Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😀 😀 😀 Matic, Herrera na Pogba!!!

Mkuu Ni Can, Ox na Millner 😀 😀 😀 Sema tu Hawatumii Muda Mwingi Kwa Kulinda, Bali hutumia Muda Mwingi Kwa Kushambulia, na Muda Mchache Ndiyo Wanalinda.
😀 😀 😀
Ona sasa hao viungo wenu mkuu😀😀😀 Lakini mnaupiga mwingi. Sisi viungo boora kabisa ati tunajilinda.😵
 
Nimekuwa nikiwaangalia hawa Benevento ,timu ya Italy inayoburuza mkia. Mpira wanaoucheza huwa najiuliza kwanini mpaka Leo wanaburuza mkia.


Jana walikuwa wanakipiga na inter Milan pale San Siro chini ya mwalimu Roberto de zerbi. Hawa majamaa huwa wanaupiga saaaaana
 
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.

Ni kiungo gani pale liver wa kumfananisha na Matic, Herrera, na pogba?
Kumbe wewe ni mwehu Jordan herndason the captain utamlinganisha na hao mbwa wako?
 
Acha kutuchafulia Uzi Wetu Kama huwezi kuwa na "staha" na ukashindwa "kuserereka" Kama si "kutiririka" kibusara tunakuomba utuachie Uzi Wetu.


Usitutafutie Ban za Bure
Mkuu kausha usitake tuzinguane
 
Acha kutuchafulia Uzi Wetu Kama huwezi kuwa na "staha" na ukashindwa "kuserereka" Kama si "kutiririka" kibusara tunakuomba utuachie Uzi Wetu.


Usitutafutie Ban za Bure
Nimeshambonyezea kitufe cha "ignore" huyo mhuni mkuu, watu kama hao siku hizi hawanisumbui.
 
Tuitakieni kheri timu yetu Wakuu

Kipindi cha mpito tu hiki japo kigumu sana

One day zle beki mbovu hazitakuwepo pale

Wale viungo wasio na uwezo hata wa kupiga pass za macho hawatakuwa pale

Wale viungo wasio na uwezo wa kukimbia kwenda mbele hawatakuwepo pale..

Na ule mfumo usiojulkana hautakuwepo tena

Na yule mkufunzi mbishi natumai atabadilika
Unless ndoto zake zipotee mithili ya mshumaa katika upepo...

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Almighty God Be With Us..
 
Back
Top Bottom