Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapo Nimetumia Kawaida Yetu Washabiki Pale Mtu Anapofungwa Huwa Tunaleteana hizo Mockery za Kishabiki.
Lakini wewe Muda wote with no reason umekomaa na Mipasho tu Kuhusu Timu Za Wengine.
Ndio uache kulia lia sasa, kama unajijua huwezi banter kaa kimya. Ukiona nimeiongelea timu yako basi ujue kuna mjinga mwenzio (kama sio ww) kaitroll Manchester
 
JOSE Mourinho ameipongeza Manchester City kwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England na kukiri kikosi hicho cha Pep Guardiola kilikuwa bora zaidi kwa muda wote msimu huu.

Wakati wachambuzi wakimtolea macho Mourinho na Man United yake imeshindwa kupambana na Man City kwenye mbio za ubingwa wa msimu huu, kocha huyo Mreno alisema kazi hiyo haikuwa ya kwanza tu, bali klabu zote kubwa kwenye ile Top Six zilipaswa kupambana, kuanzia Arsenal, Liverpool, Chelsea na Tottenham.

Lakini, ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, unaambiwa hivi ni ngumu ya pesa. Mourinho na Guardiola walimwaga pesa za kutosha, lakini aliyechana pochi lake kwa kiasi kikubwa zaidi, ndiye aliyeibuka kidedea. Katika msimu wa 2016/17, Man United ilitumia Pauni 99.22 milioni, wakati Man City ilitumia Pauni 145.15 milioni. Msimu huu, Man United imetumia Pauni 138.3 milioni na Man City, Pauni 142.05 milioni.

Hata katika matumizi ya jumla kabla ya kufanya makato yoyote, Man City imetumia Pauni 365.85 milioni na Man United Pauni 291.3 milioni. Soka la kisasa, kutamba unahitaji kumwaga pesa za kutosha na ndiyo maana kwa timu hizo ndizo zenyewe zilizoonekana kupeana upinzani kwenye ligi, licha ya Man United ilizembea katika baadhi ya mechi zake. Katika msimu wake wa kwanza Mourinho, alitumia Pauni 145.3 milionbi, akiwanasa Eric Bailly (Pauni 30 milioni), Henrikh Mkhitaryan (Pauni 26.3 milioni) na Paul Pogba (Pauni 89 milioni).

Kwa msimu huo, pesa alizoingiza kwa kuuza wachezaji ni Pauni 46.08 milioni. Msimu huu, Mourinho alitumia Pauni 138.3 milioni, akiwanasa Victor Lindelof (Pauni 31 milioni), Romale Lukaku (Pauni 75 milioni) na Nemanja Matic (Pauni 40 milioni). Wachezaji waliouzwa waliingiza Man United, Pauni 7.7 milioni.

Man City, Guardiola alitumia Pauni 167.15 milioni, akibeba orodha ndefu ya wachezaji Ilkay Gundogan (Pauni 20 milioni), Nolito (Pauni 13.8 milioni), Oleksandr Zinchenko (Pauni 1.7 milioni), Leroy Sane (Pauni 37 milioni), Marlos Moreno (Pauni 4.75 milioni), John Stones (Pauni 47.5 milioni), Claudio Bravo (Pauni 15.4 milioni), Gabriel Jesus (Pauni 27 milioni). Pesa alizoingiza kwa kuuza wachezaji ni Pauni 22 milioni. Kwa msimu huu, Man City imetumia Pauni 198.7 milioni, kunasa wachezaji, Bernardo Silva (Pauni 43 milioni), Ederson (Pauni 34.9 milioni).

Kyle Walker (Pauni 45 milioni), Danilo (Pauni 26.5 milioni) na Benjamin Mendy (Pauni 49.3 milioni).

Kiwango alichoingiza kwa kuuza wachezaji ni Pauni 56.65 milioni. Katika tofauti hiyo ya matumizi ya pesa, inaonyesha wazi namna Guardiola alivyowashinda wenzake katika mbio za kulitaka taji hilo la Ligi Kuu England.

