DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,870
huyo messi hata 100m sitoiHizo ni bei za kuuzia sura tu magazetini....peleka sahivi £300m kama utanyimwa mchezaji yeyote pale...kiufupi hakuna mchezaji anayezidi £500m hata kama ni Messi..
huyo messi hata 100m sitoiHizo ni bei za kuuzia sura tu magazetini....peleka sahivi £300m kama utanyimwa mchezaji yeyote pale...kiufupi hakuna mchezaji anayezidi £500m hata kama ni Messi..
Si kweli. Ukweli ni huu hapaSikuandika Kwa Kibahatisha! Nyota Wa Real wote Buy out Clause Zao Ni Zaidi ya €1billion regardless umri Wao kama Ni above au below 30years.
Si kweli. Ukweli ni huu hapaView attachment 798776
Unaonekana unapenda ligi sana.Sasa hapo umepinga Nini Kwa Mfano ambacho Kipo tofauti na nilichokisema?
Msamehe mkuu, hiyo inaitwa Fekir fever sio yeye, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kama tunavomuombea baba jescaUnaonekana unapenda ligi sana.
Wewe umesema wachezaji wa Madrid WOTE, narudia tena umesema WOTE buy out clause yao ni bilioni, na hapo inaonesha duniani (sio Madrid pekee yake) ni wachezaji 2 tu wenye hiyo clause, CR7 na Benzema.
AiseeeehMsamehe mkuu, hiyo inaitwa Fekir fever sio yeye, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kama tunavomuombea baba jesca
Unaonekana unapenda ligi sana.
Wewe umesema wachezaji wa Madrid WOTE, narudia tena umesema WOTE buy out clause yao ni bilioni, na hapo inaonesha duniani (sio Madrid pekee yake) ni wachezaji 2 tu wenye hiyo clause, CR7 na Benzema.
WEKA SIMU CHAJI MKUUHakuna Sehemu Niliyosema Wachezaji Wao Wote Acha Mihemko! Nimesema Nyota Wao Wote.
Sasa utanitajiaje Asensio hapa.
View attachment 799353
Au Katika Hiyo post uliyoiQuote hukuona neno Nyota?
Daaaah...Watu bado awajarudi
Penalty akose koke na Aspas alafu alaumiwe de gea?Nilijua spain kwenye matuta watachomolewa kipa kawaangusha sana.