Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

WBA hawana natumaini ya kubaki EPL, wanajua wanashuka daraja, ni ajabu, inaleta uchungu wametufunga. Game lilikuwa very soft, wachezaji wamechoka, hawataki kufanya bidii, so sad
 
Mourinho hata msimu ujao hawezi kuchukua ligi..mou out,tumechoka kuangalia this boring football..
 
Man city hakuweza kuchukua kombe kwa Man U walipokutana. But ni Man U again ndio waliomzawadia kombe Pep mapema kabisa kwa kukubali kichapo kutoka a bottom team.
 
Mou wa ajabu sana
Kawafunga wanaoongoza ligi na kufungwa na washika mkia wa ligi

Man U Kakataa Kumpa Ubingwa Anaeoongoza Ligi Akiwa Away...

Anaeshika Mkia Kamkabidhi Ubingwa Anaeoongoza Ligi Akiwa Away....

"Food Web" 😀😀😀😀
 
IMG_20180415_201602_935.jpg
 
Hivi sanchez alikuja man united kufanya nini??
Mkuu wakati mwingine tutatenda dhambi tu,Sanchez ni 'mtu'

Mchezo dhidi ya city goal zote tatu zinatokana na mchango wake na upambanaji wake,aliassist mara mbili na ile assist ya kifua ya Herrera mpira ulitoka kwake baada ya kuwapita mabeki kiajabu.

Lawama zote abebe Mou,maana hadi tunamaliza msimu tupo nafasi ya pili(sijui kama tutamaliza wa pili)tunashinda kiajabu ajabu tu.
 
Haya mambo mbona akina martial na rashford washafanya..kwahiyo rashford asipewe lawama yoyote kisa alifunga goli mbili dhidi ya liverpool??...nachosema ni kwamba sanchez angetakiwa awe anainfuence mechi kwa kiasi kikubwa na sio kufanya vitu basic ambavyo mchezaji yoyote anaweza kuvifanya..
 
Man city is now one league title behind Sunderland and two behind Aston Vila
IMG_20180415_214139.jpg
 
Hivi kwanini Mou alimtoa Herrera?

Halafu mbona babu Ferguson bado ana afya njema tu,kwani hawezi kurudi Mou akawa msaidizi?

Kikosi Mou alipanga vizuri ila sub zile sijazielewa kabisa.
Katika sub ambayo sijaielewa ni kumtoa herrera na kumuacha mata ambae toka gemu inaanza alikua ameflop kitambo yani dah. Hii timu nadhani hata msimu ujao ni haya haya leo furaha kesho huzuni kama Arsenal
 
Back
Top Bottom