Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester City wameanza mazungumzo upya ya kujaribu kumnasa winga wa Leicester City, Riyad Mahrez ambaye huenda akaondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.

Hata hivyo winga huyo anayetajwa kuwa na thamani ya £40m anatolewa macho pia na vigogo wengine kama Liverpool, Chelsea na Arsenal.
 
Sir Alex Ferguson aondolewa ICU : Klabu ya Manchester United imethibitisha kwamba hali ya kiafya ya Sir Alex Ferguson imeimarika na sasa ameondolewa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi japokuwa ataendelea kubaki hospital ya Royal Salford kwa ajili ya matibabu.
 
Mourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...

Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
 
Mkuu mi naona ni sawa tu waache kwanza wakae sawa umr wao bado mdogo
 
Mourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...

Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
Madogo hawajakua hao.
 
Lukaku ana ofer vitu vingi sana kwenye timu (defend,create chance,assist,score goals) na ana uzoefu ukilinganisha Martial/Rashford so far ameshafunga magoli 100 kwenye EPL na ndio ana miaka 24.

Kwa age yao na makosa wanayofanya ni ngumu sana kuanza kikosi cha kwanza kwenye timu kubwa
 
Siku Lukaku akiweza kuwa na FIRST TOUCH nzuri atakuwa striker kamili. Anaelekea huko.
 
Mourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...

Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
Lukaku alishawahi kukosa penalty akiwa Chelsea mechi na Bayern.. Morinho akaamua kumpiga bei kabisa
 
Wewe man u una ng'ang'ania kucheza uefa wakati huna uwezo hata wa kufika robo fainali.!

kwanini usiwe na mipango mingine tu ukaachana na uefa?!
 
IMG_8096.jpg
IMG_8101.jpg
IMG_8102.jpg
IMG_8099.jpg
IMG_8103.jpg
IMG_8098.jpg
 
Back
Top Bottom