Gharama hizo hazikuhusu usajili wa Januari, ambapo Guardiola alimnasa Aymeric aporte kwa Pauni 57 milioni, wakati Mourinho alimnasa Alexis Sanchez kwa kubadilishana na Mkhitaryan.
 
Am already fed up with mourinho...yeye ni kutafuta visingizio tu na tukokubali hata yeye anakosea,what a poor coach.

Anavyowatreat pogba, martial na herrera pindi wanavyokuwa na perfomance mbovu,ndivo hivohivo anatakiwa kufanya kwa matic,lukaku sanchez pindi wanapofanya vibaya..

Huyu kocha kwa sasa hana passion ila anatimiza kazi yake ili apate 15m zake kwa mwaka..

Ni bora tumpate kocha kama carlo anceloti,naamini angeweza kujenga timu ambayo inacheza entertaining football,

Sioni tukifanya vizuri next season hata hii nafasi ya pili naona hatudeserve kuwa pale na who knows,tunaweza tusimalize kwenye hiyo nafasi.

Usajili wa sanchez bado sijajua mantiki yake kwa sababu on left flank kulikuwa amna tatizo kubwa kama on right flank,sasa kwa nini usajili mchezaji kwenye hiyo nafasi ahead of rashford na martial ambao walikuwa wakibadilishana na mchango wao ulikuwa sio mbaya,refer mwezi january jins martial alivoshine na kufunga three consecutive goals za muhimu sana,ila alipokuja tu sanchez kama vile amedestroy form flani tuliyokuwa tumeigain.

Clabu yetu imekuwa sehemu ya watu kuja kuchuma tu pesa bila hata ya kuwa na passion kwenye bagde ya united.

I dont care anymore,tupoteze leo kwa bournamouth,au tutolewe na spurs jumamosi kwenye FA.

Am feeling sorry,kwa sir alex ferguson pale ambapo kamera zinapommulika,naamini anapata maumivu makubwa kuona miaka yote mitano baada ya yeye kuondoka amna cha maana kilichofanyika zaidi ya kutumia pesa nyingi tu kununua wachezaji na kulipa mishahara yao..

Wachezaji ambao by the end of season ningependa waondoke ni wafuatao:

1.Darmian
2.Blind
3.Pogba
4.Fellaini
5.Shaw

Wachezaji ambao lazima watafutiwe mbadala huku wao wakiwa on bench:

1.Valencia
2.Young

Nafasi ya kiungo inaitaji marekebisho makubwa hata matic bado anacheza too slow na pia anafanya makosa marahisi mengi ambayo yanaicost timu..

No way mourinho anaweza kuondoka at the end of the season,lakini ningefurahi zaidi kama asingekuwepo next season..
 
Mourinho is here to stay,
Mtapiga sana nduru mwishowe mtachoka, watu mmekua brainwashed na mafanikio ya man city msimu huu na hakuna asiejua how good this man shity is.

Since SAF kastaafu ni msimu huu pekee ndio tumefunga magoli mengi na kupata points nyingi still watu hamuoni progress.

Kuhusu pogba manager alishaongea, hajali umesajiliwa kwa kiasi gani but kama attitude yako ni mbovu, utakaa tu bench na ikiwezekana hata kuuzwa utauzwa, no one is bigger than Manchester.
 
Wakuu kwa nn tusimsajili Jay Rodriguez jamaa kawapa ubingwa man city msimu huu mwakani anaweza akatuletea ndoo pale O.T
 
Ndoo sio sperm kwamba kila mtu anaweza akatoa, kitoto kilichozaliwa mara ya mwisho livapuli kuchukua ndoo saizi ni kijeba.
 
Daah yule jamaa mzuri wa headers sna na kwa style yetu sisi ya ku pack ndinga then counter attack winga anamwaga maji Jay anaoga walete kati tutawatesa sana msimu ujao
 
JOSE Mourinho ameipongeza Manchester City kwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England na kukiri kikosi hicho cha Pep Guardiola kilikuwa bora zaidi kwa muda wote msimu huu.

