Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona kama mtashinda kipindi cha pili. Chelsea hawana defence nzuri. Mkisawazisha mtawaondoa. But I'm with Chelsea, naomba wasinilize .. come on Chelsea.
 
Rashford kama anataka kuwa mchezaji mzuri inabidi atafute timu ndogo akacheze kwa mkopo kwanza
 
At least Wenger has left Arsenal as the only team that won the most the FA CUP's. Congrats to both teams for giving us all great match
 
Jose ni janga sijawahi kumkubali muda ni Mwl mzuri.
Duh hamumtaki mara hii ? Anapomwagaga pesa kununua wachezaji huwa mnamsifia. Lakini mlijua staili ya mpira anaofundisha attackers anawafanya defenders, midfielders wanakuwa defenders. GGMourinhoforever
 
Tangu mwanzo nilipinga ujio wa Jose kwakuwa nilijua aina ya mpira atakaoleta lkn Mimi si mwamuzi.
 
Jose ni janga sijawahi kumkubali muda ni Mwl mzuri.
Ngongo mkuu unakosea martial na rashford ukitegemea wawe striker maumivu kocha sijaona tatizo angalia nafas zilizotengenezwa na umakin wa ufungaji sizan kama martial aliagizwa na kocha awe anapiga vile jones kumtumia kama bek ni hatar sana

Hii mech ilikuwa ya bailly na rojo
 
Hahaha somebody said Mourinho turned Sanchez into poor man Iwobi
 
Sidhani wakati mwingine unaona team ipo hovyo.Fikiria kipindi cha kwanza Man hawakuwa na shoot on target
Shida mmaliziaji chelsea mbele alikuwa hazard tu angalia impact aliyokuwa nayo hata dakika mbili alizocheza willian kaonesha madhara mapema sana
 
Back
Top Bottom