Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Martial is not comfortable with the situation na klabu haijamuongezea mkataba so far
Mkataba wake unaisha 2019 na una kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Martial is not comfortable with the situation na klabu haijamuongezea mkataba so far
2019 + option ya kuongeza mwaka mmojaMkataba wake unaisha 2020 na una kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Mkuu una uhakika ole gunnar solskjaer mwaka 2002 alikuwa Mzee yaani MTU aliezaliwa mwaka 1973 kwa mwaka 2002 alikuwa na umri wa miaka 29 umamuita ni Mzee , Basi kama ni hivyo na Sanchez ni Mzee ...1.Msimu bora wa Herrera akiwa United ni last season (2 goals+11 assist) akiwa chini ya Mourinho mpaka akachaguliwa mchezaji bora wa United akaitwa Spain national timu kwa mara ya kwanza na tukawa tunasema anastahili kupewa unahodha ubora wa mchezaji sio kufunga magoli tu last season Kante ndio alikuwa mchezaji bora wa EPL sidhani kama alifikisha hata magoli 4
2. Issue ya Forlan naona list ya striker ni Solskjaer,Nistelrooy kumbuka hiyo ni era ambayo United ilikuwa inapambana makombe 4 na Solskjaer alikuwa kashazeeka alikuwa majeruhi muda mrefu kumbuka SAF alikuwa anachezesha 2 striker(4-4-2)
3.Nakushangaa unasema Di Maria alipata sana injury,nakumbuka Di Maria aliumia mara moja tu akiwa United
I doubt hata kama ulimwona Solskjaer,alisajiliwa 1996-1997 so 2002 tayari alikuwa ameshacheza misimu 6 na most of his career alikuwa anaingia sub na miaka ya mwisho muda mwingi alikuwa majeruhi ndio maana aliamua kustaafuMkuu una uhakika ole gunnar solskjaer mwaka 2002 alikuwa Mzee yaani MTU aliezaliwa mwaka 1973 kwa mwaka 2002 alikuwa na umri wa miaka 29 umamuita ni Mzee , Basi kama ni hivyo na Sanchez ni Mzee ...
Hahahah
I doubt hata kama ulimwona Solskjaer,alisajiliwa 1996-1997 so 2002 tayari alikuwa ameshacheza misimu 6 na most of his career alikuwa anaingia sub na miaka ya mwisho muda mwingi alikuwa majeruhi ndio maana aliamua kustaafu
Sasa naelewa nabishana na MTU wa aina gani , unaruka ruka tu ... Umesema ole gunnar solskjaer mwaka 2002 wakati Forlan anasajiliwa alikuwa ni mzee. Nikakwambia mwaka 2002 ole gunnar solskjaer alikuwa na miaka 29 Je, kwa uelewa wako umri huo anastahili kuitwa mzee ... Hujanijibu unakuja na hoja zako za mambo ya ole gunnar solskjaer kuwa super sub.
Mashabiki wa Man U hamna shukurani kabisa. Timu imetoka kwa David Moyes ikiwa hoi, ikaja kwa VanGaal akajitahidi bila mafanikio, JOMO ameiwezesha timu kuchukua kombe muhimu la Ulaya na kuiwezesha pia kuingia UEFA na Mungu si Athumani Man U inaweza ikabeba kikombe cha Championship. Kwenye ligi iko nafasi nzuri ya pili. Hata Mungu akiichukua Man U hataweza kutimiza mahitahi mnayotaka. Overnight timu haiwezi kurudi kama enzi za Ferguson. Kumbuka huyo huyo JOMO ndie aliyeisuka Chelsea na kuwa timu mojawapo kubwa kwenye EPL tangu alipojiunga kwa mara ya kwanza 2004. Hii Chelsea anayotamba nayo Conte ndie aliyeiunda 2014 aliporudi akitokea Real Madrid. Msipompa muda aisuke timu atawaachia na kuchukua chenji yake na who knows atakayekuja atafanya nini?Nakubaliana na wewe Fabian delph hakuflop , kwahyo unataka kuniambia Valencia aliflop ???? Unaukumbuka msimu Wa mwisho Wa sir Alex furguson ??? Valencia alikuwa miongoni Mwa wachezaji waandamizi waliofanikisha Van PerSie kubeba kiatu cha dhahabu. Kwa taarifa yako Valencia hakushuka kiwango kama sababu ya kuchezeshwa namba mbili. Ni ubishi Wa Van Gal kumuuza Rafael na Kumsajili Memphis Depay.
