Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Brother muda mwingine nasisi mashabiki tuwe tunajaribu kuwa waelewa. Winga wa kushoto wapo sanchez, martial, rashford ambae anaweza pia kucheza kama striker. Hatuna winga wa kulia, huwezi kuwaweka lingard au mata wacheze kama winga na utarajie matokeo makubwa. Ni lazima tutafute winga wa kulia, willian anafaa hiyo nafasi. Martial hata akiondoka ni sawa tu maana namba yake wapo sanchez na rashford. Timu haiwezi kununua wachezaji tu bila kuuza, winga wa kushoto wapo wengi apungue mmoja tulete winga wa kulia.
Watu wanalalamika tu bila hoja ....
 
Naamini Martial ana kipaji kikubwa sana ila kimebanwa na kocha Mkuu Wa man u. Vivyo hivyo kwa wachezaji wengine wote waliopo pale. Kocha anashindwa kwenda na mabadiliko ya mifumo ya soka la kisasa amebaki gizani na mpira wake Wa kizamani
Martial pale ndo mwisho wa kiwango chake ..
 
Hizi ni comments tofauti tofauti kwenye instgram official page ya Manchester United baada ya kipigo cha 4-1 kutoka Liverpool
IMG_20180729_081143.jpg
IMG_20180729_081128.jpg
IMG_20180729_081117.jpg
IMG_20180729_081104.jpg
IMG_20180729_081051.jpg
 
Hio game sijaangalia but hivi hadi pre season kapaki basi?? Maana fans huko IG wamevurugwa naona dah. Sasa kama mpaka pre season anapaki basi kwenye ligi itakuaje?
 
matic, valencia, diogo, rojo wote ni injury hawa
lukaku, rashford, lingard, young, lindelof, martial, pogba, wote hawapo kwa sasa, bado atalaumiwa mourinho!
tatizo letu ni tunataka club iendeshwe kama media zinavotaka icho kitu hakiwezekani!
ndio maana mou anawasi wasi game za mwanzo atakua na wakati mgumu kwa sababu hana key players.
mashabiki wana haki kumtukana ila hawajui chochote wao wanafikiria kushinda bila plan.
mind you akiondoka mourinho kwa sasa timu itayumba zaidi!
 
mkuu sasakukosekan

Sioni hoja yako hapo, kwa mantiki hiyo kocha anawategemea hao uliowataja ili acheze attacking football? Umesahau kwenye epl na UEFA vs sevilla? JM kaishiwa mbinu hana jipya yuko conservative sana
 
PSG imefungwa tano na Arsenal, waliwakosa Mbappe, Neymar, thiago Cavani na hapa utanambia kuwa eti kocha anawategemea hawa tu? Mmoja tu hapo angeleta tofauti kubwa ndio maana tuna key players! Nyie watu sijui mnatumia nn kufikiria kama mnasikiliza tu pundits bila kutumia akili zenu you all fucked
 
Wengine hatuongelei pre- season..tunaongelea mwenendo wake na anavyo watreat wachezaji..Mbinu za mourinho kwenye mpira wa sasa zimepitwa na wakati
 
mkuu sasakukosekan

Sioni hoja yako hapo, kwa mantiki hiyo kocha anawategemea hao uliowataja ili acheze attacking football? Umesahau kwenye epl na UEFA vs sevilla? JM kaishiwa mbinu hana jipya yuko conservative sana
hizo mbinu unazosema wewe JM kaishiwa ndio hizo hizo zimetuweka nafasi ya pili na fainali ya FA

mbinu hizo mbovu zimetupa Carabao Cup na Europa Cup na kucheza UEFA miaka miwili mfululizo mambo haya yalikuwepo enzi za SAF tu

kwa mimi nnavyojua kwenye swala la usajiri...kocha anapeleka list wachezaji anaowataka kwa muajiri wake kisha hapo yeye anasubiria hao wachezaji, hivi unathubutuje kusema Mou kaishiwa mbinu wakati wachezaji anaowataka hapatiwi ambao wanaenda na mbinu zake??

MWISHO: usipende mchezaji, kocha, wala mfumo penda Manchester United

Glory Glory Manchester United
 
Back
Top Bottom