Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Umeongea kweli mkuu..pamoja na mafanikio machache mourinho aliyoyapata,bado ni mmoja kati ya kocha wa ovyo ovyo tu kuwahi kutokea..mpira wake hauvutii,,migogoro na wachezaji mpaka anaboa..not interested anymore kuangalia United yangu..Kocha alimharibu sana kwa kutompa namba na kumuamini kwa kipindi kirefu hadi amekuwa upset wakati wachezaji wengi Wa France wanaocheza namba yake walipewa sana nafasi ktk vilabu vyao. Kwani hata rashford si ni uhaba tu Wa talented players tu pale england ndo ulifanya southgate amwite!? La sivyo kwa mkeka alokuwa anapewa na mou asingekuwepo Russia. Kiufupi Mou kwa kiasi kikubwa hawezi kuendeleza wachezaji wadogo