Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

2-Dimitar-Berbatov-Manchester-United-v-Benfic_2681790.jpg
 
We need changes, nani atoke Young aende pembeni na aingie forward
 
Hawa kwao droo inatawatosha maana wanajua next game wanacheza home na timbo mbovu so lazima kushinda but sisi leo ni vizuri kushinda hapa...
 
Wameshajuwa tayari pasi nyingi zinatoka kwake, yeah nadhani wafanye changes hernandez aingie tu.....
 
Hapo unaonaje mkuu ni sawa kabisa??naona sasa wamuwekee dogo pasi pale mbele....
 
Tumejiweka mahali pagumu kwenye kundi bila sababu. Inabidi tutumie nguvu nyingi game ya mwisho ili tushike na 1
 
At least leo naona fletcher kajitahidi, manake tumekuwa na tatizo kubwa la viungo kukatika

Daa huyu jamaa nakweli machine aisee, anazunguka sana bila kuchoka...na anaapumzi za kutosha sana...Amejitahidi sana pale katikati....
 
Back
Top Bottom