Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo tulilonalo kwa sasa ni beki na 2 na 3 tupate na kiungo mmoja mkabaj upande wa ushambulizi hamna shida lingard namuona kabadilika mno anazidi kukomaa kwa sasa rashford utoto bado ila atabadilika tu sanchez tayar kaanza kuzoea mfumo siona shida ktk ushambuliz ni viungo wetu tu kukosa viwango maalum leo wapo vizur kesho wanapoteza mipira hovyo lazima kupata kiungo mmoja wa maana wa kusaidiana na pogba
Yeah Sure, tuna tatizo katika beki line yote kuanzia namba 2 hadi 5, beki ambao tuna uhakika nao angalau wakiwa fiti ni Marcus Rojo na Baily, kuna haja ya kuongeza fullback mmoja kwa ajili ya kuwareplace mmoja wao kati ya Baily na Rojo wanapokosekana, Jones majeruhi yanamfanya kuwa beki wa kawaida ingawa ni beki wa uhakika anapokuwa fiti tatizo hawezi kucheza match 5 au 10 mfululizo, Valencia anahitaji sasa mbadala umri umeshaanza kumtupa mkono, Smalling naye.

Sina wasiwasi na kwenye kiungo cha ukabaji, kwa kuwa Carric ana staff vema kuongeza kiungo mwingine kwa ajili ya buck up ya akina Matic, Pogba na Herera.

Itapendeza Zaidi kuongeza mshambuliaji ama kiungo mshambuliaji aliyekamilika kusaidiana na Lukaku.

Pamoja na mapungufu tajwa lakini timu yetu inachangmoto katika Creativity hasa katika eneo la ushambuliaji na hii ni kutokana na Falsafa ya Kocha, ya uzuaji zaidi kuliko kushambulia.

Matic anamalizia msimu akiwa hayupo katika top ten ya Viungo waliotembea km nyingi uwanjani tofauti na kawaida yake, timu yetu imezidiwa na timu nyingi katika kumiliki mpira licha ya kushinda baadhi ya michezo.

Ni vema sasa kocha kubadilisha falsafa na kucheza soka la kutumia washambuliaji wawili badala ya mmoja, kuna goal score (Lukaku ) na kiungo namba 10 (Mshambuliaji msaidizi) ili Pogba apande juu namba 8 kuongeza Creativity wakati timu inashambulia, Matic na Herera wakiwa viungo wakabaji.

So far so good jana tumeshinda lakini tunatakiwa kuwa na timu ya uhakika mwakani yenye uwezo wa kushinda match zaidi 10 - 15 mfululizo.
 
Choice yangu Mkuu ni Thiery au Viera lakini wamatumbi wale wana ngozi kama za kwetu owners wengi wanawatolea nje, ni ubaguzi tu.
Mkuu tafuteni makocha wanaoeleweka, Ancellot au yule Enrique aliyekuwa Barca, uzoefu muhimu sana. Huyo Wenger hakuwahi kuwa na CV ya maana, hata alipokuja Arsenal huko alikotoka alikuwa kaishusha timu daraja.
 
"I had this morning one simple SMS from one of my bosses, Ed Woodward," Mourinho told the BBC. "And he was saying, 'I believe we are going to win but if we don't the season is a good season. The season is a season where everybody was professional and everybody is trying to bring the club in the right direction.'
Ha haaa ha aaa wale [HASHTAG]#mouout[/HASHTAG] nawaomba wasake timu zingne kwa kipindi hiki....Ed kashasema hii ni good season ww ni nani unakataa ha ha ha
 
Huyu jones hatar
Screenshot_20180421-224931.jpg
 
Tatizo tulilonalo kwa sasa ni beki na 2 na 3 tupate na kiungo mmoja mkabaj upande wa ushambulizi hamna shida lingard namuona kabadilika mno anazidi kukomaa kwa sasa rashford utoto bado ila atabadilika tu sanchez tayar kaanza kuzoea mfumo siona shida ktk ushambuliz ni viungo wetu tu kukosa viwango maalum leo wapo vizur kesho wanapoteza mipira hovyo lazima kupata kiungo mmoja wa maana wa kusaidiana na pogba
Sure ndugu kwenye consistency ya mid field hapo kuna shughuli sana,n way pengine preparation tour baada ya ligi itawajenga vema.
 
