Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial out of the world cup..this lad must leave this summer..hatofanikiwa chini ya mourinho
Lacazette nae ahame Arsenal sababu hajachaguliwa ,Wakati Martial yuko kwenye form Deschamps alimchagua Martial Euro 2016 na akampiiga benchi karibia mechi zote akamchezesha Payet

In short Deschamps hamkubali Martial
 
Sijaangalia tu factor hiyo..bali mustakabali wake na hapa united..tokea sanchez alivyowasili,jamaa amepoteana wakati recently alikuwa kwenye form nzuri..sioni akipata nafasi next season,so ni bora aondoke
 
Makocha wa timu kubwa wana challenge sana ku-deal na wachezaji chipukizi

Licha ya kumnunua kwa hela nyingi Dembele but Barcelona wanataka kumuuza/kumpeleka kwa mkopo kwenye timu nyingine atakayocheza mechi na kurudisha confidence yake.

Unamkumbuka Renato Sanches ? Unaweza kuamini ameshindwa kupata namba hata Swansea
 
Ok..wewe unaona martial afanyaje?,au man united ifanye nini juu ya martial?
 
Martial out of the world cup..this lad must leave this summer..hatofanikiwa chini ya mourinho
Martial ni mvivu sana ila mchezaji mzur sana kuna wachezaj kuwa nao raha sana mfano firminho kama hajafunga atakaba au kutoa pass ya goli hata city wapo hivyo martial akipoteza mpira kwa heli full back wanapata shida sana kucheza na martial

Hata sanchez kaanza kuzoea mfumo wa kurud kusaidia kukaba

Kocha sio mbaya kwa nn wengine wanacheza vizur tu?
 
Ok..wewe unaona martial afanyaje?,au man united ifanye nini juu ya martial?
Yeye martial anatakiwa kujituma sio timu ijitume akiendelea na tabia za uzembe timu inaingia sokoni anatakiwa kupigania namba akizembea atajikuta stoke city au inter millan
 
Ok..wewe unaona martial afanyaje?,au man united ifanye nini juu ya martial?
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Mourinho kumuuza Martial

1.Martial anapaswa kuongeza workrate yake (Young,Valencia,Lingard ) wanacheza sababu workrate yao ni kubwa.Jose anaitumia sana hiyo factor

2.Mourinho anapaswa kuwa flexible kutengeneza formation ya kuwatumia Martial,Lukaku& Sanchez.
Lukaku anatakiwa kufanyiwa rotation na Sanchez anaweza akacheza kama striker

3.Last option ni kumpeleka kwa mkopo wa msimu mmoja Martial au Rashford ili apate uzoefu wa kutosha(Lukaku,Kane,JT) walicheza kwa mkopo na wakaja kuwa wachezaji wazuri
 
Yeye martial anatakiwa kujituma sio timu ijitume akiendelea na tabia za uzembe timu inaingia sokoni anatakiwa kupigania namba akizembea atajikuta stoke city au inter millan
Ajitume wakati nafasi ya kupata game time ni ndogo..mi naona wamweke tu sokoni..na pia naona mourinho hampendi..mourinho angekuwa amepangua wachezaji wengi tu,sema sera za united zinambana..
 
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Mourinho kumuuza Martial

1.Martial anapaswa kuongeza workrate yake (Young,Valencia,Lingard ) wanacheza sababu workrate yao ni kubwa.Jose anaitumia sana hiyo factor

2.Mourinho anapaswa kuwa flexible kutengeneza formation ya kuwatumia Martial,Lukaku& Sanchez.
Lukaku anatakiwa kufanyiwa rotation na Sanchez anaweza akacheza kama striker

3.Last option ni kumpeleka kwa mkopo wa msimu mmoja Martial au Rashford ili apate uzoefu wa kutosha(Lukaku,Kane,JT) walicheza kwa mkopo na wakaja kuwa wachezaji wazuri
Sioni wa kumtoa lukaku pale mbele nikiangalia kwa jins anavyopambana na mabek kwa zile nguvu kuangusha mipira ni hivyo tu bado rashford na martial wanashindwa kutumia nafas hizo gem nyingi sana mipira imetoka kwa de gea moja kwa moja kwenda kwa likaku ambapo hiyo mipira imakuwa na madhara lakini hawez de gae kumpigia martial na rashford

Madogo wajiimarishe tu wenyewe kutokea pembeni na msimi ujao watalia sana
 
Ajitume wakati nafasi ya kupata game time ni ndogo..mi naona wamweke tu sokoni..na pia naona mourinho hampendi..mourinho angekuwa amepangua wachezaji wengi tu,sema sera za united zinambana..
Mechi 44 kacheza vipi na kufunga goli 11?
 
