hizo mbinu unazosema wewe JM kaishiwa ndio hizo hizo zimetuweka nafasi ya pili na fainali ya FA
mbinu hizo mbovu zimetupa Carabao Cup na Europa Cup na kucheza UEFA miaka miwili mfululizo mambo haya yalikuwepo enzi za SAF tu
kwa mimi nnavyojua kwenye swala la usajiri...kocha anapeleka list wachezaji anaowataka kwa muajiri wake kisha hapo yeye anasubiria hao wachezaji, hivi unathubutuje kusema Mou kaishiwa mbinu wakati wachezaji anaowataka hapatiwi ambao wanaenda na mbinu zake??
MWISHO: usipende mchezaji, kocha, wala mfumo penda Manchester United
Glory Glory Manchester United