Alexis Sanchez has delivered a dig to Arsenal by saying he left the Gunners for 'a big club'.
The Chilean forward moved to United in January in a swap deal which saw Henrikh Mkhitaryan head in the opposite direction.
Despite a difficult start to life at Old Trafford, he enjoyed
arguably his best game since joining the club at Wembley on Saturday, scoring as the Reds beat Tottenham 2-1 to progress to the FA Cup final.

And afterwards Sanchez , who grabbed United's first goal with a smartly-taken header, said: “In truth it’s been very hard for me, coming to a big club, it changed everything.
"So today I’m really happy, for the team, the goal and for the attitude we showed throughout the game.
“It was a great pass from Paul Pogba, and when the ball was in the air I wanted to hit it to the near post.
"But then I saw the goalkeeper go the other way so I changed to the far post to catch him off balance.”
 
  • Manchester United have reached their 29th major domestic cup final (20 FA Cup, 9 League Cup), more than any other side in English football.
  • United have reached the FA Cup final in two of the last three seasons, having failed to reach the showpiece in eight consecutive seasons previously.
  • Tottenham haven't lost a single Premier League game in which they've led this season, but have now been eliminated from their three other competitions this season in games in which they took the lead (2-3 vs West Ham in the League Cup, 1-2 vs Juventus in the Champions League).
  • Spurs also extended their record run of consecutive FA Cup semi-final defeats to eight, last winning one in 1991.
  • Alexis Sanchez has scored eight goals in his eight appearances at Wembley for club and country, including six goals in five FA Cup matches.
  • Ander Herrera has scored in each of his last two FA Cup games, as many as he had in his previous 15 in the competition.
  • Jose Mourinho has reached his sixth major domestic final in England (2 FA Cup, 4 League Cup), winning each of his previous five.
 
KIUNGO, Paul Pogba, amekanusha kuwa na uhusiano mbaya na kocha wake, Jose Mourinho na kusisitiza kwamba anafurahia majukumu yake anayopewa kwenye kikosi cha Manchester United.

Pogba alisajiliwa na Mourinho kwa ada iliyoweka rekodi ya dunia kwa wakati huo, Pauni 89.3 milioni akitokea Juventus, Agosti 2016 aliporejea Old Trafford kwa mara ya pili.

Lakini Mfaransa huyo amekumbana na nyakati ngumu ikiwamo kuwekwa benchi na kusababisha maneno mengi mitaani kwamba ametibuana na kocha wake na anafikiria kuondoka.

Lakini, Pogba mwenyewe ambaye amekuwa akicheza soka safi siku za karibuni, akiisaidia timu yake kufika fainali ya Kombe la FA amesema: "Sina tatizo na Mourinho. Nadhani pia hata yeye hana tatizo na mimi.

Alinifanya kuwa nahodha kwenye mechi fulani na nilifanya vyema majukumu yangu. Mimi ni mchezaji na wajibu wangu ni kucheza vizuri. Yeye ni kocha na ndiye anayeamua. Mimi ni mchezaji na kazi yangu ni kukubaliana na uamuzi wa kocha, majibu ya hayo yote yanapatikana uwanjani."

Pogba alikataa pia kwamba kuwekwa benchi kulimfanya afikirie kuachana na timu hiyo, akisema: "Hakuna kitu kama hicho. Kocha anafanya uamuzi si kwa ajili ya mchezaji bali kwa ajili ya timu.

“Anamweka nje mchezaji mmoja kwani ana mwingine. Kutokana na hilo, ukiwa mchezaji unapaswa kukubaliana nalo. Mourinho anataka ninyoe? Pengine hiyo ni kesi ya watu wengine siyo mimi. Sifikirii kuhama wala mambo mengine ya aina hiyo."
 
Ohhh Good news niliisikia majuzi hii rumours ikanisononesha!!
 
Back
Top Bottom