liver na Mancity ndio team inabidi tujipime nazo na kwa kumlinganisha mwalimu wetu kwa kupima uwezo wake dhidi ya makocha wa hizi team.
Siioni Mancheater. Tunasubiri Ngekewa. Itakuwa team yenye inconsistency.
Watakuja watakuita plastic fan...hawa jamaa bana,,mafanikio yao ni sisi kufika europa league na kupaki basi kwa ajaxHakika una hoja mujarabu kabisa. Hongera sana ndugu yangu.

Kufundisha United after SAF ni moja ya kazi ngumu sana kuliko tunavyodhani na sioni kocha ambaye anaweza kuifix hii timu within 3 yearsWatakuja watakuita plastic fan...hawa jamaa bana,,mafanikio yao ni sisi kufika europa league na kupaki basi kwa ajax
Mbinu za mourinho zimepitwa na wakati,ni muda sasa tupate kocha atakayefundisha soka la kisasa
Kamanda bado mapema sana. Sina shaka kabisa pamoja na yote hayosikuwah kufikiria kama nitakuja kumwaga chozi kisa hii timu nadhani msimu ujao nijiandae kulia sana
Nakusalimu chief.Lvg aliwafunga barca, madrid, liverpool wote si chini ya goli 3 akatupa nini?
Wachezaji 12 kikosi cha kwanza wapo mapumziko
huyo klop unaemsifia na soka la kisasa ana hata kingao cha hisani? au kila msimu ni coke zero?Watakuja watakuita plastic fan...hawa jamaa bana,,mafanikio yao ni sisi kufika europa league na kupaki basi kwa ajax
Mbinu za mourinho zimepitwa na wakati,ni muda sasa tupate kocha atakayefundisha soka la kisasa
Muda mwingine huwa najiuliza hivi watu tunaelewa tulichosoma.Again Jose hawezi kuwa Klopp/Pep
Klopp/Pep hawezi kuwa Mourinho
Hata waliompa hiyo kazi wanafahamu hilo
Mpira wa kisasa ni kufunga magoli zaidi ya mpinzani wako I think umeangalia WC why Brazil,Spain mabingwa wa possesion wameshindwa na na timu kama France,Croatia
Unajua contents za mkataba wa adidas na united kuhusu performance ya team na jinsi itakavyoathiri team.Kufundisha United after SAF ni moja ya kazi ngumu sana kuliko tunavyodhani na sioni kocha ambaye anaweza kuifix hii timu within 3 years
Soka la kisasa ndio lipi ?
I though siku hizi unaweza kujenga hoja kumbe bado hujaacha kuandika mipasho ?Unajua contents za mkataba wa adidas na united kuhusu performance ya team na jinsi itakavyoathiri team.
Kumbuka mkataba wa Adidas ba United ndio mkataba mkubwa kuwahi kutokea duniani kati ya team na Kampuni yoyote (Its a mega deal ever).
Ingia google halafu soma hizo contents ndio utajua kwanini nasema united inahitaji instant results.
Huwezi kuwa unawasajili wakakina Ibrahimovic,Matic , Grants, Miki, n.k ambao age yao ni wastani wa miaka kama 29 useme unategemea mafanikio baada ya miaka mitatu. Kumbuka baada ya miaka mitatu hawa wastani wa umri ni kwenye miaka 30+.... Hahahaha unachekesha.
Morinho hana long term plan. PERIOD. Huo ndio ukweli.
Najua Miki na zlatan hawapo ila ni mfano nimeutoa kupinga hoja yako ya mafanikio ndani ya miaka mitatu kuwa ilikiwa haiendani na usajili aliokuwa anafanya. Ndani ya miaka hiyo mitatu wachezaji wake wengi wangekuwa over 30 kitu ambacho kwa soka la ushindani lazima ustruggle sana kupata mafanikio. Najua utakuja na mifano ya team za vibabu. Hahahaha
But we need Impacts not U tozFred is Red
Ninawasiwasi na huyu kijana anaweza kuja kufanya yaleeeee ya Memphis DepayTumemsajili Fred
Wewe acha izo , national team halipwi MTU. ManUtd wanatoa hela ucheze kifala kama alivyofanya kwenye kombe LA dunia si UTACHOMA MAHINDI KWENYE BENCHDe gea kwa upande wa penat ni tatizo anazidiwa na sergio romero ktk upande huo pia kafanya vibaya sana ktk haya mashindano kanihuzunisha sana.
Kuhusu usajili wa wachezaji Mou amesajili wachezaji wengi wenye umri mzuri kuliko wazee. Kwa hiyo kama future ni pamoja na age nzuri ya wachezaji basi hilo amelizingatia.Unajua contents za mkataba wa adidas na united kuhusu performance ya team na jinsi itakavyoathiri team.
Kumbuka mkataba wa Adidas ba United ndio mkataba mkubwa kuwahi kutokea duniani kati ya team na Kampuni yoyote (Its a mega deal ever).
Ingia google halafu soma hizo contents ndio utajua kwanini nasema united inahitaji instant results.
Huwezi kuwa unawasajili wakakina Ibrahimovic,Matic , Grants, Miki, n.k ambao age yao ni wastani wa miaka kama 29 useme unategemea mafanikio baada ya miaka mitatu. Kumbuka baada ya miaka mitatu hawa wastani wa umri ni kwenye miaka 30+.... Hahahaha unachekesha.
Morinho hana long term plan. PERIOD. Huo ndio ukweli.
Najua Miki na zlatan hawapo ila ni mfano nimeutoa kupinga hoja yako ya mafanikio ndani ya miaka mitatu kuwa ilikiwa haiendani na usajili aliokuwa anafanya. Ndani ya miaka hiyo mitatu wachezaji wake wengi wangekuwa over 30 kitu ambacho kwa soka la ushindani lazima ustruggle sana kupata mafanikio. Najua utakuja na mifano ya team za vibabu. Hahahaha
Desturi yangu ni moja " I'm who you want me to be"I though siku hizi unaweza kujenga hoja kumbe bado hujaacha kuandika mipasho ?
Huyu Kocha ni mtihaniNaona 3rd Year Syndrome ya Mourinho imeshamuanza?
Jose Mourinho's relationship with Manchester United executive vice-chairman Ed Woodward is reportedly at an "all-time low"
• Year 1: I’m here, I’m the best!!
• Year 2: call out players, row with other managers, blame referees.
• Year 3: blame the hierarchy, fall out with everyone
That’s Jose!!
Kaaa hizo bangi sasa hadi mechi mabonanza unashupaza shingo kwa akili yako ingekuwa ligi mourinho angekuacha?Shaqir kakukomesha,
Mourinho vs Woodward + The Glazers
Kuna siku tutakubaliana wote kwamba tatizo la MUFC ni Mou,sio mbali sana.