RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,799
- 129,636
Na kwangu imekata now!Hawa DSTV pumbaf sana..mvua kidogo tu kila kitu off..
Na kwangu imekata now!Hawa DSTV pumbaf sana..mvua kidogo tu kila kitu off..
Duh sijaona hio...DSTV imeondoka na mvua!Albion 1 vs United 0
0-1matokeo vp?
Hii team ata mwakani sizani kama itabadilkaSasa si afadhali tungefungwa na Man city tujue moja
Nadhani leo umeona kwanini Mata huwa anakaa benchiYoung out Rashford in
Nadhani leo umeona kwanini Mata huwa anakaa benchiYoung out Rashford in