Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Dili nasikia tetesi ni ya Enrique yuleeeeeeeeeeeee aliyekuwa Barca
Mkuu yule anawafaa sana..huo ujinga wa kumfikiria sijui Viera acheni. Tafuteni kocha mzoefu.
Kane game against United ni kawaida kuchemshaHivi Harry Kane kipindi cha pili alitoka mbona sikumuona kabisa 😛
I was asking my self how can he mispell THFC?! Or what does CFHT means?!
Hakuna kitu kigumu kwanye big games kama kutanguliwa...ila so far Man Utd can recover from any setbackJose anaonekana hili kombe analitaka sana ukiangalia body language yake tangu mechi inaanza
Recently kuna improvement timu ikianza kufungwa inaweza kufanya comeback tofauti na huko nyuma game against Chelsea,Crystal Palace,Man City na Spurs tulianza kufungwa finally tukashinda
Jose alikuwa analaumiwa rekodi mbovu kwenye big match but msimu huu sioni hizo lawama tena na ameshinda Etihad na EmiratesHakuna kitu kigumu kwanye big games kama kutanguliwa...ila so far Man Utd can recover from any setback