ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Mtafunga tuTumekosa nafasi ya kwanza Pogba
Mtafunga tuTumekosa nafasi ya kwanza Pogba
Dakika ya 30. United 1 vs Wenger 0Update jaman mi Niko kijiji kinoma
Poa mkuuDakika ya 30. United 1 vs Wenger 0
Unataka namba 9 anayemiki mpira ili iweje?Bado tunahitaji namba 9 mwenye kuweza kumiliki mpira kwakweli,huyu Lukaku hapana.
Hahaaa kweli kabisa Wenger kaidharau sana game ya leo kikosi gani iki.Hichi kikosi cha Arsenal ingekuwa enzi ya babu Fergie ingekuwa balaa
Namba 9 hutakiwi kugusa mpira mara mbili. Kazi yake ni kupiga tu golini.Bado tunahitaji namba 9 mwenye kuweza kumiliki mpira kwakweli,huyu Lukaku hapana.
Anarekebishika. Off season anatakiwa afanyie kazi FIRST TOUCH yake basi atakuwa complete no.9Bado tunahitaji namba 9 mwenye kuweza kumiliki mpira kwakweli,huyu Lukaku hapana.
Blessing in disguiseLukaku injured..Rashford to replace him, 47 min.