Wakati wachambuzi wakimtolea macho Mourinho na Man United yake imeshindwa kupambana na Man City kwenye mbio za ubingwa wa msimu huu, kocha huyo Mreno alisema kazi hiyo haikuwa ya kwanza tu, bali klabu zote kubwa kwenye ile Top Six zilipaswa kupambana, kuanzia Arsenal, Liverpool, Chelsea na Tottenham.

Lakini, ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, unaambiwa hivi ni ngumu ya pesa. Mourinho na Guardiola walimwaga pesa za kutosha, lakini aliyechana pochi lake kwa kiasi kikubwa zaidi, ndiye aliyeibuka kidedea. Katika msimu wa 2016/17, Man United ilitumia Pauni 99.22 milioni, wakati Man City ilitumia Pauni 145.15 milioni. Msimu huu, Man United imetumia Pauni 138.3 milioni na Man City, Pauni 142.05 milioni.

Hata katika matumizi ya jumla kabla ya kufanya makato yoyote, Man City imetumia Pauni 365.85 milioni na Man United Pauni 291.3 milioni. Soka la kisasa, kutamba unahitaji kumwaga pesa za kutosha na ndiyo maana kwa timu hizo ndizo zenyewe zilizoonekana kupeana upinzani kwenye ligi, licha ya Man United ilizembea katika baadhi ya mechi zake. Katika msimu wake wa kwanza Mourinho, alitumia Pauni 145.3 milionbi, akiwanasa Eric Bailly (Pauni 30 milioni), Henrikh Mkhitaryan (Pauni 26.3 milioni) na Paul Pogba (Pauni 89 milioni).

Kwa msimu huo, pesa alizoingiza kwa kuuza wachezaji ni Pauni 46.08 milioni. Msimu huu, Mourinho alitumia Pauni 138.3 milioni, akiwanasa Victor Lindelof (Pauni 31 milioni), Romale Lukaku (Pauni 75 milioni) na Nemanja Matic (Pauni 40 milioni). Wachezaji waliouzwa waliingiza Man United, Pauni 7.7 milioni.

Man City, Guardiola alitumia Pauni 167.15 milioni, akibeba orodha ndefu ya wachezaji Ilkay Gundogan (Pauni 20 milioni), Nolito (Pauni 13.8 milioni), Oleksandr Zinchenko (Pauni 1.7 milioni), Leroy Sane (Pauni 37 milioni), Marlos Moreno (Pauni 4.75 milioni), John Stones (Pauni 47.5 milioni), Claudio Bravo (Pauni 15.4 milioni), Gabriel Jesus (Pauni 27 milioni). Pesa alizoingiza kwa kuuza wachezaji ni Pauni 22 milioni. Kwa msimu huu, Man City imetumia Pauni 198.7 milioni, kunasa wachezaji, Bernardo Silva (Pauni 43 milioni), Ederson (Pauni 34.9 milioni).

Kyle Walker (Pauni 45 milioni), Danilo (Pauni 26.5 milioni) na Benjamin Mendy (Pauni 49.3 milioni).

Kiwango alichoingiza kwa kuuza wachezaji ni Pauni 56.65 milioni. Katika tofauti hiyo ya matumizi ya pesa, inaonyesha wazi namna Guardiola alivyowashinda wenzake katika mbio za kulitaka taji hilo la Ligi Kuu England.

Gharama hizo hazikuhusu usajili wa Januari, ambapo Guardiola alimnasa Aymeric aporte kwa Pauni 57 milioni, wakati Mourinho alimnasa Alexis Sanchez kwa kubadilishana na Mkhitaryan.

Kuna Mashabiki Wamekasirika Sana Na Krusha Vijembe Kwenye Ukurasa Wa Twitter Wa Man United Kupinga Pongezi Hizo.

30714524_2244895605527535_22946330930315264_n.jpg
30713260_2245994132084349_2635572321452032000_n.jpg
 
Ngoma ndio inaanza
Bournamouth vs Manchester United
Mourinho kaleta kikosi dhaifu kabisa, naona anajipanga kwa nusu fainali ya FA Jumamosi.
 
Back
Top Bottom