Kulikua na sababu gani zilizofanya fellain kuanza na pogba au mactomney au mata kukaa nje?,,,,pia zile mbinu alizotumia Leo kucheza unazani zilikua nzuri? ,
ungepiga kelele kuigomea sub kama juzi kati mashabiki wa simba walivyoigomea sub ya mavugo kwa kichuya,sasa wewe umeufyata alafu unakuja kupiga kelele huku hiyo ni nidhamu ya woga