Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika sub ambayo sijaielewa ni kumtoa herrera na kumuacha mata ambae toka gemu inaanza alikua ameflop kitambo yani dah. Hii timu nadhani hata msimu ujao ni haya haya leo furaha kesho huzuni kama Arsenal [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Mwache the special one afanye mambo yake
 
Rote rote hasna seekho
(Learn to laugh when you're crying)
Andhaa kaanoon...

Baba kamuimbia mtoto, mtoto nae anakuja kumuimbia baba! Ndio haya ya Manyumbu sasa.
 
30711832_2244805148869914_9046815672302043136_n.jpg
 
Livapuli fans trolling Manchester united is the funniest comedy ever.

When last did these dummies see gold apart from klopp's teeth?
 
Livapuli fans trolling Manchester united is the funniest comedy ever.

When last did these dummies see gold apart from klopp's teeth?


Huu Ndiyo Mwanzo Wako Wa Kuchanganyikiwa! Sasa Umeishia Kukomaa Na Mipasho Kwa Timu Za Wengine.
 
We Lumbe una roho nyepesi sana, unapenda banter alafu mwepesi kulia lia.

Hii picha ilikua inamaanaisha nini?


Hapo Nimetumia Kawaida Yetu Washabiki Pale Mtu Anapofungwa Huwa Tunaleteana hizo Mockery za Kishabiki.
Lakini wewe Muda wote with no reason umekomaa na Mipasho tu Kuhusu Timu Za Wengine.
 
Back
Top Bottom