Kama wewe ni shabiki wa mpira unajua kitu kinaitwa experience. Goli tulilofungwa ni uzembe wa beki ambaye hana uzoefu na michuano hii, kwa iyo anakua anacheza kwa presha mihemko.
Kiuchezaji Barca alikua anakaa, game plan ilikua inahitaji kucheza vile. Ukifunguka unagongwa za kutosha na ndicho kinacho waponza Arsenal, huwa wanataka kucheza kama Barca ilihali hawana wachezaji kaliba ya Barcelona mwisho wa siku wanaishia kugongwa 4.
Tukutane weekend. Hapohapo kwenu. Muone huyo msimamizi wenu wa mazoezi atakavyo panic