Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasikia uwanja wa Old Trafford ulijaa 'CRYSTALS' nyingi sana za mawe ya ikulu, hivyo Fergie alilazimika helcopta yake kuitua kwa Mashabiki wa Man U. Maana alijua hizi crystals zitaleta matata.
 
Aston-Villa-v-Manchester-United-Marc-Albright_2686498.jpg
 
Kuangalia game ya Man Utd shida sana. Hamna enjoyment yoyote. Litim lipo kwenye presha muda wote!
 
Kuangalia game ya Man Utd shida sana. Hamna enjoyment yoyote. Litim lipo kwenye presha muda wote!

Kwani umelazimishwa kuangalia? kama Man Utd yenye point 33 ipo kwenye presure muda wote Arsenal yenye point 26 si ndo ipo ICU all the time!
 
chich_1417665a.jpg

PAIN ... Javier Hernandez was injured during Aston Villa game
Down and out ... .... ....
 
Poleni wakuu naona mnakutana na Mancs tena kwenye FA cup ... .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tune to 143 kwa DSTV angalia Taifa Stars na Zim Dollar.

Manda habari za J2 .... ... ... namwangalia Nadal hapa anafanya vitu vyake kwenye Davis cup anakwaana na del Potro ... ..
 
da chicharito wl b out for 4 weeks!
Sir alex inamlazimu aisee kuingia sokoni january maana hii speed ya 1-0.......
 
umeona enheee...

What a tennis match ningependa mechi kama hizi watanzania waangalie ndio wajue tunaishi katika dunia ya namna gani. Bravo to Nadal and Spain for winning for the fifth time in eleven years .... ... ngoja tuwakodolee macho cottagers sasa ambao wanawakaribisha loserfools ... .. . oooops hawachezi leo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kesho .. ... ..
 
Poleni wakuu naona mnakutana na Mancs tena kwenye FA cup ... .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hapo chacha!!
walikwepa 6 nyingine kwenye carling cup. sasa 6 hizooo zinakuja kwenye FA!
cant wait!
 
Manda habari za J2 .... ... ... namwangalia Nadal hapa anafanya vitu vyake kwenye Davis cup anakwaana na del Potro ... ..

Mi bukheri wa afya kaka mkubwa.....hii manure bana khaaaaaaa!, kizingumkuti kwelkwel...ila naona nyie mnatakata aisee, mko safi sana.

BTW m fan mkubwa wa Roger Federer, uyu Nadal wala simzii kbs,hana courtsey bana..lols!
 
Back
Top Bottom