Depay alisajiliwa ili aje kucheza namba saba aliyokuwa anacheza Valencia hivyo basi Valencia alirudishwa nyuma kucheza namba mbili aliyokuwa akiicheza Rafael Dos Santos. From there Valencia amekuwa na "consistency performance" kama ilivyo kwa David De Gea. Leo kuja kusema Valencia alishuka kiwango ni kumkosea heshima.
Sasa turudi kwa hao Wakina Luke shaw, Smalling na Jones.
Ni ukweli usiopingika kuwa Smalling ni mchezaji Wa kawaida tena sanaaaaaa. Kama una mchezaji Wa kawaida kama Smalling na unacheza defensively what do you expect ??? .. Hapa ndipo Mbinu za Mwalimu zonapochunguzwa. Unapokuwa na average defender kama Smalling na bado unacheza kwa kupack bus Nani Wa kulaumiwa???. Yani ni sawa na unajijua una kigugumizi unaleta ubishi Wa maneno na mzaramo lazima uumie tu. Morinho hajui aina ipi ya wachezaji aliyo nayo wanastahili aina ipi ya uchezaji.
Unapokuwa na mabeki uchochoro kama Smalling dawa ni kucheza kwa kuattack attack attack attack ili kupunguza presha kubwa golini kwako zinazoweza kuzaa magoli. Unamfahamu Gerald Pique kwangu Mimi ni beki Wa kawaida saaaaaaaaaaaaaaaana kinachombeba tangu enzi za Giardiola pale Barcelona ni ile "Total football " na attack attack attack ya Barcelona inayowapunguzia mabeki presha kubwa golini. Issue ni mourinho siwezi kulaumu wachezaji kwa sababu hao wakina Jones na Smalling walokuwepo tangu enzi za babu na wameshabeba vikombe kadhaa.
Kama Mourinho anampiga benchi Rojo dhidi ya Smalling unategemea nini??? Nani tumlaumu ????
Nije kwa Ashley young napingana na wewe 100% kuwa alichezeshwa namba tatu kwa sababu ya kushuka kiwango... Nenda kaangalie misimu miwili ya Kocha Van Gal winga aliekuwa anacheza kushoto ni Nani. He had a fantastic performance ... Nenda kaangalie league review kule you tube. Hata msimu huu kuna baadhi ya mechi unanona kabisa kama Ashley young akiachwa acheze kama winga tutapata matokeo yake mazuri kuzidi anavyochezeshwa kama beki Wa kushoto.
Jamani tukubali tukatae na nirudia ile kauli yangu " Mourinho hana mbinu za kuivusha hii team" , mwisho Wa siku mbinu zake za hovyo zinapelekea wachezaji kuonekana Wa hovyo....
Una mabeki Young , Smalling ,Jones na Valencia halafu unapack basi. Huu ni ujinga ambao hauwezi kufanywa hata na kocha Wa lipuli.
Nimekuelewa sana. Asante!Mashabiki wa Man U hamna shukurani kabisa. Timu imetoka kwa David Moyes ikiwa hoi, ikaja kwa VanGaal akajitahidi bila mafanikio, JOMO ameiwezesha timu kuchukua kombe muhimu la Ulaya na kuiwezesha pia kuingia UEFA na Mungu si Athumani Man U inaweza ikabeba kikombe cha Championship. Kwenye ligi iko nafasi nzuri ya pili. Hata Mungu akiichukua Man U hataweza kutimiza mahitahi mnayotaka. Overnight timu haiwezi kurudi kama enzi za Ferguson. Kumbuka huyo huyo JOMO ndie aliyeisuka Chelsea na kuwa timu mojawapo kubwa kwenye EPL tangu alipojiunga kwa mara ya kwanza 2004. Hii Chelsea anayotamba nayo Conte ndie aliyeiunda 2014 aliporudi akitokea Real Madrid. Msipompa muda aisuke timu atawaachia na kuchukua chenji yake na who knows atakayekuja atafanya nini?
