Hakuna mchezaji hapo Manchester united anaepitia kipindi kigumu kwa sababu zake ila kuna wachezaji wanaopitia katika vipindi vigumu kwa sababu za JOSE MOURINHO, Asap.
Micktaryan, Daley Blind ,Leo Pogba, Lukaku anafuatia, Leo anaanza kumpiga benchi beki bora kabisa ROJO kwa SMALLING tutegemee anguko lake. Herera atafuatia tunza kumbukumbu zangu.
Ni kweli wachezaji huwa wanapitia vipindi vigumu ila si kwa kiwango na idadi hii waliokatika kipindi kigumu kwa muda huu, orodha ni ndefu.
Mourinho is ruining our Good players performance