Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose alikuwa analaumiwa rekodi mbovu kwenye big match but msimu huu sioni hizo lawama tena na ameshinda Etihad na Emirates
Amezifunga timu zote kubwa. Next season tukiwa makini na timu ndogo tunachukua ndoo. Tumepoteza points vs Huddersfield,Leicester,Newcastle,Wes Brom,Burnley,Stoke city tungeshinda hizi tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.
 
IMG_20180421_230148_936.JPG
 
Huyu sikuona madhara yake shida ni ericsen sikupenda awe na mpira
Dembele humnyang'anyi mpira kibwege hilo ndio tatizo alikuwa anaenda huku mara ana akhirisha safari anarudi huku basi nafsi yangu haikutulia mpaka katoka.
 
Hongereni sana humu wapenzi na mashabiki wote wa ukwee wa MANU kwa kulibeba kombe mbuzi kwa mara nyingine tena. Yule mtani wenu BAK wa siku nyingi alipita kuja kuwapa pongezi si haba.
Shukran (bubu ataka kusema )toka juzi napita kwenu najiuliza niwape pongezi au pole nakosa jibu basi napita kimya tu.
 
angalau heshima inaanza kurudi, kwamba ukiitangulia Man U usihisi unaweza fika uendako bila kukatishwa tamaa... siku zote naamini katika Mou. madhaifu kila kocha anayo .

napompendea huyu jamaa anajua kukilinda anachokipata, kwa jana mou angemtangulia Hotsp ingekuwa kazi sana kurejesha ule ushindi.
 
Kwa Mara ya kwanza niliiona Man U iliyokomaa Jana. Nilichoipendea zaidi ni kuona wanacheza na miongoni kwa timu bora na kutokuwa na mawazo ya kupaki basi na kila mchezaji kujitahidi kutimiza majukumu yake ipasavyo. Hongera kwa wachezaji na Manager pia kwa maelekezo ya kushambulia aliyowapa wachezaji. Tungekuwa na consistency ya namna hii huenda tungekuwa mabingwa.
 
Mie binafsi ningependa sana kuona mmoja wa wacheza wastaafu wa Gunners lakini utaambiwa hawana experience!!! Huyo Babu mwenye experiences ya miaka chungu nzima kaipeleka wapi timu? 😱
Huwa sina imani na Louis. Naona kama pale barca timu ndo ilimbeba. Alikuwa Roma alifanya kipi cha maana? Ila mi si shabiki Wa aseno
 
Mie binafsi ningependa sana kuona mmoja wa wacheza wastaafu wa Gunners lakini utaambiwa hawana experience!!! Huyo Babu mwenye experiences ya miaka chungu nzima kaipeleka wapi timu? 😱
Massimo allegri naamini atawafaa ila fungu la usajili liwe la kueleweka. Mana mnaweza kuwa mnamlaumu Wenger kumbe bodi inatoa hela za usajili kiduchu
 
Dembele humnyang'anyi mpira kibwege hilo ndio tatizo alikuwa anaenda huku mara ana akhirisha safari anarudi huku basi nafsi yangu haikutulia mpaka katoka.

Sikatai mkuu kama mtu wa mpira angalia movement zake hazikuwa na madhara kabisa yani muda mwingi alitumia kuwa na mpira jambo ambalo halina faida si ajabu pogba alimpora na kusawazisha goli kwa sisi tulifaidika sana a dembele angalia eriksen alipokuwa na mpira viungo wetu walipata tabu sana huyu alikuwa anatupa mpira sehemu sahihi.
 
Kweli dembele Jana hakuwa na jambo,ericksen alikuwa mwiba sana

Kuna muda mourinho alitaka kugombana na herrera na pogba walishindwa kabisa kuzimudu movement zake baada ya kelele herrera alirud mchezoni ndipo pogba kutulia
 
Tatizo tulilonalo kwa sasa ni beki na 2 na 3 tupate na kiungo mmoja mkabaj upande wa ushambulizi hamna shida lingard namuona kabadilika mno anazidi kukomaa kwa sasa rashford utoto bado ila atabadilika tu sanchez tayar kaanza kuzoea mfumo siona shida ktk ushambuliz ni viungo wetu tu kukosa viwango maalum leo wapo vizur kesho wanapoteza mipira hovyo lazima kupata kiungo mmoja wa maana wa kusaidiana na pogba
 
Kuna watu wana maajabu duniani, kwa sababu man city kishakua bingwa basi kwa IQ yake the so called mchambuzi uchwara wa jf basi hakuna haja ya timu zingine kushinda mechi zilizobaki. Unamuuliza mtu eti lengo la kushinda mechi ya jana ni nini? thanks GOD he is not one of our own
He is deluded
 
"I had this morning one simple SMS from one of my bosses, Ed Woodward," Mourinho told the BBC. "And he was saying, 'I believe we are going to win but if we don't the season is a good season. The season is a season where everybody was professional and everybody is trying to bring the club in the right direction.'
 
Back
Top Bottom