Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20180426_191647.jpg
Mnakumbuka mechi hii iliishaje?
IMG_20180426_191647.jpg

Iliisha hivi...
IMG_20180426_194228.jpg
 
Happy Demba Ba day to everybody
View attachment 758194
Hivi huyu no 8 mgongoni alikuwa anajitelezesha au ilikuwa ni serious? Manake kuna game huwa nahisi alipiga short back pass akijua drogba lazima ataunasa ile mpira na kufunga. Huwa naamini ile mechi huyo jamaa aliipanga ili man u wasichukue ubingwa
 
Kitu kizuri lazima ukirudie na hii naamini tutarudia tena
Jamaa leo wanapumzisha wachezaji kujiaandaa na marudiano na Atletico ndio maana niliweka hii kumbukumbu.
Mourinho anataka ajisifie kafikisha pts nyingi kuliko makocha wengine kwahio muziki wake ni kama fainali.
 
Hahaa kwakweli leo lazima kieleweke.
 
Back
Top Bottom