Ok..wewe unaona martial afanyaje?,au man united ifanye nini juu ya martial?
Itakuwa kosa kubwa sana kama Mourinho atamuuza Martial

1.Martial must work hard kuongeza workrate yake (Young,Lingard,Valencia) wanacheza sababu workrate yao ni kubwa

2.Mourinho must be flexible kuwatumia Lukaku,Sanchez na Martial pamoja,Lukaku anapaswa kufanyiwa rotation Sanchez akacheza kama main striker

3.Last option ni kumpeleka kwa mkopo Martial au Rashford atakayebaki atapata more playing time (JT,Lukaku,Sturridge,Kane) baada ya kucheza kwa mkopo wamekuwa wachezaji wazuri
 
Leta game time baada ya sanchez kuja..
Sasa jiulize kwa nini kaletwa sanchez ikiwa martial anacheza vizur?

City walishindwa kumchukua sanchez kufuatana na kiwango bora cha sane sasa niambie kat ya rashford na martial nani alikuwa na muendelezo bora wa kiwango?
 
Hivi form ya martial ya january,sanchez ameifikia hata robo?..nilikuwa sijaona sababu za kusajili mchezaji nafasi ya LW,labda RW,sababu on left flank,tunawatu kama martial/rashford ambao walikuwa wancompete kwenye hiyo nafasi

So its better martial awekwe sokoni..
 
Mi siwezi kuendelea na mjadala wa martial ila ninachoweza kukwambia mourinho hana cha kufanya juu ya martial mchawi ni yeye mwenyewe kwa nini sio lingard?

Akijitambua na kujitama bonge la mchezaji kuna muda wametumiwa sana na kocha tunaona kabisa utoto wanaofanya yy na mdogo wake rashford
 
Je wewe utafutilia harusi ya kifalme ambayo itafanyika keshi Jumamosi kati mwanamfalme Prince Harry na Meghan Markle au utatazama mechi ambayo ni fainali ya mechi ya FA kati ya mahasimu Chelsea na Manchester United.
Mwanamfalme Prince William atakosa kuhudhuria fainali hiyo ya kesho Jumamosi kwa kuwa ndiyo siku ya harusi ya nduguye Prince Harry.
Prince William atakuwa msimamizi wa harusi ya nduguye huko Windsor kesho Jumamosi.
William amekuwa rais wa FA tangu mwaka 2006 na mara nyingi ndiye hupeana vikombe na medali.
Mjane wa Ray Wilkins Jackie atatoa kombe hilo kwa washindi huko Wembley

Prince William hatahudhuria fainali ya FA kutokana na majukumu kama msimamizi wa harusu ya ndugu yake," alisema msemaji wa Kensington Palace.
Msemaji wa FA alisema: "Tunawatakia Prince William na wale watafunga ndoa siku njema."
Ray Wilkins ambaye alifariki mwezi uliopita akiwa miaka 61, alishinda kombe la FA kama mchezaji wa Manchester United mwaka 1983 na kufunga wakati wa fainali.
Pia alishinda kombe hilo mara tatu akiwa meneja wa Chelsea.
 
Manchester United walipata pesa nyingi kuliko mabingwa wa ligi Manchester City kutoka kwenye Ligi ya Premia msimu uliomalizika majuzi, licha ya City kufana zaidi na hata kuweka rekodi.
United, waliomaliza wa pili, walipokea £149.77m, £328,491 zaidi ya City.
United walilipwa pesa zaidi kwa sababu kuna mechi zao mbili zaidi ambazo zilionyesha moja kwa moja kwenye runinga Uingereza - hii ina maana kwamba pesa walizolipwa kutokana na uwanja wao na huduma nyingine zilikuwa £2.26m zaidi.
Kwa jumla, klabu za Ligi ya Premia zilipokea £2.42bn, £2.1m zaidi kuliko msimu uliopita.
United chini ya meneja wao Jose Mourinho mechi zao zilizoonyeshwa kwenye runinga Uingereza msimu huu zilikuwa 28, sawa na zilizooneshwa za Liverpool na Arsenal. Hata hivyo, zilizoonyeshwa za City zilikuwa 26.

Malipo ya jumla kwa klabu hutokana na mapato kutoka kwa haki za utangazaji wa mechi kwenye runinga Uingereza (ambayo asilimia 50 yake hugawanywa kwa njia sawa kwa klabu zote. Asilimia 25% ya mapato yaliyosalia hugawanywa kwa kuzingatia mechi ambazo zimeonyeshwa moja kwa moja kwenye runinga, na asilimia 25 kwa kuzingatia nafasi ya klabu kwenye jedwali), mapato kutoka kwa shughuli nyingine za kibiashara na mapato kutoka kwa haki za utangazaji wa mechi kimataifa.

City walipokea £38.63m kwa sababu ya kushinda ligi, £1.93m zaidi ya United waliomaliza wa pili.
 
Manchester United and Lazio have reached an agreement on the fee for Milinkovic Savic at around €95 million with extras. Contract talks are now commencing. Nemanja Matic has played a part in convincing the player to join!
 
Back
Top Bottom