Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liver Achomoki Hapo Ndugu Yangu

Mo Nw anacheza Mfumo Wa Mashambulizi
IMG-20180310-WA0057.jpg
 
Hureee leo ushindi mwepesi. Rashford in, naona watu wanavyokimbizwa kule kushoto maana nina uhakika na Young ni mkongwe na ana uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka. Valencia na Mata ni balaa. Hii winga ya kulia itakuwa motooooo. Na kizuri zaidi yule kijana mvivu mvivu #Martial# hayupo. GGMU
 
Eti mournho sio kocha aje pochetino toka aichukue spurs Hanna kombe sifa kubwa anapiga Pasi na kushambilia

Acheni jamani mwaka Jana katolewa na gent Europa kila mwaka anasulubiwa uefa spurs inahitaj kocha mzoef kama mou kocha mdogo timu inawachezaji waliokomaa kushinda mataji
naomba mwenye link ya livestream atupie Man U vs Liverpool
 
Back
Top Bottom