Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pongezi kwa Fundi Herrera na Alexis sio kwasababu wamefunga magoli,ila ni kwa kujituma kwao leo.
 
IMG_20180421_211802.jpg
Wale mliokuwa mnalalamika wachezaji hawakabi au hawachezi kwa kasi mnayoipenda ngoja niwaaambie kitu kimoja.
Kwa mpira wa speed hapa leo mshindi angekuwa ni Spurs tu na mliona walivyoanza kwa speed na matokeo yake.
Mou kama kawaida yake anaset timu inakuwa compact with liittle spaces, na speed inapunguzwa ili wapinzani wawe mbele yetu(face to face) wasipate nafasi ya kutokea mipira nyuma yetu.
De Gea leo alikuwa likizo tactic za Mou zimefanya kazi perfectl
 
Pana sub kocha wa timu pinzani akifanya mnashangilia kiuhakika yule mousa dembele alitusumbua pale kati anavyonyumbulika ilikuwa khatari sana.Tulikuwa Wembley tunabaki hapo kusubiri majaaliwa ya the blues na the saints.
 
Leo kachemsha kwa Pogba. Huwa ana msuli sana ila Pogba kampa msuli wa maana leo hasa goli la kwanza.
 
Hongereni sana humu wapenzi na mashabiki wote wa ukwee wa MANU kwa kulibeba kombe mbuzi kwa mara nyingine tena. Yule mtani wenu BAK wa siku nyingi alipita kuja kuwapa pongezi si haba.

Glory Glory Manchester United tuliteteee tu tena kombe letu la Mbuzi angalau mwaka huu tusitoke tena patupu ...... haters kama nawaona hahahaha!!!
 
Hongereni sana humu wapenzi na mashabiki wote wa ukwee wa MANU kwa kulibeba kombe mbuzi kwa mara nyingine tena. Yule mtaani wenu BAK alipita kuja kuwapa pongezi si haba.
Hahahahahaaha aiseee karibu sana!!! Niambie uko wapi tuchome mbuzi is it true Wenger kasema goodbye au rumours? hahaha!!
 
Weye andaa kwa kesho nitapita, hatimaye Babu kaamua kubwanga manyanga!!!! Wamemuondoa kiutu uzima aseme mwenyewe badala ya kuwa fired. Nilipoona sikuamini mara ya kwanza kwani last summer alisign mkataba mpya wa miaka miwili ulitakiwa uishe mwisho wa msimu ujao. Kumuondoa Babu Emirates ni sawa na kushinda kombe mbuzi LoL! Hahahahaha

Hahahhahahha aiseee!!! Ngoja niandae vinjwaji na mbuzi nikusaidie kusherekea!!! Aiseee hongereni aisee so utani kama vile mmechukua kombe.
 
Back
Top Bottom