Nimekuelewa sana. Asante!
Wakati mwingine Mourinho anaonewa sana. Mtu kabaki na kipa anapaisha au kumpelekea mikononi, hapo Mou analaumiwa vipi?
Mtu anapoteza mpira akiwa kwy move ya kushambulia alafu hakabi...Mou anahusikaje hapo tofauti na kumpiga bench??
Mie bado naamini Mou ataipatia tu style nzuri na humu ndani itabakia vicheko tu na kuchagua timu gani ngumu tucheze nayo hata friend match.
Daudi hawezi kuwaelewa, kuna mwana mwaka jana bahati mbaya simkumbuki ID yake alifikia hatua ya kuomba tusichukue europa ili tusicheze uefa ye apate cha kuongea, toka tulipochukua lile kombe sijawahi muona tena humu jukwaani.Mashabiki wa Man U hamna shukurani kabisa. Timu imetoka kwa David Moyes ikiwa hoi, ikaja kwa VanGaal akajitahidi bila mafanikio, JOMO ameiwezesha timu kuchukua kombe muhimu la Ulaya na kuiwezesha pia kuingia UEFA na Mungu si Athumani Man U inaweza ikabeba kikombe cha Championship. Kwenye ligi iko nafasi nzuri ya pili. Hata Mungu akiichukua Man U hataweza kutimiza mahitahi mnayotaka. Overnight timu haiwezi kurudi kama enzi za Ferguson. Kumbuka huyo huyo JOMO ndie aliyeisuka Chelsea na kuwa timu mojawapo kubwa kwenye EPL tangu alipojiunga kwa mara ya kwanza 2004. Hii Chelsea anayotamba nayo Conte ndie aliyeiunda 2014 aliporudi akitokea Real Madrid. Msipompa muda aisuke timu atawaachia na kuchukua chenji yake na who knows atakayekuja atafanya nini?
Najitoa rasmi kwenye mjadala kuhusu mourinho .. Nimeeeleza saaaaaaaana kwa kina kuhusu unsuitability ya Mourinho pale Manchester united ....Daudi hawezi kuwaelewa, kuna mwana mwaka jana bahati mbaya simkumbuki ID yake alifikia hatua ya kuomba tusichukue europa ili tusicheze uefa ye apate cha kuongea, toka tulipochukua lile kombe sijawahi muona tena humu jukwaani.
Nitamlaumu mourinho kwa style tunayocheza baadhi ya mechi lakini sitamlaumu yeye kuona akina smalling bado wapo kwenye timu yetu. Kama nilivoongea kwenye post moja hapo juu tunawachezaji ambao hata west brome hawapati namba alafu unataka tukimbizane na timu kama man city au Madrid ambayo baadhi ya wachezaji wao kikosi cha pili wanaweza wakaja straight kwenye first eleven yetu.
Tupo nafasi ya pili, bado tupo uefa, bado tupo FA cup, toka kafika katupatia makombe mawili tayari moja likiwa kombe ambalo hata Ferguson alishindwa kutupa, alafu anaonekana hafai, raia sijui wanataka nini?
.Utashangaa pale Jose atakapopanga kikosi chenye walinzi sita na kulinda goli.Mungu saidia tushinde kesho majogoo washakaba nafasi
#GGMU#
Utashangaa pale Jose atakapopanga kikosi chenye walinzi sita na kulinda goli.

Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.
Ni kiungo gani pale liver wa kumfananisha na Matic, Herrera, na pogba?
Anafanya wachezaji wetu waonekane wakawaida sana.![]()
![]()
![]()
Mkuu Kuhusu kusubiri team ya Mourinho itandaze soka ni sawa na kuisubiri Bambadier Ubungo
Daud1990![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu Kuhusu kusubiri team ya Mourinho itandaze soka ni sawa na kuisubiri Bambadier Ubungo
Binafsi nikiona young na smalling wako kikosini huwa naishi kwa presha sana dah kesho Josee aweke visiki tu.Utashangaa pale Jose atakapopanga kikosi chenye walinzi sita na kulinda goli.
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.
Ni kiungo gani pale liver wa kumfananisha na Matic, Herrera, na pogba?