kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Wapi nimetukana?Hakuna haja ya kutukana, kila mtu ana upeo binafsi wakuchambua mambo. Kama wewe unaona Mourinho hafai, wako wanaomuona anafaa.
Tumia maneno ya kistaarabu.
Wapi nimetukana?Hakuna haja ya kutukana, kila mtu ana upeo binafsi wakuchambua mambo. Kama wewe unaona Mourinho hafai, wako wanaomuona anafaa.
Tumia maneno ya kistaarabu.
Mkuu vidal alienda buyern akamuacha pogba pirlo alienda marekan akamuacha pogba kiwango kilishuka? Je kazi ya kuchukua mipira ilifanywa na nani?
Binafsi sikubaliani na mchezo wa kujilinda ila pogba tatizo analo mwenyewe pia akiamua kulifanyia kazi atakuwa mzur zaidi hata mm napenda awe free ila sio mech zote atakuwa free hebu chukulia herrera ni kiungo mkabaji?
Wapi nimetukana?
Huyo Radika ni popomaWewe hebu utuambie kwanza bado unaamini Paul Scholes alipo criticize mchango Wa pogba kwa timu alikuwa anamuonea wivu kwa sababu anapokea hela nyingi!? Na uzuri alisema "wakati mwingine huwezi amini ni kwa namna gani timu inakuwa na mchezaji kama pogba na bado ikashindwa kumtumia,wakati mwingine pengine meneja naye ana feli pia". Ulimuunga mkono Mou basi tu,mwenzio alikuwa anajibu pumba ili kujinasua kwenye shot ya kweli aliyopewa.
Tulikuwa tunaongoza 2-0 Mourinho akapaki basi,au umesahau.Hapo mourinho alitakiwa aingie yeye kukaba?
Pogba kamnyima pasi lukaku
Rashford tunatoa suluhu 2-2 na leicester city kwa huo uzembe wao ndivyo alivyotumwa?
Pogna anapotezwa na dembele hovyo hovyo hapo kocha anatatizo gani?
Kweli kuna muda anachemka hiyo hutokea kwa makocha wote hata kipindi cha sir alex hatukua tunacheza mpira kama wa barcelona isipokuwa tulikuwa tuna watu makin wa kumalizia nafas za kufunga mpira wa ulikuwa unachezwa wa pasi tatu golini sasa leo unamlaum mourinho kwa hawa wachezaji wa kawaida ni chuki zako tu kushika nafasi ya pili sio jambo dogo kwa kocha ambae anaingia msimu wa pili na wachezaj aliowakuta klopp msimu sijui wa 3 hakuna hata dalili ya kombe lolote wakat last year mourinho kafanikisha kwa nn hamuoni hilo?
Smalling,jones,young,fellain,rashfiord,lingard,scott wapi utawakuta katika benchi hao zile top 5?![]()
![]()
![]()
![]()
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???Hapo mourinho alitakiwa aingie yeye kukaba?
Pogba kamnyima pasi lukaku
Rashford tunatoa suluhu 2-2 na leicester city kwa huo uzembe wao ndivyo alivyotumwa?
Pogna anapotezwa na dembele hovyo hovyo hapo kocha anatatizo gani?
Kweli kuna muda anachemka hiyo hutokea kwa makocha wote hata kipindi cha sir alex hatukua tunacheza mpira kama wa barcelona isipokuwa tulikuwa tuna watu makin wa kumalizia nafas za kufunga mpira wa ulikuwa unachezwa wa pasi tatu golini sasa leo unamlaum mourinho kwa hawa wachezaji wa kawaida ni chuki zako tu kushika nafasi ya pili sio jambo dogo kwa kocha ambae anaingia msimu wa pili na wachezaj aliowakuta klopp msimu sijui wa 3 hakuna hata dalili ya kombe lolote wakat last year mourinho kafanikisha kwa nn hamuoni hilo?
Smalling,jones,young,fellain,rashfiord,lingard,scott wapi utawakuta katika benchi hao zile top 5?![]()
![]()
![]()
![]()
Shukrani.Huyo Radika ni popoma
Tulikuwa tunaongoza 2-0 Mourinho akapaki basi,au umesahau.
Alichukuaje ueropa na hao wasiozingua wapo nafasi ya ngapi?Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???
Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????
Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????
Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???
Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????
Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????
Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana
Ha ha haTulikuwa tunaongoza 2-0 Mourinho akapaki basi,au umesahau.
