Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Miaka ya hivi karibuni United imekua ni underdog kwa city, sio kipindi cha mourinho tu, van gaal, moyes hata Ferguson mwenyewe huku mwishoni city alikua akimsumbua sana.

Mbinu za mourinho ni kukupa makombe kama unataka entertainment basi WWE is better for you. Mechi hata bado haijachezwa watu mshaanza kulalamika sababu ya walichofanya livapuli jana, what the fvck??????????

Mourinho hajawahi fungwa home and away na kocha mmoja and am sure haitatokea kwa msimu huu.
tafadhali mkuu kwa van gaal hakuna timu kubwa iliotusumbua. huyu city alikuwa anapigwa nyingi nyingi tu, mechi 4 lvg alizocheza na city alipoteza 1 tu tena mwanzo mwanzo ndo anakuja smalling mapema tu alikula umeme wakatufunga 1-0, baada ya hapo walichezea vichapo tu, kuna mechi tuliwafunga 4 fellaini akitupia mbili na kuna mechi rashford ndio kinda anaanza ligi aliwafunga arsenal na man city mfululizo.
 
Jamani mmeona tulivyo mpiga City?
Igeni ile pressing hata nyie mtawafunga
Lkn nani pale kwenu anaweza pressing?Mhh sidhani
City anawapiga easy tu poleni sana!
 
Bora umenisaidia watu hawamjui Van Gaal.
 
nyingi kwan hazina idadi.....gaal kamfunga ngapi city na yy kafungwa ngap......na kaifunga ngap asenali na yy akawekwa ngap........ Usifanye mambo kienyeji...
 
mechi 4 zimechezwa
man utd kashinda 2
man city kashinda 1
draw moja.

na kati ya hizo mbili ambazo wameshinda moja wameshinda goli 4 fellaini akifunga 2.

hivyo van Gaal hakuonewa na City. na sio city tu bali kokote anapoenda yule jamaa timu kubwa hazimsumbui hata world cup ulimuona.

Ukija arsenal vile vile Man u kapoteza Moja, kAmfunga 2 na draw moja. hivyo LVG pia alikuwa na record nzuri against Arsenal.

ukija spurs na liver ndio kabisaa hao liver walifungwa mechi zote 4 za ligi.

timu ambayo kidogo ilimsumbua lvg ni chelsea. nayo ilitawaliwa na draw nyingi.
 
sawa nimekuelewa.....ila mi nakumbuka gaal kaifunga asenali gemu moja2....
 
hapana mbili ngoja nikukumbushe.
1. mechi ya kwanza kabisa ya Rashford aliwafunga arsenal goli mbili na mechi ikaisha 3-2 man united alishinda.

2. mechi ya kwanza Ya LVG anakuja mwanzo mwanzo Man united walishinda 2-1 Giroud alipata goli la kufutia machozi dakika za mwisho mwisho
 
Jamani mmeona tulivyo mpiga City?
Igeni ile pressing hata nyie mtawafunga
Lkn nani pale kwenu anaweza pressing?Mhh sidhani
City anawapiga easy tu poleni sana!

IMG_1523018981.511499.jpg
 
hapana mbili ngoja nikukumbushe.
1. mechi ya kwanza kabisa ya Rashford aliwafunga arsenal goli mbili na mechi ikaisha 3-2 man united alishinda.

2. mechi ya kwanza Ya LVG anakuja mwanzo mwanzo Man united walishinda 2-1 Giroud alipata goli la kufutia machozi dakika za mwisho mwisho
Nshakumbuka mkuu.....asante kwa kumbukumbu....
 
Back
Top Bottom