Unamuondoa Martial na Rojo,unawaacha smalling,jones....yani huyu mourinho sio mzima kichwani.
Hivi kweli unamuuza martial kisa Willian duuuh
Brother muda mwingine nasisi mashabiki tuwe tunajaribu kuwa waelewa. Winga wa kushoto wapo sanchez, martial, rashford ambae anaweza pia kucheza kama striker. Hatuna winga wa kulia, huwezi kuwaweka lingard au mata wacheze kama winga na utarajie matokeo makubwa. Ni lazima tutafute winga wa kulia, willian anafaa hiyo nafasi. Martial hata akiondoka ni sawa tu maana namba yake wapo sanchez na rashford. Timu haiwezi kununua wachezaji tu bila kuuza, winga wa kushoto wapo wengi apungue mmoja tulete winga wa kulia.
 
Naamini Martial ana kipaji kikubwa sana ila kimebanwa na kocha Mkuu Wa man u. Vivyo hivyo kwa wachezaji wengine wote waliopo pale. Kocha anashindwa kwenda na mabadiliko ya mifumo ya soka la kisasa amebaki gizani na mpira wake Wa kizamani
 
Martial ni mvivu sana kocha wa ufaransa kashindwa hata kumuamini kama mzur tatizo ni kocha kwa nini asichukuliwe? Kachukuliwa mtokea bench giroud yeye wap kwa nn?
 
Unamtema Rojo unabaki na Smaling nimehuzunika sana
Ukiacha smalling kuna bek gani mwingine mzuri mipira ya kona ktk kutusaidia kufunga magoli? Jaman smalling ni bek mzur anasaidia sana kushambulia mipira iliyokufa kama sikosei ana goli nne lig iliyoisha pia sio mtu wa kuumwa sasa rojo na jones wanaumwa sana muwe mnaangalia na mchango wake

Kipindi cha van gal alisimama yeye na blind tulifanya poa tu

Kipind cha sir alex akiumw vidic basi utamkuta smalling na ferdinand akiumwa rio anasimama yeye na vidic john evans yupo bench hapo
 
Martial ni mvivu sana kocha wa ufaransa kashindwa hata kumuamini kama mzur tatizo ni kocha kwa nini asichukuliwe? Kachukuliwa mtokea bench giroud yeye wap kwa nn?
Kocha alimharibu sana kwa kutompa namba na kumuamini kwa kipindi kirefu hadi amekuwa upset wakati wachezaji wengi Wa France wanaocheza namba yake walipewa sana nafasi ktk vilabu vyao. Kwani hata rashford si ni uhaba tu Wa talented players tu pale england ndo ulifanya southgate amwite!? La sivyo kwa mkeka alokuwa anapewa na mou asingekuwepo Russia. Kiufupi Mou kwa kiasi kikubwa hawezi kuendeleza wachezaji wadogo
 
Mkuu unaujua muda ambao dembele na giroud wamecheza kwenye timu zao?
 
Naamini Martial ana kipaji kikubwa sana ila kimebanwa na kocha Mkuu Wa man u. Vivyo hivyo kwa wachezaji wengine wote waliopo pale. Kocha anashindwa kwenda na mabadiliko ya mifumo ya soka la kisasa amebaki gizani na mpira wake Wa kizamani
Sidhani kama tuna beki mzuri kitasa kama lindelof..ila kocha anashindwa kumwamini na kumpa nafasi..benfica alikuwa anakichafua mbaya,,sweden pia the same,,ila united anaonekana ovyo tu
 
Martial ni mvivu sana kocha wa ufaransa kashindwa hata kumuamini kama mzur tatizo ni kocha kwa nini asichukuliwe? Kachukuliwa mtokea bench giroud yeye wap kwa nn?
Mi naona ufaransa aliachwa kwa kuwa hakuwa na perfomance nzuru mwisho wa msimu na hii yote ni kwa sababu ya drama za mourinho..pia kwenye nafasi hiyo yupo griezman,,dembele,thauvin,,mbappe,,martial namba angeipatia wapi??.

Sane ni mvivu pia ndo maana aliachwa??
 
Pogba alimaliza vizur ligi?
 
Mi naona ufaransa aliachwa kwa kuwa hakuwa na perfomance nzuru mwisho wa msimu na hii yote ni kwa sababu ya drama za mourinho..pia kwenye nafasi hiyo yupo griezman,,dembele,thauvin,,mbappe,,martial namba angeipatia wapi??.

Sane ni mvivu pia ndo maana aliachwa??
Sane kocha wa ujeruman alisema hana mchango ktk timu yake mechi 11 kacheza ana goli moja tu hakuna assist
 
Back
Top Bottom