Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ni zamu ya De Boer kukenua.
!
 
Kama ni ni kulaumu nitamlaumu jose mourinho kwa game ya kwanza sio hii.
Hii game kocha kaanza na game plan nzuri sana pogba akaja kumdhalilisha. Yaani alivyoingia pogba ikawa afadhali hata ya fellaini.

Wachezaji wetu wengi ni kama miogo leo mitamu kesho michungu na hapa kocha hapaswi kulaumiwa kbs. Yaani mf. young wa leo utafkiri ni tofauti na yule aliyemficha salah juzi sijui ni uchovu?

Naona bora tumetokea hapa ingawa ni kwa dharau na aibu kubwa kufungwa Old trafford. Yaani mtu anakuja anamla mkeo hapo hapo kwako alf akimaliza anakaa anapiga stori ndio tulichofanyiwa. Huko mbele ingekuwa ni aibu kubwa zaidi ya hii imagine tim hii inapewa bayern 1/4 final?

Kunahitajika changes kubwa sana pale OT kama tunataka kurudi kuwa tim kubwa barani ulaya. Haiwezekani tumemsajili mchezaji kwa paundi 90 milioni alf tumezidiwa tunamuingiza walau akabadilishe upepo tupate matokeo yeye ndio anaenda kutuzamisha kbs.

All in all this is football
Its just a bad day not a bad life
GGMU
 
Mpaka sasa kama kuna shabiki asitambua mzizi wa Fitina wa matatizo ya Man united ni mourinho inabidi aende kuombewa...


Hebu someni hizi comment chache kutoka official Manchester United instagram page..



Na huyu Ni Brother Edo

 
kunya utaendelea kunya maisha yako yote hadi unaingia kaburini,,na wakati ukiendelea kufanya tendo hilo la digestion manchester the reds devils wataendelea kutoa vipigo na makombe watachukua tukianzia leo
Ahahaaaaaaaaaaah...
Kwa timu gani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…