Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
picha ya Lukaku, Martial na Herrera ukiambiwa zimepigwa Kariakoo unaweza usikatae.
picha ya Lukaku, Martial na Herrera ukiambiwa zimepigwa Kariakoo unaweza usikatae.
picha ya Lukaku, Martial na Herrera ukiambiwa zimepigwa Kariakoo unaweza usikatae.
lukaku unaweza ukapishana nae mtaa wa congo hata usimjueTena kwenye zile frem za madukapicha ya Lukaku, Martial na Herrera ukiambiwa zimepigwa Kariakoo unaweza usikatae.
uzi wa tatu. baada ya mwekundu na mweupe.Haaaahaaaaaaaa
picha ya Lukaku, Martial na Herrera ukiambiwa zimepigwa Kariakoo unaweza usikatae.
sio cheap mkuu, its just mazingira yanafanana na kwetu. wangepiga kwenye snow, viwanja vya kisasa, etc ingekuwa ni mazingira tofauti.hahahaha watu mna matusi humu. Ina maana Man Utd wamekuwa very cheap kiasi hiki.
Kacheze wewe basi na Chelsea yako.Wewe man u una ng'ang'ania kucheza uefa wakati huna uwezo hata wa kufika robo fainali.!
kwanini usiwe na mipango mingine tu ukaachana na uefa?!
Tungekuwa na kocha anaeitakia mema timu yetu,wangeingia sokoni kutafuta fullbacks wenye uwezo kidogo..hivi mnaonaga kyle walker anavopandaga juu na kwa ubora na kufanya timu inashambulia vizuri??Antonio Valencia has 90+% pass accuracy every match. Of all his passes.
Backward: 65%
Sideways: 32%
Forward: 3%
3-0 kasaidie wenzio.Antonio Valencia has 90+% pass accuracy every match. Of all his passes.
Backward: 65%
Sideways: 32%
Forward: 3%
Wewe ni mtanzania halisi.Tungekuwa na kocha anaeitakia mema timu yetu,wangeingia sokoni kutafuta fullbacks wenye uwezo kidogo..hivi mnaonaga kyle walker anavopandaga juu na kwa ubora na kufanya timu inashambulia vizuri??
Huyu valencia kashachoka for shure,young is not that good kwa upande wangu,shaw angepata maelekezo mazuri naamini angefit pale vizuri tu..
Mimi mkenyaWewe ni mtanzania halisi.
Niliwahi kusome United tunahitaji new full back mpira wa siku hizi unawategemea sana fullback kwenye kushambulia na hatuna hata mmojaAntonio Valencia has 90+% pass accuracy every match. Of all his passes.
Backward: 65%
Sideways: 32%
Forward: 3%
Daah kuna watu walisema ligi itaisha hivi;
1. Man City
2. Liverpool
3. Spurs
4. United