lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Live bila chenga
Mbona hata Smalling miaka chungu nzima huwa anapewa mikataba wakati ni chezaji bovu hata timu yetu ya keko furniture hapati nambaBahati mzuri board ya manchester ina watu timamu na wanaojua mpira kuliko mimi na wewe thus y wamempa morinho mkataba mpya juzi tu baada ya kulidhika na anachokifanya
Kuna mabadiliko ya kimfumo leo. Anatumia 4-3-3Afazali tunapumua ila awa leo walikuwa wapigwe nyingj
Kwa matokeo haya kweli wanamuitajiManchester wanamuitaji morinho kuliko morinho anavyoiitaji manchchester
Nashukuru kwa kulitambua hilo,manchester hatuna kocha mbovu bali tuna timu yenye wachezaji wa kawaida,kwa timu iliyopo ya beki smalling na jones na kuwa tegemea akina rashford ata arud babu ferg hakuna kitakachobadilika.mpira wa sasa ni pesa,angalia man city,psg,barcelona,real madrid na vikosi walivyo navyo.mashabiki wa man u lazma tukubali tuna timu ya kawaida kabsaMbona hata Smalling miaka chungu nzima huwa anapewa mikataba wakati ni chezaji bovu hata timu yetu ya keko furniture hapati namba
Kama wangeutumia bila woga ingekuwa tushafunga goal nyingiKuna mabadiliko ya kimfumo leo. Anatumia 4-3-3
Yalianza kwa moyes,yakaja kwa van gal,na sasa yapo kwa morinho.na board ikiendelea kuzichungulia pesa yataendelea kwa kocha yyte atakayekujaKwa matokeo haya kweli wanamuitaji
Ni team ya tatu Kwa kutumia pesa nyingi ktk usajili. Ata enzi ya Fergie alikuwa na wachezaj wengine wa kawaida sana lakini aliweza watumia vizuri sanaNashukuru kwa kulitambua hilo,manchester hatuna kocha mbovu bali tuna timu yenye wachezaji wa kawaida,kwa timu iliyopo ya beki smalling na jones na kuwa tegemea akina rashford ata arud babu ferg hakuna kitakachobadilika.mpira wa sasa ni pesa,angalia man city,psg,barcelona,real madrid na vikosi walivyo navyo.mashabiki wa man u lazma tukubali tuna timu ya kawaida kabsa
Dahhh...Sanchez out..Martial in![]()
Hao pgs wenye kikosi bora mara nying wamekutana na timu za kawaida sana bado wameruhusu magoli issue ya man u saiv sio wachezaji wabovu issue ni mfumo tuu na namna ya kuwatumiaNashukuru kwa kulitambua hilo,manchester hatuna kocha mbovu bali tuna timu yenye wachezaji wa kawaida,kwa timu iliyopo ya beki smalling na jones na kuwa tegemea akina rashford ata arud babu ferg hakuna kitakachobadilika.mpira wa sasa ni pesa,angalia man city,psg,barcelona,real madrid na vikosi walivyo navyo.mashabiki wa man u lazma tukubali tuna timu ya kawaida kabsa
Unataka wasajiliwe wachezaji gani?Nashukuru kwa kulitambua hilo,manchester hatuna kocha mbovu bali tuna timu yenye wachezaji wa kawaida,kwa timu iliyopo ya beki smalling na jones na kuwa tegemea akina rashford ata arud babu ferg hakuna kitakachobadilika.mpira wa sasa ni pesa,angalia man city,psg,barcelona,real madrid na vikosi walivyo navyo.mashabiki wa man u lazma tukubali tuna timu ya kawaida kabsa
Mfumo unategemea na aina ya wachezaji ulionao mkuuHao pgs wenye kikosi bora mara nying wamekutana na timu za kawaida sana bado wameruhusu magoli issue ya man u saiv sio wachezaji wabovu issue ni mfumo tuu na namna ya kuwatumia