Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mbona wanacheza namba tofauti? jana mfumo ulikuwa ni 4-3-3 tulicheza bila namba 10 wa kusimama hivyo hakuhitajika lingard.

mata anatumika kama kiungo mshambuliaji wa kulia kwenye 4-2-3-1 na mou wakati lingard anakua kama kiungo mshambuliaji wa kati au namba 10. namba ya lingard alikuwa akicheza mkhitariyan.
hakuhitajika na mfumo ulibadilika sabubu atatumika kwenye mfumo wa juma5
 
Kwa misimu 4 mfululizo Romelu Lukaku anaweka rekodi ya kufunga magoli 20 au zaidi katika mashindano yote.
:
*Jana ametimiza magoli 21, idadi sawa na magoli yaliyofungwa na Lacazzette na Morata kwa pamoja.
9b1b3dc484506a2a68bf8f8c025a8805.jpg
 
Hawa [HASHTAG]#Telegraph[/HASHTAG] Ninawaamini Sana Kwa Habari Zao lakini sometime inakuaje?
Hili neno "I don't care" mbona nahisi ni Dilemma!!!!

Hawa [HASHTAG]#Telegraph[/HASHTAG] Ninawaamini Sana Kwa Habari Zao lakini sometime inakuaje?
Hili neno "I don't care" mbona nahisi ni Dilemma!!!!

Mkuu kocha ataamua vile anataka pogba ni mdogo kushinda club kocha akiamua acheze ana cheza kuna interview alifanya na mutv kamsifia sana scott kwamba dogo hana tatoo,hatumii muda mwingi kuhangaika na nywele hana mambo ya kuhusudu magar plus social network ukiangalia hilo ni dongo kwa pogba kawekeza nguvu kubwa ktk maisha binafs sio uwanjan inafika mahal kocha anakasirika nakumbuka hata sir alex alikuwa mkali ktk haya mambo binafs pogba akiamua kuwekeza uwanjan anaweza siku tulicheza na arsenal ile mech kesho yake pogba alilala had kapitiliza muda wa mazoez akatumwa mtu kumuamsha kocha alichukia sana so ukiangalia haya matukio kama kajihakikishia namba hatak kujituma pia wakat wa maadhimisho ya kumbukumbu ya munich inasemekana mourinho aliambiwa kitu na sir alex muhusu scott tutegemee kumuona akicheza sana.
 
In Mourinho i trust, huyu kocha apewe mkataba zaidi na zaidi...ili washabiki mshonge wahamie team zingine...ukitaka timu itese muda mrefu lazima upate kocha atakutengenezea timu kwa muda mrefu.
Fact mkuu roma haikujengwa siku moja kocha wa spurs anaenda msimu wa ngap hata carabao cup kashindwa kubeba japo wanapiga mpira mwingi jana wamejiangusha kutafuta suluhu nyumban kwa rochdale ya 2-2 mpira usio na matunda wa nini mi nakwambia tunapak bas kufuatana na wachezaj tulionao ktk mech kubwa taratibu tutapata top player unashambulia bek za maana huna na viungo wa kurud haraka kukaba.
 
Mkuu kocha ataamua vile anataka pogba ni mdogo kushinda club kocha akiamua acheze ana cheza kuna interview alifanya na mutv kamsifia sana scott kwamba dogo hana tatoo,hatumii muda mwingi kuhangaika na nywele hana mambo ya kuhusudu magar plus social network ukiangalia hilo ni dongo kwa pogba kawekeza nguvu kubwa ktk maisha binafs sio uwanjan inafika mahal kocha anakasirika nakumbuka hata sir alex alikuwa mkali ktk haya mambo binafs pogba akiamua kuwekeza uwanjan anaweza siku tulicheza na arsenal ile mech kesho yake pogba alilala had kapitiliza muda wa mazoez akatumwa mtu kumuamsha kocha alichukia sana so ukiangalia haya matukio kama kajihakikishia namba hatak kujituma pia wakat wa maadhimisho ya kumbukumbu ya munich inasemekana mourinho aliambiwa kitu na sir alex muhusu scott tutegemee kumuona akicheza sana.

Huyu Dogo Kaja Sir Furgie Ameshaondoka lakini Angelikwisha Nyooka Kama Walivyo Kina Valencia ambao Walimshuhudia Babu.
 
Kwa mtu yyte ambae alishawahi kucheza hata mpira wa makaratasi anatambua kuwa kuna siku unaamkia kushoto tu, haijalishi unacheza namba ipi.
Pogba asilalamike sana...kuna mtu anaitwa Hererra mbna hana kelele lakin anakula bench atari.

Natamani jtano mou acheze na midfield watatu
 
Back
Top Bottom