Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Matatizo yalianza baada ya kutoka Herrera
Kachemsha sana kumtoa Pogba, hata kama alikuwa na yellow. Pia kumtoa Herrera ni ujinga mwingine. Dakika ya 93. Bado moja.Ukimtoa Pogba hamna tena organization kwenye timu.
Aina faida maana hatuna umuhimu ushindi wachezajI walilewa ushindi wa cityhata kumaliza nafasi ya pili nahisi itakuwa ndoto
Wanastahili kabisa,wamecheza soka zuri sana,wakifuatiwa na Liverpool msimu huu.
Kikosi alikosea tangu mwanzo. Timu yetu haiwezi kuanza bila Rashford,Martial au Libgard. Mmoja wao lazima awepo kuipa timu pace na ari. Kaanza na Mata na akina Sanchez hakuna hata mmoja hapo mwenye juhudi.Hivi kwanini Mou alimtoa Herrera?
Halafu mbona babu Ferguson bado ana afya njema tu,kwani hawezi kurudi Mou akawa msaidizi?
Kikosi Mou alipanga vizuri ila sub zile sijazielewa kabisa.




RRONDO pole bro.. Naona last week mmekaza asichukulie uningwa kwenu alafu mwishowe kaja kuuchukulia kwenye mgongo wenuKikosi alikosea tangu mwanzo. Timu yetu haiwezi kuanza bila Rashford,Martial au Libgard. Mmoja wao lazima awepo kuipa timu pace na ari. Kaanza na Mata na akina Sanchez hakuna hata mmoja hapo mwenye juhudi.
Substitution ndio kavuruga timu kabisaaa
Tena wakiwa kaunta wanaagiza kinywajiRRONDO pole bro.. Naona last week mmekaza asichukulie uningwa kwenu alafu mwishowe kaja kuuchukulia kwenye mgongo wenu