Mechi dhidi ya arsenal tulipaki basi japo tulishinda 3-1Mi nakir kabisa nlikuwa namchukia mourinho alipokuwa chelsea akikutandika hata kamoja kurudisha muwe 22 uwanjan mkifanikiwa bahat yenu ila si kwamba hakuwa na mafanikio hiyo ilitokana na wachezaji aliokuwa nao waliotimia na kujua majukum yao anaamua acheza vipi hata kushambulia anashambulia kufuatana na mech husika hadi muda huu hatujachezea goli 4 au 3 na ile tumu yetu ilivyo lakin wengine hizo kawaida tu bado mnataka atoke aje nani? Labda zidane akifukuzwa madrid akubali tena kuwa kocha lakin hao wengine kuchukua kombe tu mgogoro ancelot umr umeenda unapiga Mpira mwingi na kushambulia sana mwisho wa siku kabatin hola
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???
Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????
Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????
Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana
Yani MTU anaangalia magoli tuliyokosa ila kasahau kuangalia magoli yalirudi vipi ( Kupaki Basi)Ha ha ha
We jamaa zwazwa kweli , Chelsea alibeba Uefa akiwa Nafasi 6 au umesahau ???Alichukuaje ueropa na hao wasiozingua wapo nafasi ya ngapi?
Mimi naona kocha kashindwa kutengeneza morality ya kiupiganaji kwa wachezaji,si kwamba wachezaji hawana uwezo Mkubwa ndugu. Labda kama utasema wachezaji alionao si aina ya wachezaji Wa kupaki basi.Naendelea kukufunza soka giggs kiasili ni namba 11 hivi unajua baadhi ya mechi alichezeshwa namba 8? Bado nakuhurumia na kukupa pole tunawechezaji wa kawaida ila mnawakuza mchezaj anacheza ili mradi tu sio wapiganaji
Mechi dhidi ya arsenal tulipaki basi japo tulishinda 3-1
Mechi vs Liverpool tulipaki fuso
Mechi dhidi ya man city tulikuwa nyuma kwa takwimu zote na tukafungwa
Mechi dhidi ya Tottenham tulipaki basi na kugungwa
Mechi dhidi ya Chelsea tulikuwa nyuma kitakwimu na tukafungwa 1-0 goli la morata ..
Hapo sijazungumzia mechi zingine na vitimu kama Leicester city na Southampton tulivuopack basi mpaka presha ikawa Juu...
Timu yenye dalili za kuwa bingwa ni pale unapokutana na "tittle contenders" wenzako kama Liverpool, Man city, Chelsea , Arsenal au Tottenham . Tumekuwa na kiwango kibovu vs hizi timu..... Simuoni Mourinho akiipeleka hii timu mbele.
Nashangaa watu wanamtetea Mourinho eti hana wachezaji, mbona huu unaelekea mwaka watatu na hela ya kusajili huwa anapewa anaenda kusajili wakina linderlhof.
Anagalia INA ya wachezaji wanaofukuziwa na Pep Guardiola na wachezaji wanaofukuziwa na Mourinho ndio utajua Guardiola ni Genius.
Maamuzi ya haraka na kushambulia wengi wa binafs wapo pale unazuia na kushambulia fasta.Mimi naona kocha kashindwa kutengeneza morality ya kiupiganaji kwa wachezaji,si kwamba wachezaji hawana uwezo Mkubwa ndugu. Labda kama utasema wachezaji alionao si aina ya wachezaji Wa kupaki basi.
Halafu unaniita zwazwa tuliza akili ndugu hapa wewe ndo unaonesha zwazwa sisi tulipokosa nafasi ya kushirik champions lig nguvu zikahamia ueropa chelsea alikuwa 6 nguvu alihamishia uefa baada ya kuona huku hana chake hata arsenal asipowekeza jitihada hiyo habebWe jamaa zwazwa kweli , Chelsea alibeba Uefa akiwa Nafasi 6 au umesahau ???
Unaonekana ulikuwa muda huo unapiga piga maji kwenye beseni
Timu ya Manchester kushiriki Europa na kushindwa kuchukua hilo kombe ni aibu , ni wajibu kulibeba na ndio maana huoni mashabiki wenye akili zao timamu wanajivuna.
The same to arsenal msimu huu wasipochukua hiyo Europa ni aibu na utakuwa trending news tofauti na wakilibeba
We jamaa zwazwa kweli , Chelsea alibeba Uefa akiwa Nafasi 6 au umesahau ???