Ni muda wa Ferguson kuachia timu, HANA JIPYA !
Anza wewe kuhama timu, viva MAN UTD maana hili nalo tunalichukua bila kelele............
hehehe ... napita tu ,
Nakuunga mkono.Teh teh..hehehe ... napita tu ,
Wanawakimbia Man Sita kijanja.......Man u naona hali si nzuri
Sioni wenyeji, ina maana mechi ya jana man u hamujaangalia polen sana. AF anasema haamini kama wale ni vijana wake.