Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubaliana na huyu mchambuzi wa BBC. Maana mistari ya jamaa wa VAR haikuwa sambamba na mstari ya 18. Kuna uhuni hapo!

VAR official Neil Swarbrick has not even got his squiggly lines straight. In fact, they are not even parallel to the 18-yard line!
 
Itakuwa refa ndio amelikataa sio VAR
 
Bahati mzuri board ya manchester ina watu timamu na wanaojua mpira kuliko mimi na wewe thus y wamempa morinho mkataba mpya juzi tu baada ya kulidhika na anachokifanya
Wanaweza wakampa na baadae wakamtimua tu ni kitu cha kawaida wanamvumilia sababu team ipo nafasi ya pili lakini tukimaliza chini ya Top 4 utaniambia
 
Back
Top Bottom